Mapigano bado yanaendelea nchini Ukraine na yamejikita zaidi katika mji wa Debaltseve, Mashariki mwa nchi. Hata hivyo mamia ya wanajeshi wanasemekana kusalimu amri na kuondoka mjini humo.
↧