Quantcast
Channel: DW Kiswahili
Browsing all 28146 articles
Browse latest View live
↧

Hollande, Merkel, Misri magazetini

Wahariri wa magazeti ya Ujerumani wamezungumzia mkakati wa rais Francois Hollande kuimarisha uchumi na sakata la uhusiano wake wa siri, mkataba wa kutochunguzana baina ya Marekani na Ujerumani na kura...

View Article


Wapigakura Misri waipitisha katiba mpya

Wapiga kura nchini Misri wameiunga mkono kwa kiasi kikubwa katiba ambayo inafungua njia kwa mkuu wa majeshi kupigania urais, ingawa idadi ya waliojitokeza kupiga kura hiyo inatajwa kuwa kipimo muhimu...

View Article


Ruto kutohudhuria vikao vyote vya ICC

Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ya mjini The Hague Uholanzi imeamua kwamba Makamo wa Rais wa Kenya William Ruto hatohitajika kuwepo katika vikao vyake vyote vya kesi inayomkabili ya uhalifu dhidi ya...

View Article

Maoni ya wahariri

Wahariri wa magazeti ya Ujerumani leo wanatoa maoni juu ya mpango wa mageuzi ya sera ya nishati katika Umoja wa Ulaya, mkasa wa ubakaji nchini India na juu ya uchumi wa Ujerumani.

View Article

Jeshi la Rwanda laelekea Jamhuri ya Afrika ya Kati

Kwa mara ya kwanza sehemu ya kwanza ya kikosi cha jeshi la Rwanda imeondoka mjini Kigali kuelekea nchini Jamhuri ya Afrika ya kati kwa ajili ya ulinzi wa amani nchini humo.

View Article


Kesi ya Hariri yaanza

Kesi dhidi ya watu wanne wanaotuhumiwa kupanga mauaji ya Waziri Mkuu wa zamani wa Lebanon, Rafik Hariri, imeanza mjini The Hague, ikiwa ni takribani miaka tisa baada ya mauaji hayo.

View Article

Merkel, Karzai wazungumzia usalama Afghanistan

Kansela wa Ujerumani Angela alifanya mazungumzo na rais Hamid Karzai kuhusu ushiriki wa Ujerumani nchini Afghanistan mwaka huu, na uwezekano wa kusogeza muda wa uwepo wa vikosi vya Ujerumani nchini...

View Article

Kenya kitovu cha mafuta Afrika Mashariki?

Kenya huenda ikawa kitovu cha uzalishaji mafuta katika ukanda wa Afrika Mashariki, kufuatia kampuni ya uchimbaji mafuta ya Tullow ya nchini Uingereza, kugundua mafuta katika eneo la bonde la Lokichar.

View Article


Hali inatisha Sudan Kusini

Maelfu ya wakaazi wa Sudan Kusini wanayapa kisogo maskani yao kufuatia mapigano. Waasi wanashikilia Uganda iache kuwaunga mkono wanajeshi wa serikali la sivyo hawatotia saini makubaliano ya kuweka...

View Article


Mazungumzo ya Montreux yawiva

Matayarisho ya mkutano wa wiki ijayo mjini Montreux kusaka amani ya Syria yanaelezwa kufikia hatua nzuri, ambapo Waziri wa Mambo ya Nje Walid Mualle ametangaza mpango wa kubadilishana wafungwa na waasi.

View Article

Bundesliga yajindaa kurejea uwanjani

Wakati ligi ya Ujerumani bado iko mapumzikoni na timu zikijiandaa kurejea tena viwanjani wiki ijayo, Ligi ya Uingereza , Uhispania , Italia na Ufaransa zinaendelea

View Article

Afrika katika magazeti ya Ujerumani

Pamoja na masuala mengine magazeti ya Ujerumani wiki hii yameandika juu ya mazungumzo ya kuleta amani katika Sudan Kusini,ziara ya Waziri Mkuu wa Japan na juu ya msimamo wa China katika migogoro ya...

View Article

Watu 16 wauawa katika shambulizi la Kabul

Watu 16 wameuawa wakiwemo wafanyakazi wanne wa Umoja wa Mataifa na raia wengine wa kigeni, katika mlipuko wa bomu na shambulizi la risasi lililofanywa kwenye hoteli moja ya mji mkuu wa Afghanistan, Kabul.

View Article


Obama aonyesha ufasaha, lakini mageuzi NSA yatafuata?

Ni nadra kwa siasa za zama hizi kutoa kiongozi mwenye haiba ya rais Barack Obama katika kushughulikia jambo kubwa. Lakini wakosoaji na hata wafuasi wake wanahoji iwapo ufasaha wa maneno yake unawiana...

View Article

Mji wa Bor wakombolewa

Vikosi vya serikali ya Sudan Kusini vimeukomboa tena mji muhimu wa Bor kwa kuwashinda maelfu ya wanajeshi wa waasi leo Jumamosi.(18.01.2014).

View Article


Upinzani Syria wakubali kuhudhuria mkutano wa Geneva II

Upinzani uliogawika kwa kiasi kikubwa nchini Syria hatimaye umekubali jana Jumamosi(18.01.2014) kuhudhuria mkutano wa kimataifa wa amani, wa Geneva II ukisema unataka kumuondoa madarakani rais Bashar...

View Article

Vikosi vya Rwanda vyaelekea Jamhuri ya Afrika ya Kati

Kwa mara ya kwanza sehemu ya kwanza ya kikosi cha jeshi la Rwanda kimeondoka mjini Kigali kuelekea nchini Jamhuri ya Afrika ya kati kwa ajili ya ulinzi wa amani nchini humo.

View Article


Rais wa Mpito kuchaguliwa wakati ghasia zinaendelea CAR

Rais mpya wa mpito anatarajiwa kuteuliwa leo katika jamhuri ya Afrika ya kati, wakati mawaziri wa Umoja wa Ulaya wanatarajiwa pia kuidhinisha jeshi litakaloingilia kati kutoa usaidizi kwa ujumbe wa...

View Article

Jeshi la Ujerumani kuwajibika zaidi Afrika

Uwezekano wa kuimarishwa shughuli za wanajeshi wa Ujerumani barani Afrika,mswada wa sheria kuhusu nishati mbadala na fujo za mashabiki wa dimba ni miongoni mwa mada magazetini

View Article

Wapinzani Syria waichimbia mkwara UN

Muungano wa upinzani nchini Syria ulitoa muda wa masaa sita kwa Umoja wa Mataifa kufuta mwaliko uliotolewa kwa Iran kuhudhuria mkutano wa Geneva II, vinginevyo wanajitoa.

View Article
Browsing all 28146 articles
Browse latest View live