Upinzani dhidi ya Uislamu waongezeka nchini Marekani ?
Siku chache kabla ya kumbukumbu ya shambulio la kigaidi la Septemba 11 nchini Marekani, inaonekana kuna wimbi la chuki dhidi ya Uislamu nchini humo.
View ArticleMerkel alaani mipango ya kuchoma moto Koran tukufu
Kansela huyo wa Ujerumani amesema mipango hiyo ni ya chuki na ambayo sio sahihi.
View ArticleTuzo ya uhuru wa vyombo vya habari , Merkel amtunza mchoraji wa Denmark...
Jioni ya jana katika mji wa Potsdam kulifanyika hafla ya kumpa tuzo msanii wa vibonzo kutoka Denmark Kurt Westergaard, tuzo ya vyombo vya habari.
View ArticleMagazetini Ujerumani
Na sasa ni wakati wa kuchambua habari zilizogonga vichwa vya habari katika magazeti ya Ujerumani.
View ArticleUchomaji wa Koran washutumiwa duniani kote
Mpango wa kuchoma nakala za kitabu kitakatifu cha Waislamu cha Koran katika jimbo la Florida nchini Marekani umezusha shutuma kali duniani kote
View ArticleMipango ya kuchoma Koran tukufu yaahirishwa
Uamuzi huo umetangazwa na Mchunganji Terry Jones wa Kanisa moja nchini Marekani, aliyepanga kuchoma moto nakala za Koran tukufu hapo kesho.
View ArticleSarrazin ajiuzulu uanachama wa bodi ya benki kuu ya Ujerumani
Mwanachama wa bodi ya uongozi ya Benki Kuu ya Ujerumani, Thilo Sarrazin, amejiuzulu baada ya kukabiliwa na shinikizo kutoka kwa wanasiasa kufuatia matamshi yake kuhusu wahamiaji yaliyozusha ghadhabu
View ArticleKujiuzulu kwa Sarrazin kwazua hisia tofauti
Kujiuzulu kwa Thilo Sarrazin, mwanachama wa bodi ya uongozi ya benki kuu ya Ujerumani kumezusha hisia mbalimbali humu nchini huku rais wa Ujerumani Christian Wulff akiepuka kibarua kipevu cha kumfuta...
View ArticleObama ataka waumini kuvumiliana.
Wakati leo ikitimia miaka tisa tangu kutokea kwa shambulio la kigaidi mjini New York, Septemba 11 2001, Rais Barack Obama wa Marekani ametoa wito wa kuwepo kuvumiliana kwa waumini wa dini tofauti.
View ArticleMarekani - September 11
Marekani inaadhimisha kumbukumbu ya miaka 9 ya shambulio la kigaidi la Septemba 11.
View ArticleMarekani - September 11
Rais Barack Obama amewaomba raia kuwa na umoja, huku mpango wa kuichoma Quran tukufu ukifutilia mbali.
View ArticleUturuki kufanya kura ya maoni ya katiba
Raia wa Uturuki wanapiga kura ya maoni hii leo iliyo na dhamira ya kuleta mabadiliko ya katiba nchini humo.
View ArticleKura ya maoni Uturuki, raia wataka mageuzi
Katika kura ya maoni ambayo ilikuwa muhimu sana kwa taifa la Uturuki, raia nchini humo wameidhinisha mageuzi ya katiba ambayo hayajawahi kufanyika katika muda wa miongo kadha.
View ArticleWaapiga kura wa Uturuki waunga mkono mageuzi ya katiba
Jumuia ya kimataifa yaipongeza Uturuki kutokana na kuungwa mkono na wananchi walio wengi mageuzi ya katiba
View ArticleMajadiliano ya Amani - Mashariki ya Kati
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na Rais wa Wapalestina Mahmoud Abbas, hii leo wanakutana kwa majadiliano ya amani katika Mashariki ya Kati.
View ArticleJukumu la kutumukia jeshini lawekewa suala la kuuliza
Wahariri wamemulika jinsi waapiga kura wa vyama vya kihafidhina walivyogawika katika suala la kufutiliwa mbali jukumu la vijana kutumikia jeshini
View ArticleMajadiliano ya amani yagubikwa na suala la makaazi
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na Rais wa Wapalestina Mahmoud Abbas hii leo wamekutana kwa majadiliano ya ana kwa ana katika mji wa Sharm-el-Sheikh nchini Misri. .
View ArticleMazungumzo ya amani ya Mashariki ya Kati yaingia siku ya pili
Duru ya pili ya mazungumzo hayo ambayo yanasimamiwa na Marekani, jana yalifanyika Sharm el-Sheikh, Misri na leo yanaendelea mjini Jerusalem, Israel.
View ArticleUfaransa na Burka:Ujerumani na riba za mabenki.
Vipi Kuba kujinusuru na msukosuko wa uchumi wake ?
View Article