Dresden: Miaka 70 baada ya maagamizi
Unatimu mwaka wa 70 tokea majeshi ya nchi yaliyofungamana dhidi ya fashisti Hitler kuushambulia kwa ndege mji wa Dresden, mashariki mwa Ujerumani. Maalfu ya watu walikufa kutokana na mashambulio hayo.
View ArticleMichuano ya 21 ya Ligi ya Ujerumani
Bundesliga , Ligi kuu ya kandanda ya Ujerumani inaingia katika michuano yake ya 21 Jumamosi Jumapili.
View ArticleHRW yatoa ripoti ya kuuwawa 47 Burundi
Shirika la haki za binaadamu Human Rights Watch limesema katika ripoti yake mpya kuhusu Burundi, kwamba majeshi ya nchi hiyo na polisi walifanya mauaji kiasi ya 47 kati ya Desemba 30 2014 na Januari 3...
View ArticleMakubaliano ya Minsk mashakani
Licha ya makubaliano yaliyosimamiwa na viongozi wa Ujerumani na Ufaransa kufikiwa kati ya pande hasimu nchini Ukraine, mapigano makali yameripotiwa hata wino wa saini za makubaliano hayo haujakauka.
View ArticleAssad ni sehemu ya suluhisho asema Mistura
Suluhisho lolote katika mapigano nchini Syria linapaswa kumuhusisha pia rais Bashar al-Assad , mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa nchini Syria amesema katika hatua ya kwanza ya Umoja wa Mataifa kukiri...
View ArticleMapigano yapamba moto Ukraine
Mapigano makali yaendelea Ukraine Jumamosi (14.02.2015) na kutishia makubaliano ya kusitisha mapigano wakati serikali na Marekani zikiishutumu Urusi kwa kuchochea mashambulio ya waasi kuteka ardhi...
View ArticleUsitishaji mapigano waanza rasmi Ukraine
Usitishaji mapigano umetangazwa rasmi mashariki mwa Ukraine saa sita usiku wa kuamkia Jumapili (15.02.2015) na kufufua matumaini ya utulivu katika mzozo ambao umesababisha zaidi ya watu 5,000 kupoteza...
View ArticleRais Nkurunziza kuwania muhula wa tatu Burundi
Msemaji wa Rais Piere Nkurunziza wa Burundi amesema Jumapili (15.02.2015) kwamba kiongozi huyo atawania muhula wa tatu madarakani katika uchaguzi wa mwezi wa Juni na kukaidi watu wanaosema atakiuka...
View ArticleDola la Kiislamu laua Wakristo 21 Libya
Jeshi la Misri limefanya mashambulizi ya anga dhidi ya vituo vya Dola la Kiislamu nchini Libya, baada ya kundi hilo kusambaza video mtandaoni inayoonyesha Wakristo 21 kutoka Misri wakichinjwa.
View ArticleMkataba wa Minsk II waanza rasmi
Kwa ujumla makubaliano ya kusitisha mapigano mashariki mwa Ukraine kati ya vikosi vya serikali na vya waasi, Minsk II, yameanza rasmi licha ya kugubikwa na ufyatulianaji risasi wa hapa na pale.
View ArticleSPD waibuka na ushindi Hamburg
Shangwe zimehanikiza tangu Hamburg hadi makao makuu ya chama cha SPD mjini Berlin.Baada ya ushindi katika uchaguzi wa jiji la Hamburg diwani mkuu Olaf Scholz anapewa nafasi ya kuvaa taji la uongozi wa...
View ArticleBayern yatumbukiza mabao manane dhidi ya Hamburg
Bayern Munich yapikisha mipira mara nane wavuni mwa Hamburg SV, Borussia Dortmund yaondoka kwa mara ya kwanza tangu mwaka kuanza kutoka katika eneo la hatari ya kushuka daraja.
View ArticleHakuna makubaliano kati ya Ugirki na Umoja wa Ulaya
Ugiriki imeshindwa kufikia makubaliano na wakopeshaji wake kuhusu mpango wa kupunguza madeni na kufufua uchumi. Mazungumzo kati ya serikali ya Ugiriki na mawaziri wa fedha wa Umoja wa Ulaya yamekwama.
View ArticleAl-Sissi ataka azimio la UN kuhusu Libya
Rais wa Misri Abdel Fattah al-Sissi ameutolea wito Umoja wa Mataifa kuweka azimio juu ya muungano wa kimataifa utakaoingilia kati nchini Libya, kupambana na kundi linalojiita Dola la Kiislamu nchini humo.
View ArticleSilaha kali bado hazijaondolewa kwenye uwanja wa mapambano mashariki mwa Ukraine
Majeshi ya Ukraine na ya waasi wanaoungwa mkono na Urusi bado hawajaziondoa silaha kali kutoka kwenye mpaka wa uwanja wa mapambano mashariki mwa Ukraine. Silaha hizo zilipaswa kuanza kuondolewa leo...
View ArticleOlusegun Obasanjo ajiondoa kutoka chama tawala Nigeria
Rais wa zamani wa Nigeria Olusegun Obasanjo amejiondoa kama mwanachama wa chama tawala cha People's Democratic Party PDP hatua ambayo ni pigo kwa Rais wa sasa Goodluck Jonathan anayegombea muhula...
View ArticleWanajeshi wa Ukraine wakimbia mapigano Debaltseve
Mapigano bado yanaendelea nchini Ukraine na yamejikita zaidi katika mji wa Debaltseve, Mashariki mwa nchi. Hata hivyo mamia ya wanajeshi wanasemekana kusalimu amri na kuondoka mjini humo.
View ArticleBiden ataka ushirikishwaji wahamiaji kupambana na siasa kali
Mkutano wa kimataifa jijini Washington juu ya kupambana na siasa kali umefunguliwa rasmi, huku Makamu wa Rais Joe Biden akisema dawa ni kuzijumuisha jamii za wachache kwenye mataifa ya Magharibi.
View ArticleBoko Haram yauwa watu 38 Nigeria
Mashambulizi mawili ya watu walijitoa mhanga huko kaskazini/mashariki mwa Nigeria yamesababisha vifo vya takribani watu 38 ikiwa ni karibu wiki sita kabla ya kufanyika uchaguzi wa taifa hilo.
View ArticleMapigano yanaendelea Aleppo licha ya pendekezo juu ya kuyasimamisha
Mjumbe wa Umoja wa Mataifa anaeushughulikia mgogoro wa Syria amesema amepewa uhakika kwamba majeshi ya serikali yatasimamisha mashambulio katika mji wa Aleppo
View Article