Wanne washtakiwa kwa njama za kumuua rais Kagame
Washukiwa wanne wa uhaini nchini Rwanda walifikishwa mahakamani kwa tuhuma za kula njama za kufanya mauaji dhidi ya viongozi wa serikali ya Rwanda akiwemo rais Paul Kagame pamoja na kufanya...
View ArticleRais Barack Obama ziarani Asia na Pacific
Rais Barack Obama wa Marekani anaanza ziara rasmi barani Asia kuanzia kesho,itakayomfikisha Japan,Corea ya kusini,Malaysia na Philippines.Lengo ni kutuliza hofu za washirika wake kuelekea China
View ArticleBiden aishutumu Urusi
Makamu wa Rais wa Marekani, Joe Biden ameishutumu Urusi kwa kujaribu kuisambaratisha Ukraine na ameonya nchi hiyo inapaswa kuacha kuongea maneno matupu na ionyeshe vitendo vya kupunguza mzozo mashariki...
View ArticleUN yatafakari vikwazo Sudan Kusini
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linafikiria kuweka vikwazo dhidi ya makundi yanayopigana nchini Sudan Kusini, huku rais wa nchi hiyo Salva Kiir, akimfukuza kazi mkuu wa majeshi, baada ya waasi...
View ArticleShambulizi la bomu jijini Nairobi
Watu wanne waliuawa katika mripuko wa gari uliotokea jana jioni kwenye kituo cha polisi cha Pangani mjini Nairobi, Kenya, miongoni mwa wahanga wakiwemo maafisi wawili wa polisi.
View ArticleObama kuhimiza vikwazo zaidi dhidi ya Urusi
Rais Barack Obama wa Marekani Ijumaa (25.04.2014) anatarajiwa kuwashinikiza washirika wake wa Ulaya kuiwekea vikwazo zaidi Urusi iwapo nchi hiyo itazidi kuimarisha vitendo vyake vya uchokozi nchini...
View ArticleAfrika katika magazeti ya Ujerumani
Magazeti ya Ujerumani wiki hii yameandika juu ya hatari ya njaa Sudan kusini,na juu ya kutimuliwa kwa raia wa Jamhuri ya Kidemokasi ya Kongo kutoka Kongo Brazzaville.
View ArticleMarekani, Ulaya waafiki vikwazo vipya kwa Urusi
Rais wa Marekani Barack Obama na viongozi wa nchi muhimu za Umoja wa Ulaya wamekubaliana juu ya hatua za kuiwekea Urusi vikwazo vipya. Maafisa wa Marekani wamesema vikwazo hivyo vinaweza kutekelezwa...
View ArticleAfrika Kusini Yaadhimisha Miaka 20 ya Demokrasia
Wananchi wa Afrika Kusini wanasherehekea leo hii miaka 20 tangu kufanyika uchaguzi uliozishirikisha jamii zote za nchi hiyo katika uchaguzi uliomaliza utawala wa ubaguzi wa rangi.
View ArticleJamhuri ya Muungano wa Tanzania yaadhimisha miaka 50
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jumamosi (26.04.2014) inaadhimisha miaka 50 tokea kuasisiwa kwake lakini sherehe hizo zimetiwa kiwingu na malumbano makali kuhusu mfumo wa muungano unavyopaswa kuwa.
View ArticleVladmir Klitschko ahifadhi taji lake la dunia
Bingwa wa ndondi wa Ukraine Vladmir Klitschko ametetea kwa urahisi mataji yake ya dunia ya uzito wa juu baada ya kumwangusha sakafuni mpinzani wake Muaustralia Alex Leapai katika raundi ya tano ya pigano
View ArticlePapa awatangaza John wa 23 na John wa Pili watakatifu
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis Jumapili(27.04.2014) amewatangaza watangulizi wake wawili John wa 23 na John wa Pili kuwa watakatifu mbele ya umati uliofurika uwanja wa kanisa la...
View ArticleObama awaunga mkono majirani wa China mgogoro wa maeneo
Rais Barack Obama wa Marekani yuko nchini Ufilipino, kituo cha mwisho cha ziara yake barani Asia, ambayo inalenga kuonyesha mshikamano kati ya Marekani na kanda hiyo, wakati wa mzozo baina ya China na...
View ArticleMarekani Yapanga Kuiwekea Vikwazo zaidi Urusi
Marekani inapanga kutangaza vikwazo zaidi dhidi ya Urusi ,hatua inayotarajiwa pia kufuatwa na Umoja wa Ulaya,lengo likiwa kuitanabahisha Moscow iache kupalilia mgogoro wa Mashariki ya Ukraine
View ArticleHali bado yatisha Sudan Kusini
Navi Pillay yuko Sudan Kusini wakati ambapo nchi hiyo inazidi kukabiliwa na wimbi la mauaji huku sauti za kushutumu mauaji hayo zikiongezeka kusikika kutoka pembe zote za dunia
View ArticleDani Alves "autafuna" ubaguzi wa rangi
Matukio kadhaa ya ubaguzi wa rangi michezoni yanaendelea kushuhudiwa na kuripotiwa katika maeneo mbalimbali duniani, na tukio la karibuni kabisa limemhusu mchezaji Barcelona Mbrazil Dani Alves.
View ArticleHatima ya Mazungumzo ya Amani Mashariki ya Kati baada ya Aprili 29
Muda uliowekwa na Marekani wa kufanya mazungumzo ya kuleta suluhisho la mgogoro wa Mashariki ya Kati umemalizika na hakuna dalili ya kusonga mbele. Hata hivyo John Kerry amesema mchakato wa amani bado...
View ArticleBerlusconi akanusha kauli kuhusu kambi za mateso Ujerumani
Berlusconi amedai Ujerumani haitambui kuwepo kwa kambi za mateso wakati wa utawala wa manazi. Wachambuzi wanaiona kauli ya Berlusconi aliyoitoa wakati wa kampeni kama jitihada ya mwisho kujinusuru...
View ArticleUrusi yaondowa vikosi vyake mpakani na Ukraine
Urusi imeviondowa vikosi vyake mpakani na Ukraine na kuihakikishia Marekani kwamba haitoivamia Ukraine hatua ambayo inakuja wakati Marekani na Umoja wa Ulaya zikiiwekea vikwazo vipya Urusi kutokana na...
View ArticleAdhabu ya kifo ya Misri yalaaniwa vikali
Umoja wa Mataifa na Marekani wamelaani vikali adhabu ya kifo dhidi ya watu 683 wanaodaiwa kuwa ni waislamu wenye msimamo mkali akiiwemo kiongozi wa chama cha udugu wa Kiislamu Mohamed Badie.
View Article