Shambulio la anga huko Somalia lauwa watu watano
Shambulio la anga lililofanywa na majeshi ya Kenya Jumapili limesababisha watu 5 kuuwawa na kuwajeruhi wengine 45, wengi wakiwa wanawake na watoto, katika kambi ya watu ambao wamekimbia makaazi yao...
View ArticleIdadi ya wakaazi duniani imefikia watu bilioni saba
Katibu mkuu Ban Ki Moon amesema mtoto atakayetimiza idadi hii atakuwa katika dunia inayokabiliwa na utata, na changamoto kubwa katika vita dhidi ya umasikini.
View ArticleBaraza la Mpito la Libya lachagua waziri mkuu mpya
Wajumbe wa Baraza la Mpito nchini Libya jana wamemteuwa msomi na mfanyabiashara atakayeongoza serikali ya mpito ya nchi hiyo wakati huu Jumuiya ya Kujihami ya NATO ikiwa imehitimisha operesheni yake.
View ArticleNini maana ya Palestina kuwa mwanachama mpya wa UNESCO?
Licha ya lawama kali za Marekani, Palestina imekubaliwa kuwa mwanachama kamili wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), hatua inayoonekana kuwa dalili njema kwa juhudi...
View ArticleIsrael kuiadhibu Palestina kwa uanachama wa UNESCO
Baada ya Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) kuikubalia Palestina uanachama kamili, baraza la mawaziri la Israel linakutana hivi leo (01.11.2011) kuzungumzia la kufanya...
View ArticleSyria kukubaliana na mapendekezo ya Jumuiya ya Kiarabu
Mwakilishi wa Syria kwenye Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, Youssef Ahmed, amewasili mjini Cairo akipeleka jibu la nchi yake kwa mpango uliopendekezwa na Jumuiya hiyo kumaliza mgogoro wa kisiasa unaoendelea...
View ArticleUgiriki kutakiwa kuamua kubakia au kutoka kwenye Euro
Huku Waziri Mkuu wa Ugiriki, George Papandreou, akikutana na viongozi wakuu wa Kanda ya Euro, imefahamika kuwa ile awamu ya sita ya mkopo kwa nchi yake imezuiwa kwa muda kutokana na pendekezo lake la...
View ArticleUjerumani na Ufaransa zatoa onyo kali dhidi ya serikali ya Ugiriki
Kansela Angela Merkel wa Ujerumani na Rais Nicolas Sarkozy wa Ufaransa wamefanya mkutano wa dharura katika mji wa Cannes nchini Ufaransa na kutoa onyo kali kwa Waziri Mkuu wa Ugiriki George Papandreou.
View ArticleMapigano yaendelea Syria licha ya jumuiya ya kiarabu kukubaliana kusitishwa...
Licha ya serikali ya Syria kutangaza kukubali mpango wa jumuiya ya kiarabu kumaliza vita na kuleta amani nchini humo, majeshi huko yamesababisha vifo vya watu watatu katika mikoa kadhaa mjini Homs,...
View ArticleMKUTANO WA G 20 UNAANZA LEO MJINI CANNES
Viongozi wa nchi 20 muhimu duniani wanatarajiwa kuanza mkutano wao hivi punde.
View ArticleMkutano wa G20 kuijadili Ugiriki na madeni ya eneo la euro
Ajenda katika mkutano wa mataifa 20 yenye viwanda imegubikwa zaidi na suala la mzozo wa madeni katika eneo la umoja wa sarafu ya euro , pamoja na mtafaruku wa kisiasa nchini Ugiriki.
View ArticleMchezo wa kuigiza Ugiriki wafikia mwisho kura ya maoni hakuna
Mahesabu ya waziri mkuu wa Ugiriki George Papandreou yameparaganyika. Kwa kutaka kuitisha kura ya maoni alitaka kuwatwika wananchi jukumu, la kutoa maoni yao pamoja na kuunga mkono msaada kwa nchi yao
View ArticleMahujaj na mtandao wa Internet
Mawasiliano ya kimambo leo,yanapendwa na mahujaj mwaka huu.Lakini sio wao tu, hata maafisa wa serikali wa Saud Arabia wanatumia Facebook na Twitter.
View ArticleSerikali ya Sudan yateka jimbo la Blue Nile
Jeshi la Sudan limetangaza kudhibiti makao makuu ya waasi mjini Kurmuk, katika jimbo la Blue Nile, miezi miwili baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe
View ArticleNjaa ni tatizo la kisiasa
Ukweli ni kuwa duniani kuna chakula cha kutosha cha kumlisha kila mtu, lakini ubaya ni kwamba wanasiasa, hasa katika mataifa yanayoendelea, yameligeuza tatizo la njaa kuwa mtaji wao wa kisiasa.
View ArticleIbada ya Hjja huko Makka,Saudi Arabia
Ibada ya Hijja huko Makkah, kwa zaidi ya waislamu milioni 2.5 kutoka pande mbali mbali za dunia imeendelea leo kwa mahujaji wengi hivi sasa kuwasili Minna, mji ulioko nje kidogo ya Makkah.
View ArticlePapandreou anusurika katika kura ya kuwa na imani
Waziri mkuu wa Ugiriki Geirge Papandreou ameshinda kura ya kuwa na imani na utawala wake , iliyopigwa bungeni mapema leo Jumamosi baada ya kuahidi kuanzisha mazungumzo ya kuunda serikali ya umoja wa...
View ArticleMilipuko ya mabomu na risasi vyaitingisha Nigeria
Milipuko mitatu tofauti ya mabomu ya kujitoa mhanga imetokea kwenye makao makuu ya jeshi katika mji wa Maiduguri na minginge ya mabomu ya kutegwa barabarani imelitikisa eneo la kaskazini mwa Nigeria...
View ArticleDAMU YAMWAGIKA NIGERIA
Watu zaidi ya 100 wauawa kutokana na mashambulio ya kigaidi nchini Nigeria
View ArticleSerikali mpya kuundwa Ugiriki, Papandreou kujiuzulu
Ofisi ya Rais nchini Ugiriki imesema kwamba, waziri mkuu wa nchi hiyo na kiongozi wa chama kikuu cha upinzani wamefikia makubaliano ya mwanzo juu ya uundaji wa serikali ya muda.
View Article