Mkutano wa jumuiya ya SADC wamalizika leo Windhoek
Kikao cha kilele cha marais wa mataifa wanachama wa Jumuiya ya SADC kimeingia mkondo wa mwisho mjini Windhoek nchini Namibia
View ArticleMgombea urais wa Chama cha Wananchi, CUF, Seif Sharif Hamad atangaza sera na...
Joto la kisiasa lazidi Zanzibar huku uchaguzi wa Oktoba 31 ukikaribia nchini Tanzania
View ArticleKarzai azivunja kampuni binafsi za usalama, amezipa miezi minne.
Makampuni binafsi yanayolinda usalama nchini Afghanistan yatavunjwa.
View ArticleMalawi yapata bendera mpya.
Bendera mpya ya taifa ya Malawi yenye kuonesha ishara ya kile kilichoelezwa kwamba Wamalawi ''wamezindukana'' tangu nchi hiyo kupata uhuru kutoka kwa Mwingireza miaka 46 iliyopita, imezinduliwa rasmi.
View ArticleMwaka mmoja tangu kuachiwa mripuaji wa ndege huko Lockerbie
Mripuaji huyo Abdel Baset al-Megrahi aliachiwa huru kutoka jela mwaka uliopita kwa kuzingatia misingi ya huruma kutokana na kuugua saratani ya kibofu.
View ArticleSakata la uraia wa mwanachama wa chama cha CCM nchini Tanzania
Sakata la uraia linalomkabili aliyekuwa mwanachama wa chama tawala nchini Tanzania cha CCM, Hussein Bashe bado linaendelea kuleta utata baada ya Idara ya Uhamiaji kuthibitisha kwamba mhusika ni raia.
View ArticleVita vya Irak vyamalizika rasmi
Vikosi vya mapambano vya Marekani vyaondoka rasmi Irak.
View ArticleShibuda akihama chama cha CCM na kujiunga na CHADEMA
Kampeni za uchaguzi zaanza rasmi kesho
View ArticleMazungumzo ya amani Mashariki ya Kati kuanza tena Septemba Pili
Mazungumzo hayo ya ana kwa ana yataanza tena baada ya Palestina na Israeli kuukubali mwaliko uliotolewa na Marekani.
View ArticleUchaguzi Australia
Kura zimeanza kuhesabiwa, nchini Australia na matokeo kamili yanatarajiwa hapo kesho.
View ArticleMazungumzo ya amani yatafana,yasema Ujerumani
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amewatolea wito viongozi wa Israel na Palestina kushiriki kikamilifu katika mazungumzo mapya ya moja kwa moja yaliyo na azma ya kuisaka amani ya Mashariki ya Kati.
View ArticleAhmadinejad azindua ndege iliyotengenezwa Iran
Rais wa Iran,Mahmoud Ahmadinejad hii leo amezindua ndege ya masafa marefu inayoweza kupachikwa mabomu.
View ArticleDr Slaa atangaza sera yake
Kiongozi wa CHADEMA aahidi katiba mpya Tanzania iwapo atashinda
View ArticleSteinmeier kumpa mkewe figo
Mwanasiasa huyo ambaye alikuwa naibu kansela na waziri wa mambo ya kigeni wa Ujerumani katika serikali iliypoita, atajiondoka kwa muda katika ulingo wa siasa
View ArticleMageuzi makubwa kufanywa katika jeshi la Ujerumani
Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani Karl-Theodor zu Guttenberg amewasilisha mapendekezo ya kufanywa mageuzi katika jeshi la Ujerumani "Bundeswehr."Hayo yatakuwa mageuzi makubwa kabisa katika historia ya...
View ArticleWanajeshi kupunguzwa kwa theluthi moja
Jeshi la Ujerumani "Bundeswehr" linatazamiwa kufanyiwa mageuzi makubwa kabisa, tangu jeshi hilo lilipoundwa miaka 55 iliyopita.
View ArticleHali nchini Pakistan
Uchumi wa Pakistan kupata pigo kubwa kufuatia mafuriko nchini humo.
View ArticleUmoja wa Ulaya walaani shambulio la al-Shabaab
Mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya, Bibi Catherine Ashton amelaani shambulio la wanamgambo lililouwa watu 31 katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu siku ya Jumanne.
View ArticleUchaguzi Tanzania: Mahojiano na mjumbe wa Halmashauri Kuu ya chama cha...
Wakati joto la uchaguzi likizidi kupamba moto huko nchini Tanzania, vyama mbalimbali vinaendelea na kampeni zao kwa lengo la kujinadi kwa wananchi ili vifanikiwe kujinyakulia ushindi.
View Article