Ujenzi wa kambi ya kijeshi Urusi
Wahariri wa magazeti wazungumzia uamuzi wa waziri wa uchumi wa Ujerumani Sigmar Gabriel kukikataza kiwanda kimoja cha hapa nchini kujenga kambi ya mazoezi ya kijeshi nchini Urusi.
View ArticleViongozi wa Marekani na Afrika wageukia biashara
Viongozi wa kisiasa na kibiashara kutoka Marekani na Afrika wanakutana Jumanne hii huku Washington ikitumai kuwa mkutano wa kilele wa kihistoria utapelekea kuongezeka kwa biashara na uwekezaji kati ya...
View ArticleVikosi vya Ukraine vyakaribia Donetsk
Ukraine imesema kuwa vikosi vyake vinakaribia kuingia kwenye ngome kuu inayoshikiliwa na waasi katika mkoa wa Donetsk na imewataka wapiganaji kuwaachia raia ili kuyakimbia mapigano katika miji ya...
View ArticleNigeria yashutumiwa kuuwa Boko Haram kikatili
Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema kuwa jeshi la Nigeria limehusika katika matukio ya kikatili kwenye mapambano dhidi ya wapiganaji wa kundi la Boko Haram.
View ArticleMwanajeshi wa NATO auawa Afghanistan, 15 wajeruhiwa
Mwanajeshi moja wa jumuiya ya kujihami NATO ameuawa na Brigedia Jenerali kutoka Ujerumani ni miongoni mwa wengine 15 waliojeruhiwa, katika shambulizi magharibi mwa Kabul.
View ArticleAhueni yaendelea kuheshimiwa Gaza
Makubaliano ya kusitisha mapigano kwa masaa 72 katika Ukanda wa Gaza yameendelea kuheshimiwa kwa leo, huku wajumbe wa Israel na Palestina wakijiandaa kwa mazungumzo ya kujaribu kurefusha ahueni iliyopo.
View ArticleMarekani yaonya kusambaa siasa kali Afrika
Rais Barack Obama anakutana na viongozi Afrika kuhitimisha siku tatu za mijadala juu ya usalama, nishati na utawala bora, huku Marekani ikionya kusambaa kwa siasa kali kwenye bara hilo linaloinukia kwa...
View ArticleJuhudi za kudhibiti Ebola zafanyika
Sierra Leone imewapeleka wanajeshi wake kulinda eneo ambapo waathirika wa Ugonjwa hatari wa ebola wamewekwa, huku kesi ya kwanza ya maambukizi ya ugonjwa huo Saudi Arabia, ikizua wasiwasi wa mripuko wa...
View ArticleHali ya kibinaadamu Ukraine ni mbaya
Afisa mwandamizi wa Umoja wa Mataifa amelionya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa katika mkutano wa dharura Jumanne(05.08.2014) kwamba hali ya kibinaadamu mashariki mwa Ukraine inazidi kuwa mbaya.
View ArticleUsitishaji mapigano Gaza wazingatiwa
Usitishaji wa mapigano umeendelea kuzingatiwa wakati wasuluhishi wa Misri wakifanya mazungumnzo na Israel na wawakilishi wa Wapalestina ili kuwa na usitishaji wa mapigano utakaokomesha Gaza.
View ArticleKifungo cha Maisha kwa vigogo wa Khmer Rouge
Mahakama ya Cambodia inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa imewahukumu kifungo cha maisha watu 2 waliokuwa vigogo wa utawala wa Khmer Rouge, baada ya kuwakuta na hatia ya uhalifu dhidi ya ubinadamu.
View ArticleMasaa 24 ya mwisho ya kuweka chini silaha Gaza
Waziri katika serikali ya Israel ameonya kuwa taifa lake litajibu mapigo endapo kundi la wanamgambo wa Kipalestina la Hamas litaanza mapigano baada ya hatua ya usitishwaji wa muda mfupi wa mapigano...
View ArticleHali ya dharura yatangazwa Liberia
Rais wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf ametangaza hali ya dharura nchini mwake kutokana mripuko wa ugonjwa wa Ebola na kuonya kwamba hatua zaidi zinahitajika ili kulinusuru taifa la Liberia.
View ArticleMaoni : Fursa iliopotezwa - Mkutano wa Kilele Marekani na Afrika
Mkutano wa Kilele kati ya Afrika na Marekani ulikuwa na maneno matamu Afrika ni bara lenye matumaini makubwa na ahadi ya uwekezaji wa dola bilioni 14 kwa ajili ya uchumi wa Afrika lakini kwa kweli ni...
View ArticleWanamgambo wateka bwawa Iraq
Wanamgambo wa Kisunni kutoka kundi la Dola la Kiislamu wameliteka bwawa kubwa kabisa la Iraq na kuliweka chini ya udhibiti wake ikiwa ni rasilmali kubwa ya kuzalisha umeme na kusambaza maji.
View ArticleObama aidhinisha mashambulizi ya angani Iraq
Rais wa Marekani Barack Obama ameziagiza ndege za kivita kurudi tena katika anga ya Iraq kudondosha chakula kwa wakimbizi na ikihitajika zifanye mashambulizi kuzuwia kile alichokiita uwezekano wa...
View ArticleKenya yatakiwa kushughulikia sakata la ardhi
Waziri wa ardhi wa Kenya anaendelea na mchakato wa kuzifuta hati za kumiliki ardhi zilizotolewa kwa makampuni na watu binafsi katika kaunti ya Lamu.
View ArticleWHO yatangaza Ebola janga la kimataifa
Shirika la Afya Duniani linasema virusi vya ugonjwa huo vinaendelea kusambaa kutoka Afrika Magharibi na sasa kufikia nchi nyingine. Mataifa mengi yameimarisha ukaguzi katika viwanja vya ndege.
View ArticleVikwazo vyaathiri biashara ya bidhaa za kiutu Iran
Chakula na dawa ni vitu ambavyo havijajumuishwa katika vikwazo vya Marekani na Umoja wa Ulaya dhidi ya Iran, lakini benki nyingi zinahofia faini zinazotozwa na Marekani ijapokuwa biashara ni halali.
View ArticlePalestina yataka mazungumzo yaendelee
Licha ya kuanza tena kwa mashambulizi ya Israel dhidi ya Gaza, ujumbe wa Palestina kwenye mazungumzo ya amani mjini Cairo umesema mazungumzo ya kusaka amani ya kudumu yanaendelea.
View Article