Mwili wa Mandela wawekwa katika jengo la serikali
Jeneza lililochukua mwili wa Nelson Mandela lilipitishwa katika mitaa ya mjini Pretoria nchini Afrika kusini hadi katika jengo la Umoja, jengo ambalo ni makao makuu ya serikali.
View Article"Mimi ni mwenye Kenya daima"
Kenya inaadhimisha miaka 50 ya uhuru wake huku ikijisifia uwezo wake wa kiuchumi na kisiasa ingawa ina changamoto kadhaa za kuiunganisha nchi na kumfanya kila mtu kujihesabu kama Mkenya kwanza kabla ya...
View ArticleSanaa ilivyochangia uhuru wa Kenya
Si wanasiasa na wapiganaji wa Mau Mau pekee waliochangia kwenye uhuru wa Kenya, bali pia kuna wanafasihi na wasanii wengine waliotumia vipaji vyao vya muziki, maigizo, na lugha.
View ArticleMiaka 50 ya habari na teknolojia ya mawasiliano Kenya
Kenya inaadhimisha miaka 50 ya uhuru ikizingatiwa kuwa na maendeleo makubwa katika sekta ya habari na teknolojia za mawasiliano, licha ya hatua za hivi karibuni za serikali kuonekana kutishia maendeleo...
View ArticleKenya yaadhimisha miaka 50 ya Uhuru
Kenya inayozingatiwa kuwa injini ya uchumi katika Afrika ya Mashariki inaadhimisha miaka 50 ya uhurui katika muhtadha wa kesi inayomkabili Rais Uhuru Kenyatta na Makamu wake kwenye Mahakama ya mjini...
View ArticleMahakama Bonn yatupa kesi ya mauaji ya Kunduz
Mahakama mjini Bonn imetupilia mbali kesi ya madai ya fidia ya jumla ya euro 90,000 iliyofunguliwa na ndugu wa wahanga wa shambulio baya nchini Afghanistan miaka minne iliyopita.
View ArticleDedan Kimathi, shujaa wa ukombozi wa Kenya
Dedan Kimathi, kiongozi wa kundi la Mau Mau lilipombana kwa silaha dhidi ya ukoloni wa Uingereza, na ambaye tawala zilizopita nchini humo zilikataa kumpa heshima yake, anaangaliwa sasa kama shujaa wa...
View ArticleKatiba mpya Kenya kama kielelezo cha uhuru
Wakati katiba ya Kenya ilipokuwa inatangazwa rasmi katika Uwanja wa Uhuru mwaka wa 2010, ilikuwa moja ya mafanikio muhimu yaliopatikana nchini humo tangu kunyakuliwa uhuru mwaka wa 1963.
View ArticleMaoni ya wahariri juu ya Ukraine na Afghanistan
Wahariri wanatoa maoni juu ya mgogoro wa nchini Ukraine na juu ya Afghanistan baada ya kuondoka majeshi ya kimataifa mwakani
View ArticleWaandamanaji wavinjari Ukraine
Waandamanaji wa Ukraine wameingia wiki yao ya tatu ya kupinga uamuzi wa serikali ya nchi hiyo kukataa kufikia makubaliano ya kihistoria na Umoja wa Ulaya wakati Marekani ikionya juu ya uwezekano wa...
View ArticleOPCW yakabidhiwa tuzo ya Nobel
Shirika la kuzuwia matumizi ya silaha za kemikali duniani OPCW, limekubali kupokea tuzo ya amani ya Nobel katika hafla iliyofanyika mjini Oslo, likitumai kuharakisha shughuli za uondowaji wa silaha za...
View ArticleSilaha za sumu zilitumiwa Syria
Ripoti ya mwisho ya Umoja wa Mataifa kuhusu matumizi ya silaha za sumu nchini Syria imesema kuwa gesi ya sumu huenda ilitumika katika mashambulizi mengine manne, kando ya lile lililothibitishwa mjini...
View ArticleDRC, M23 watia saini mkataba wa amani
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetia saini mkataba wa amani na kundi la waasi la M23 unaokusudia kuleta maridhiano, uthabiti na maendeleo mashariki mwa DRC.
View ArticleWaafrika Kusini wamaliza kumuaga Mandela
Milolongo isiyomalizika ya watu waliojaa huzuni na fahari wanaendelea kupita mbele ya jeneza lililofunikwa nusu, la shujaa wao wa taifa Nelson Mandela na kumpa hishma zao za mwisho .
View ArticleMjomba wa Kim Jong Un anyongwa!
Korea ya Kaskazini imesema Ijumaa(13.12.2013) imemnyonga mjomba wa kiongozi wa nchi hiyo Kim Jong-Un na mtu mwenye ushawishi mkubwa wa utawala wa nchi hiyo, Jang Song-Thaek, kwa hatia za usaliti wa...
View ArticleUamuzi wa wana SPD wasubiriwa
Wengi wa wanachama wa SPD wanatarajiwa kuyaidhinisha makubaliano ya kuunda serikali ya Muungano pamoja na vyama vya kihafidhina CDU na CSU chini ya Uongozi wa Angela Merkel kama Kansela.
View ArticleMsimamo wa Marekani kwa Ukraine
Marekani imeonyesha msimamo wake kuhusu Ukraine kwa kuivutia nchi hiyo iliyokuwa moja ya nchi za Jamhuri ya Kisovieti, kuelekea katika umoja wa nchi za Ulaya na kujiondoa kwenye uhusiano na Urusi.
View ArticleHertha Berlin yailaza Werder Bremen
Hertha Berlin waliwazidi nguvu Werder Bremen kwa kuwachabanga magoli matatu kwa mawili katika mechi iliyochezwa jana ya Ligi kuu ya soka Ujerumani - Bundesliga. Ushindi huo umewasongeza hadi nafasi ya...
View ArticleChama Kikuu cha upinzani SPD kujiunga na serikali ya mseto
Chama kikuu cha upinzani nchini Ujerumani Social Demokratik,SPD kimegiga kura ya kujiunga na serikali ya mseto na vyama vya kihafidhina ,CDU na CSU.
View ArticleAfrika katika magazeti ya Ujerumani
Wiki hii magazeti ya Ujerumani yameandika juu ya maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Kenya. Pia yameandika juu ya Madiba na juu ya mgogoro wa Jamhuri ya Afrika Kati
View Article