Kuuliwa kwa wanyama pori nchini Tanzania
Shirika la Kimataifa linalofadhili miradi ya kuwalinda wanyama Pori la TRAFFIC limesema kwamba mwaka 2011 ulikuwa ni mwaka mbaya kabisa kwa wanyama pori, hasa tembo ambao wameuliwa kwa kiasi kikubwa.
View ArticleCUF yamfukuza Hamad Rashid na wenzake
Baraza Kuu la Uongozi la Chama cha Wananchi (CUF) nchini Tanzania limeamua kwa wingi wa kura kumfukuza mmoja wa waasisi wa chama hicho na mwanasiasa mkongwe, mbunge wa Wawi, Hamad Rashid Mohammed, na...
View ArticleWanasiasa wamkosoa, wamuunga mkono Rais Wulff
Jana (04.01.2012), Rais Christian Wulff wa Ujerumani alifanya mahojiano na waandishi wa habari juu ya kashfa ya mkopo wa nyumba na pia simu aliyopiga kwa gazeti la Bild kulikemea kwa kuchapisha kashfa...
View ArticleMilipuko minne yawauwa watu 29 mjini Baghdad, Iraq
Mabomu manne yameyatikisa maeneo yanayokaliwa na Waislamu wengi katika mji mkuu wa Iraq Baghdad na kuwauwa takriban watu 29 na kuwajeruhi wengine wengi hii leo.
View ArticleRais Wulff abakia kwenye majaribu
Rais wa Ujerumani, Christian Wulff, ataendelea katika wadhifa wake baada ya kujaribu kujitetea katika mahojiano na televisheni, lakini mhariri mkuu wa DW, Ute Schaeffer, anasema Wulff anaendelea kuwa...
View ArticleObama azindua mkakati mpya wa kijeshi
Rais wa Marekani Barrack Obama amezindua mkakati wa ulinzi ambao utapanua uwezo wa jeshi la Marekani barani Asia, lakini utapunguza idadi jumla ya wanajeshi wake katika jeshi hilo ili liwe na ufanisi...
View ArticleShambulio katika kanisa nchini Nigeria
Wakati baadhi ya raia wa Nigeria wakiendelea kuomboleza kufuatia vifo vya zaidi ya watu 40 walioshambuliwa mwishoni mwa mwaka jana na kundi la Boko Haram, tukio kama hilo limejirudia tena usiku wa...
View ArticleChama cha FDP chafanya mkutano wake
Chama cha FPD kinapania kujiimarisha ili kiweze kushinda nafasi nyingi zaidi bungeni katika uchaguzi ujao baada ya kupoteza uungwaji mkono.
View ArticleBan Ki Moon ataka machafuko Syria yakome
Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon, ameelezea wasiwasi wake kuhusu hali inayoendelea kuzorota nchini Syria. Ni kufutia shambulizi la bomu la mtu wa kujitoa muhanga ambapo watu 26 waliuwawa...
View ArticleNdege za kivita za jeshi la Kenya zimeuwa wanamgambo 50 wa al Shabab
Ndege za kivita za Majeshi ya Kenya zimeshambulia kambi za wanamgambo wa al Shabab huko kusini mwa Somalia na kuwauwa takribani wanamgambo 50 na wengine 60 kujeruhiwa vibaya.
View ArticleWakristo waripotiwa kukimba machafuko nchini Nigeria
Wakristo wanaripotiwa kuendelea kuyakimbia maeneo ya kaskazini mwa Nigeria baada ya mfululizo wa mashambulizi yanayofanywa na wanamgambo wa kundi la waislamu wenye itikadi kali, Boko Haram.
View ArticleJumuiya ya Kiarabu yaruhusu waangalizi wake kubakia Syria
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Kiarabu wameamua kuiruhusu timu ya waangalizi wa Jumuiya hiyo, kukamilisha kazi yao ya mwezi mmoja nchini Syria, licha ya lawama kali zinazotolewa kwa waangalizi...
View ArticleJumuiya ya Kiarabu bado kuomba uingiliaji kati wa Umoja wa Mataifa
Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imekubali kuruhusu timu ya waangalizi wake kubakia nchini Syria kumaliza kazi yao ya mwezi mmoja, na imejizuia kuomba uingiliaji kati wa Umoja wa Mataifa kama ilivyokuwa...
View ArticleUjerumani imeahidi kusaidia Libya katika maendeleo
Waziri wa mambo ya kigeni wa Ujerumani, Guido Westerwelle, jana ameahidi kuiunga mkono Libya katika masuala mbalimbali ya kimaendeleo baada ya kuuondoa utawala wa kimabavu wa Muammar Gaddaf.
View ArticleRais Sanha atakumbukwa kwa kutafuta masikizano
Rais wa Guinea-Bissau, Malam Bacai Sanha, aliyefariki dunia hapo jana (9 Januari 2012) akiwa matibabuni Ufaransa, atakumbukwa kwa juhudi zake za kuipatia utulivu wa kisiasa nchi yake, ambayo jeshi lina...
View ArticleMgomo wa kitaifa Nigeria waingia siku ya pili
Mgomo wa kupinga ongezeko la bei ya mafuta unaendelea nchini Nigeria huku kukiwa na taarifa za kuuawa kwa watu sita hapo jana (9 Januari 2012) katika makabiliano kati ya polisi na maelfu ya waandamanaji.
View ArticleHali yazidi kuvurugika nchini Syria
Upande wa upinzani nchini Syria umekosoa ripoti ya tume ya wachunguzi wa Umoja wa Nchi za Kiarabu, huku Rais Bashar al Assad naye akiyalaumu makundi ya kigeni kutaka kuleta vurugu nchini mwake.
View ArticleUmoja wa Mataifa waambiwa mauaji yanaendelea nchini Syria
Umoja wa Mataifa umesema kwamba kiasi ya watu 400 wameuawa nchini Syria tangu timu ya waangalizi wa Jumuiya ya Kiarabu ianze kazi ya kuangalia utekelezaji wa mpango wa amani mwezi Disemba mwaka jana.
View ArticleClinton asema shutuma za Rais Assad kwa nchi za nje ni unafiki
Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani Hilary Clinton amesema shutuma za Rais wa Syria kuwa nchi za nje zina njama dhidi ya nchi yake, ni unafiki mkubwa.
View ArticleZanzibar yaadhimisha miaka 48 ya mapinduzi
Leo tarehe 12 januari inatimia miaka 48 tangu kufanyika mapinduzi ya Zanzibar yaliyouondosha ufalme visiwani humo.
View Article