Makundi ya upinzani Syria yapata msimamo mmoja
Makundi kadha ya upinzani nchini Syria yamekubaliana kuhusu msimamo mmoja kabla ya mazungumzo ya amani ya kumaliza mzozo nchini mwao.
View ArticleAriel Sharon: Raia kutoa heshima zao Jumapili
Rais Barack Obama wa Marekani amemuenzi jana Jumamosi(11.01.2014) waziri mkuu wa zamani wa Israel Ariel Sharon na kusema alikuwa na nia thabiti kwa taifa lake.
View ArticleAfrika katika magazeti ya Ujerumani
Magazeti ya Ujerumani wiki hii yameandika juu ya migogoro ya Sudan Kusini,Jamhuri ya Afrika ya Kati na juu ya wakimbizi kutoka Afrika walioko nchini Israel.
View ArticleMakubaliano kuhusu mpango wa kinyuklia wa Iran yafikiwa
Iran imepata makubaliano na mataifa yenye nguvu duniani kuhusu mpango wake wa kinyuklia na makubaliano hayo yataanza kutekelezwa kuanzia tarehe 20 mwezi huu.
View ArticleVon der Leyen ashauri Mageuzi Jeshini
Shauri la waziri wa ulinzi la kulijongeza jeshi la Shirikisho Bundeswehr karibu zaidi na familia,na nafasi ya kufanikiwa juhudi za waziri wa mambo ya nchi za nje Frank-Walter Steinmeier katika jukwa la...
View ArticleWanajeshi wa zamani warudi kambini Afrika ya Kati
Wanajeshi kadhaa waliojiunga na wanamgambo wa Kikristo kumpinga Muislamu wa kwanza kuwa rais katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, Michel Djotodia, wamerejea kambini leo baada ya usimamishaji mapigano na...
View ArticleSharon aagwa rasmi
Wananchi wa Israel Jumatatu(13.01.2014)wametowa heshima zao za mwisho kwa Waziri Mkuu wa zamani Ariel Sharon mtu ambaye amesifiwa kuwa ni shujaa wa vita nchini mwake na kuonekana kuwa mhalifu wa vita...
View ArticleAC Milan yamtimua kocha Allegri
Klabu ya Ac Milan imemfuta kazi Massimiliano Allegri na kumpandisha ngazi Mauro Tassotti kama kocha mshikilizi, baada ya vigogo hao wa soka Italia kuwa na mfululizo wa matokeo mabaya katika Serie A
View ArticleCristiano Ronaldo atunukiwa Ballon d'Or
Cristiano Ronaldo ameshinda tuzo ya FIFA ya mchezaji bora wa mwaka Ballon d'Or. Ujerumani ilinyakua tuzo tatu, wakati Jupp Heynckes na Silvia Neid wakishinda tuzo ya makocha bora
View ArticleWahariri juu ya Iran, Thailand na muungano mkuu
Makubaliano ya muda kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran, maandamano nchini Thailand na malumbano ndani ya serikali ya muungano mkuu ni miongoni mwa mada walizozungumzia wahariri wa magazeti ya hapa...
View ArticleWamisri wapiga kura kuamua mustakabali wao
Wamisri wameanza kuteremka vituoni kutoa maoni yao kuhusu katiba mpya, hatua inayoangaliwa kama kipimo cha umashuhuri wa jeshi lililomng'owa madarakani Mohammed Mursi, huku tayari kukiwa na taarifa za...
View ArticleWatu 200 wafa maji Sudan kusini
Kiasi ya watu 200 kutoka Sudan Kusini wamefariki leo Jumanne katika ajali ya feri katika Mto Nile wakati wakikimbia mapigano katika mji wa Malakal.
View ArticleDRC: Ripoti ya umoja wa mataifa kuhusu Waasi wa M23
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, imeelezea wasiwasi wake kufuatia ripoti ya Umoja wa Mataifa ambayo inasema waasi wa M23 wanaendelea kuwasajili wapiganaji katika nchi jirani za Rwanda na...
View ArticleWaandamanaji Thailand walenga majengo ya serikali
Waandamanaji wa upinzani nchini Thailand leo (14.01) wameelekea kwenye majengo ya serikali kuwashawishi wafanyakazi wa umma kufunga ofisi zao na kujiunga na kampeni yao ya kusimamisha shughuli katika...
View ArticleKuhamia teknolojia ya digitali Kenya bado changamoto
Raia wa Kenya bado wana hofu na mchanganyiko wa kuhama kutoka matumizi ya teknolojia ya utangazaji ya analojia na kuhamia teknolojia ya digitali.
View ArticleMaoni: Rais Jonathan 'ajikosha' kwa sheria dhidi ya ushoga
Wiki chache tu baada ya bunge kuupitisha mswaada wa kupiga marufuku ndoa za jinsia moja, Rais Goodluck Jonathan ameusaini kuwa sheria yumkini akitaka Wanigeria wamkumbuke angalau kwa hili ikiwa si kwa...
View ArticleKura ya maoni yaingia siku ya pili, Misri
Raia wa Misri wanapiga kura kwa siku ya pili na ya mwisho katika kura ya maoni juu ya katiba mpya, huku serikali ikisema kura hiyo inanuiwa kurejesha utawala wa kidemokrasia, baada ya kuondolewa...
View ArticleWafadhili waichangia Syria dola bilioni 2.4
Wafadhili wanaokutana nchini Kuwait wameahidi kutoa kiasi cha dola bilioni 2.4 katika msaada wa kibinaadamu kwa waathrika wa vita nchini Syria, ambao mkuu wa umoja huo amesema nusu yao wanahitaji...
View ArticleMashambulizi ya mabomu yauwa watu 46 Iraq
Msururu wa mashambulizi nchini Iraq yakijumuisha mabomu ya kutegwa garini mjini Baghdad yamesababisha mauaji ya watu 46 hivi leo huku wanamgambo wakichukua maeneo mengi zaidi kutoka kwa maafisa wa...
View ArticleWasanii warejea kazini Pakhtunkhwa
Wasanii wa muziki na maigizo wameanza kufanya shughuli zao tena katika mkoa wa Pakhtunkhwa nchini Pakistan, kufuatia kuondolewa kwa kundi la Taliban katika maeneo mengi ya mkoa huo.
View Article