Rais wa Marekani Barack Obama ameziagiza ndege za kivita kurudi tena katika anga ya Iraq kudondosha chakula kwa wakimbizi na ikihitajika zifanye mashambulizi kuzuwia kile alichokiita uwezekano wa mauaji ya halaiki.
↧