Umoja wa Mataifa waonya kuhusu hali ya Afrika ya Kati
Umoja wa Mataifa wameonya kuwa mzozo wa Jamhuri ya Afrika ya Kati unakaribia kuwa janga, huku nusu ya idadi ya watu wakiachwa bila makaazi tangu machafuko ya kimadhehebu yalipozuka
View ArticleMazungumzo ya kutafuta amani Sudan Kusini yaanza Addis Ababa
Wawakilishi wa serikali na waasi wa Sudan Kusini wameanza mazungumzo ya ana kwa ana nchini Ethiopia kutafuta amani katika taifa hilo changa ambalo limekumbwa na mzozo unaotishia kulitumbukiza katika vita
View ArticleMwaka wa Kumbukumbu 2014 Magazetini
Kitisho cha itikadi kali ya dini ya kiislam nchini Iraq, mivutano ndani ya serikali ya muungano wa vyama vikuu wiki sita tu tangu ilipoundwa na mwaka wa kumbukumbu- 2014 nchini Ujerumani magazetini
View ArticleChristine Lagarde aisifu Kenya
Kenya imetajwa kuwa kielelezo cha ukuaji wa uchumi katika eneo la Afrika Mashariki baada ya kukamilisha mpango wa ustawi wa kiuchumi kupitia ufadhili wa Shirika la Fedha Duniani IMF.
View ArticleWaasi wauwa wapiganaji 34 wa jihadi Syria
Shirika la uangalizi wa haki za binaadamu nchini Syria limesema kuwa waasi wa Syria wamewaua wapiganaji 34 wa kigeni walio na mafungano na mtandao wa Al-Qaeda kaskazini-magharibi mwa nchi hiyo.
View ArticleWakuu wa majeshi, polisi wakutana Kigali
Wakuu wa majeshi na polisi kutoka nchi za Rwanda, Uganda na Kenya wanakutana mjini Kigali wiki moja baada ya nchi hizo kuamua kutumia vitambulisho vya kawaida kusafiria baina yao.
View ArticleKesi ya Mursi yaahirishwa hadi Februari 1
Kesi ya kuchochea mauaji inayomkabili rais wa zamani wa Misri aliyeondolewa madarakani na jeshi, Mohammed Mursi, imeahirishwa hadi Februari Mosi. Kesi hiyo imeahirishwa kutokana na hali mbaya ya hewa.
View ArticleMgogoro wa Syria upatiwe uvumbuzi-wachambuzi
Mvutano wa ushindani wa kuitawala Syria katika eneo la kaskazini mwa nchi hiyo linaloshikiliwa na upinzanini sababu zinazosababisha kuendelea kwa mashambulizi ya waasi dhidi ya vita vya kidini.
View ArticleMji wa Bor kukombolewa mikononi mwa waasi?
Serikali ya Sudan Kusini imesema iko tayari kuukomboa tena mji wa Bor kutoka mikononi mwa waasi, huku mazungumzo ya kurejesha amani yakionekana kwenda taratibu mjini Ethiopia.
View ArticleMazungumzo ya amani kuhusu Sudan Kusini yakwama
Mazungumzo ya kutafuta amani nchini Sudan Kusini yanayofanyika mjini Addis Ababa, Ethiopia, yamekwama leo baada ya serikali kukataa ombi la waasi la kutaka kuachiwa kwa wafungwa wa kisiasa
View ArticleDjotodia akabiliwa na shinikizo la kumtaka ajiuzulu
Viongozi wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Afrika ya Kati wanakutana nchini Chad, kuujadili mzozo wa Jamhuri ya Afrika ya Kati pamoja na hatima ya rais wa nchi hiyo Michel Djotodia anayeshinikizwa kujiuzulu
View ArticleUganda,Rwanda, Kenya wakubaliana himaya moja ya ulinzi
Mawaziri wa ulinzi na wa mambo ya ndani kutoka nchi za Uganda,Rwanda na Kenya wametia saini makubaliano kuweka himaya moja ya ulinzi miongoni mwa nchi hizo.
View ArticleMaoni ya wahariri
Wahariri wanatoa maoni juu ya uwezekano wa kuibadilisha ratiba ya fainali za kombe la dunia nchini Qatar na kuhusu aliyoyasema aliekuwa Waziri wa ulinzi wa Marekani Robert Gates juu ya Rais Obama. .
View ArticleYaya Toure huenda akawa mchezaji bora wa mwaka Afrika
Mchezaji wa kati wa Manchester City ya Uingereza, Yaya Toure, atakuwa mmoja wa wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa Shirikisho la Soka la Afrika, CAF, leo(09.01.2014).
View ArticleMisri kupiga kura rasimu ya katiba mpya
Misri inatarajia kuipigia kura rasimu ya katiba mpya ya nchi hiyo wiki ijayo ambayo kama itapitishwa, itachukua nafasi ya katiba ya zamani ya mwaka 2012.
View ArticleMarekani yazikosoa pande hasimu Sudan Kusini
Marekani imezikosoa pande zote mbili za mzozo wa Sudan Kusini kwa kutokupiga hatua ya maana kwenye mazungumzo ya amani mjini Addis Ababa, Ethiopia huku mapigano yakiendelea na mauaji yakiongezeka.
View ArticleMichel Djotodia aachia ngazi
Michel Djotodia ambaye alichukua hatamu za uongozi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati kufuatia shinikizo la kikanda. Aliingia madarakani baada ya muungano wa waasi aliouongoza kuvishinda vikosi vya serikali.
View ArticleYaya Toure ndiye Mfalme wa soka Afrika
Mchezaji nyota wa Manchester City Yaya Toure ameshinda kwa mara ya tatu mfululizo tuzo ya mchezaji bora barani Afrika. Lakini ushindi huo umekosolewa na maafisa wakuu wa soka nchini Nigeria
View ArticleMsimamo wa Chama Cha Ennahda Tunisia
Hatimaye chama tawala nchini Tunisia cha Ennahda, chenye msimamo wenye itikadi kali za kiislam, kimeamua kutumia mbinu ya kuafiki baadhi ya masuala wanayoyapinga kwa katiba yao ijayo ili kulinda nafasi...
View ArticleMiito ya kuachiwa wafungwa wa kisiasa Sudan Kusini yatolewa
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa pamoja na Baraza la Usalama la umoja huo, wametaka rais wa Sudan Kusini, kuwaachia huru wafungwa wa kisiasa katikati mwa jitihada za kufanikisha kuzima mapigano ya...
View Article