Tanzania: Mahakama yaahirisha swala la mbunge Hamad Rashid wa CUF
Mahakama Kuu nchini Tanzania imetoa muda zaidi kwa chama cha upinzani nchini Tanzania, CUF, kuzipitia hoja za waliowafukuza kutoka chama chao, akiwemo Mbunge wa Wawi, kisiwani Pemba, Hamad Rashid.
View ArticleWanajeshi wauawa katika ajali ya helikopta
Wanajeshi 6 wa Marekani wamepoteza maisha yao katika ajali ya helikopta iliyotokea kusini ya Afghanistan. Afisa mmoja wa Marekani amesema, helikopta hiyo ilianguka katika wilaya ya Helmand.
View ArticleHali ingali tete Somalia
Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa hali ingali mbaya nchini Somalia. Kiasi ya watu milioni nne wanahitaji msaada wa dharura ama sivyo kutatokea maafa makubwa ya kibinadamu katika nchi hiyo ya Afrika...
View ArticleKombe la mataifa barani Afrika na kuvunjwa Haki za Binaadam
Michuano ya kimataifa inaandaliwa mara nyingi katika nyingi ambako haki za binaadam haziheshimiwi.Imeshuhudiwa miaka ya 30 na mpaka leo halai ndio ile ile.
View ArticleIran yataka mazungumzo na Marekani bila masharti
Umoja wa Falme za Kiarabu umetahadharisha dhidi ya kutokea machafuko zaidi juu ya mgogoro uliopo kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran, huku Iran ikitaka majirani zake wa Kiarabu kujitenga na Marekani.
View ArticleZanzibar yapinga Tanzania kudai eneo zaidi la mpaka wa bahari kuu
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wa Zanzibar sasa wanasema ombi la serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Umoja wa Mataifa kuomba nyongeza ya mpaka katika Bahari ya Hindi ni kuipokonya...
View ArticleUmwagaji damu usitishwe Syria
Umoja wa Nchi za Kiarabu unashinikizwa kuomba msaada wa Umoja wa Mataifa huku sauti zikizidi kupazwa kuwa tume iliyopelekwa Syria hivi karibuni, imeshindwa kuzuia mauaji yanayoendelea tangu miezi kumi...
View ArticleWatu saba wauwawa katika msururu wa mashambulizi ya bomu Nigeria
Msururu wa miripuko ya bomu iliyoratibiwa na mashambulizi ya bunduki yanayodaiwa kufanywa na kundi la Boko Haram, yameua watu saba katika mji wa Kano, ulio mkubwa kabisa kaskazini mwa Nigeria na wenye...
View ArticleIdadi kubwa ya watu wauwawa Nigeria
Takribani miili ya watu 120 imerundikana katika chumba cha kuhifadhia maiti huko katika mji wa pili kwa ukubwa nchini Nigeria, Kano baada ya kutokea kwa mashambulio ya mabomu na risasi usiku uliyopita.
View ArticleHadi watu 143 wauawa Kano
Duru za hospitali zinasema, takriban watu 143 wameuawa kwenye mashambulzii yaliyoratibiwa katika mji wa Kano, ulio wa pili kwa ukubwa nchini Nigeria.
View ArticleWaliokufa kwenye miripuko ya Nigeria wafikia 160
Idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na mashambulizi ya mabomu yaliyofanyika katika mji wa pili kwa ukubwa nchini Nigeria, Kano, Ijumaa iliyopita (20.01.2012) nchini Nigeria imepanda na kufikia 160.
View ArticleZanzibar na swala la eneo la Bahari ya Hindi
Wajumbe wengi wa baraza la wawakilishi visiwani Zanzibar wametaka Waziri wa maliasili wa Zanzibar Juma Shamhuna ajiuzulu.
View ArticleHatimaye ICC yatoa muelekeo wa siasa za Kenya
Wakenya walikuwa wakisubiri kwa hamu kubwa uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu mjini The Hague, ambayo imewaona wanasiasa wanne wana kesi ya kujibu kwa kuhusika na vurugu za baada ya uchaguzi wa...
View ArticleKenya yagawanywa na maamuzi ya ICC
Maoni tofauti yanaendelea kutolewa nchini Kenya siku moja baada ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu kutoa uamuzi wa kuthibitisha mashtaka dhidi ya washukiwa wanne kati wa ghasia za baada ya uchaguzi...
View ArticleZanzibar: Mzozo wa kupanuliwa eneo la Bahari ya Hindi
Jana katika baraza la wawakilishi la Visiwani Zanzibar kulikuweko majadiliano makali kuhusu hoja iliowasilishwa na mwakilishi wa eneo la Mji Mkonge wa Zanzibar, Ismail Jussa Ladhu,
View ArticleWimbi la mashambulio laendelea Nigeria
Miripuko mipya imeutikisa mji wa Kano, kaskazini mwa Nigeria asubuhi ya leo. Miripuko hiyo na milio ya risasi ilisikika katika mji huo wa kaskazini,ambako Ijumaa hadi watu 185 waliuawa katika msururo...
View ArticleMgomo wa Madaktari nchini Tanzania
Nchini Tanzania wakati madaktari na wafanyakazi wa sekta ya umma wakianzisha mgomo jumla ya utoaji huduma katika hospitali na vituo vya afya imeanza kuzorota kutokana na madaktari kutofika kwenye vituo...
View ArticleWamisri waadhimisha mwaka mmoja wa mageuzi
Maelfu ya raia wa Misri wamekusanyika katika uwanja wa Tahrir mjini Cairo, ikiwa ni maadhimisho ya kwanza tangu kuondolewa madarakani kwa Hosni Mubarak huku kukiwa shaka ya kubadilika kwa maudhui ya...
View ArticleUhuru wa vyombo vya habari bado tatizo
Shirika la Maripota wasio na Mipaka-RSF-limetoa ripoti yake ya mwaka 2011 inayohusika na uhuru wa vyombo vya habari katika nchi mbali mbali duniani-yaani uwezo wa waandishi habari kufanya kazi bila ya...
View ArticleWaasi wa JEM kule Darfur wamchaua kiongozi mpya
Kundi kuu la waasi katika eneo linalokumbwa na mzozo nchini Sudan, Darfur, limemchagua aliyekuwa wakati mmoja profesa wa chuo kikuu kuwa kiongozi wake baada ya kifo cha kakake, ambaye alikuwa kiongozi...
View Article