Obama awakutanisha mahasimu wawili wakuu wa Mashariki ya kati
Mazungumzo ya ana kwa ana kati ya Israel na Palastina yameanza mjini Washington licha ya mashambulio ya wapinzani wa amani wanaotaka kuyafuja.
View ArticleMazungumzo ya Mashriki ya Kati yameanza Washington
bibi Hillary Clinton awakaribisha rasmi wajumbe wa pande 2.
View ArticleMatumaini ya amani ya mashariki ya kati
Vizingiti viwili vikubwa -ujenzi wa makaazi ya wayahudi na makundi ya itikadi kali-vinaweza kuutia munda utaratibu wa amani-wanahofia wadadisi
View ArticleMatumaini yachomoza katika mazungumzo ya amani Mashariki ya Kati
Kwa mara ya kwanza katika kipindi cha karibu miaka 2 Waisraeli na Wapalestina wameanza tena mazungumzo ya amani ya ana kwa ana mjini Washington, Marekani
View ArticleMajadiliano yapamba moto kuhusu juhudi za kujumuishwa wageni katika maisha ya...
Kansela Angela Merkel asema hakubaliani na hoja za Thilo Sarrazin hata hivyo anasema kuna haja ya kushadidia upande wa elimu miongoni mwa wahamiaji
View ArticleMwanachama wa bodi ya benki kuu Sarrazin aonywa
Mjadala wapamba moto kuhusu jinsi ya kuendelezwa na kutekelezwa juhudi za kuwajumuisha ipasavyo wahamiaji katika maisha ya kila siku ya jamii
View ArticleThilo Sarrazin:chuma chake kiko motoni
Thilo Sarrazin huenda akapoteza cheo chake kama mwanachama wa bodi kuu ya benki kuu ya Ujerumani kutokana na matamshi yake ambayo baadhi mtu anaweza kusema ni matusi dhidi ya wahamiaji.
View ArticleTetemeko la ardhi lasababisha uharibifu mkubwa New Zealand
Maafisa wametangaza hali ya hatari kufuatia tetemeko kubwa la ardhi lililotokea katika mji wa Christchurch nchini New Zealand mapema leo asubuhi.
View ArticleKarzai azungumzia amani
Baraza jipya la amani Afghanistan liko tayari kwa mazungumzo na taliban.
View ArticleIsrael yashambulia vituo katika Ukanda wa Gaza
Mashambulio matatu ya jeshi la anga la Israel yamelenga vituo vya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
View ArticleKundi la ETA latangaza kusitisha mapigano
Wapiganaji wa ETA walitangaza kutofanya tena operesheni za mashambulio ili kusaidia kuanzisha mchakato wa demokrasia nchini Hispania. Serikali inasema haina imani na kauli hiyo
View ArticleWaziri wa mambo ya nchi za nje wa Israel atilia ashaka juhudi za amani
Avigdor Lieberman anasema haamini kama amani pamoja na wapalastina itapatikana "si kwa mwaka mmoja na wala si kwa kizazi kijacho"
View ArticleMkutano kuhusu maji waingia siku ya pili mjini Stockholm
Hali inayoongezeka ya uchafuaji wa maji pamoja na kupungua kwa ubora wa maji duniani ni mada muhimu wakati wataalamu 2,500 kutoka duniani kote wanapoanza mkutano wao wa 20 wa wiki ya maji duniani mjini...
View ArticleMerkel aelezea imani yake kuhusu sheria ya vinu vya nyuklia
Kansela huyo wa Ujerumani amesema sheria hiyo inaweza ikapitishwa bila kuungwa mkono na baraza la wawakilishi wa serikali za majimbo.
View ArticleUamuzi wa serikali ya muungano kuhusu nishati ya nuklea wakosolewa magazetini
Watakaofaidika na uamuzi wa kurefusha muda wa vinu vya nishati ya kinuklea ni wenye kumiliki makampuni makubwa makubwa ya nishati-wanasema wahariri
View ArticleBarroso alihutubia bunge la Ulaya kuhusu hali ya Umoja wa Ulaya
Rais wa Halmashauri ya Umoja wa Ulaya, Jose Manuel Barosso, kwa mara ya kwanza amelihutubia bunge la Ulaya kuhusu hali halisi ya umoja huo mjini Strasbourg
View ArticleBarroso alihutubia Bunge la Ulaya
Hotuba yake hiyo ililenga zaidi kuhusu uchumi wa Umoja wa Ulaya na kutoa mapendekezo kadhaa kuzuia mizozo mingine ya madeni.
View ArticleChuki dhidi ya Uislamu , mchungaji kuchoma Koran
Mchungaji mmoja katika jimbo la Florida , kutokana na chuki dhidi ya Uislamu,anataka kuichoma Koran siku ya Septemba 11 kitabu kitakatifu kabisa cha Waislamu.
View Article