Wapiga kura nchini Misri wameiunga mkono kwa kiasi kikubwa katiba ambayo inafungua njia kwa mkuu wa majeshi kupigania urais, ingawa idadi ya waliojitokeza kupiga kura hiyo inatajwa kuwa kipimo muhimu cha umashuhuri wake.
↧