Ugiriki imeshindwa kufikia makubaliano na wakopeshaji wake kuhusu mpango wa kupunguza madeni na kufufua uchumi. Mazungumzo kati ya serikali ya Ugiriki na mawaziri wa fedha wa Umoja wa Ulaya yamekwama.
↧