Uchaguzi Tanzania: Mahojiano na katibu mkuu wa chama cha TADEA
Nchini Tanzania wakati homa ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 31 ikipanda, miongoni mwa vyama vinavyojiandaa kwa uchaguzi huo ni vile vidogo vidogo vinavyoelekea kujitokeza zaidi huko...
View ArticleRais Nkurunziza aapishwa leo
Nchini Burundi,Rais Pierre Nkurunziza anaapishwa rasmi hii leo mjini Bujumbura kwa muhula wa pili wa uongozi.
View ArticleMali asili muhimu kuingiza China katika teknolijia ya juu
Mali asili ya madini kama Yittrium, Prometheum ama Neodym inapatikana China na madini hayo yanayotumika katika uzalishaji wa vifaa vya teknolojia yataiingiza China katika nguvu kubwa duniani.
View ArticleKiasi watu 350,000 wamehamishwa kutokana na mafuriko
Mto Indus katika eneo la kusini ya jimbo la Sindh nchini Pakistan umezamisha vijiji vingine kadha leo, na maafisa wameamuru watu zaidi ya lakini tatu kuhama katika maeneo yao.
View ArticleUjerumani yapeleka mitambo ya kusafisha maji Pakistan
Shirika la misaada ya kifundi la Ujerumani THW, linapeleka Pakistan, tume ya wataalamu na mitambo miwili ya kusafisha maji.
View ArticleJitahada za kuwajumuisha Waroma Ulaya
Hatua iliyochukuliwa na Ufaransa kuwafukuza Waroma imeishtusha Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya.Mkuu wa masuala ya kisheria wa umoja huo, Viviane Reding amesema, lugha iliyotumiwa katika mdahalo...
View ArticleHistoria yaandikwa upya Kenya!
Rais Mwai Kibaki wa Kenya leo amesaini katiba mpya kuwa sheria, wiki kadhaa baada ya katiba hiyo kuungwa mkono na Wakenya kwenye kura ya maoni.
View ArticleWanaharakati walinzi wa mazingira - Greenpeace Watimiza miaka 30 Ujerumani
Katika mwaka 1997 wanaharakati wanaopigania amani walianzisha rasmi shirika la Greenpeace nchini Canada. Miaka 9 baadaye mwaka 1990, kundi la Ujerumani lilichukua uongozi.
View ArticleMerkel akamilisha ziara yake katika vinu vya kinuklia
Serikali ya Ujerumani inafikiria upya lengo lake la kuweka kodi zaidi kwa viwanda vinne vikubwa vya kuzalisha nishati ya kinuklia, siku chache baada ya maafisa wa serikali ´kusema hivyo.
View ArticleHali nchini Pakistan
Mafuriko yatishia maisha katika maeneo ya kusini,mwezi mmoja baada ya janga baya kabisa la mafuriko kuwahi kuisibu Pakistan
View ArticleSarrazin akosolewa vikali
Thilo Sarrazin,mwanachama wa Bodi ya Benki Kuu ya Ujerumani, amekosolewa vikali na waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani,Guido Westerwelle na Baraza Kuu la Wayahudi kuwa anachochea ubaguzi na chuki dhidi...
View ArticleMwaka wa tano baada ya kimbunga cha Katrina.
Zaidi ya watu 1,500 waliuawa, wakaazi waliilaumu serikali kwa uzembe.
View ArticleUchaguzi Tanzania: Mahojiano na Mkurugenzi wa kampeni za uchaguzi za...
Kampeni za uchaguzi wa urais na ubunge, ambao utafanyika huko Tanzania mwishoni mwa Oktoba, ziko mbioni.
View ArticleUjerumani kujenga upya mabomba ya gesi nchini Ukraine
Kansela wa Ujerumani Angela amemuweka katika kitimoto rais wa Ukraine Viktor Yanukovich kuhusu suala la uhuru wa vyombo vya habari wakati alipokutana na kiongozi huyo hapo jana mjini Berlin
View ArticleWanajeshi wa Marekani wakamilisha harakati za kijeshi nchini Iraq
Rais Barack Obama ataahutubia taifa leo usiku kuadhimisha mwisho wa shughuli z kijeshi za nchi yake nchini Iraq
View ArticleGaddafi awahimiza wanawake vijana Uitalia kuingia Uislamu
Mualiko wa kiongozi wa Libya Muammar Gaddafi kwa mamia ya wanawake vijana kubadili dini na kuwa Waislamu,umegubika ziara yake ya siku mbili nchini Uitalia iliyokuwa na nia ya kuimarisha uhusiano kati...
View ArticleClinton akutana na viongozi wa Israel na Palestina mjini Washington
Waziri wa mashauri ya kigeni wa Marekani Hillary Clinton amekutana na viongozi wa Israel na wa Palestina mjini Washington, Marekani. Mkutano umegubikwa na mauaji ya Waisraeli wanne katika eneo la...
View ArticleWaziri wa ulinzi wa Marekani Gates awasili Irak
Askari 50,000 wa Marekani watakuwa chini ya wizara ya nje
View ArticleRais Obama atoa hotuba ya kukamilisha vita vya Iraq.
Wanajeshi 4,400 wa Marekani waliuawa, 34,260 walijeruhiwa na maelfu ya Wairaqi walikufa katika vita hivyo.
View Article