Kundi kuu la waasi katika eneo linalokumbwa na mzozo nchini Sudan, Darfur, limemchagua aliyekuwa wakati mmoja profesa wa chuo kikuu kuwa kiongozi wake baada ya kifo cha kakake, ambaye alikuwa kiongozi wa kundi hilo
↧