Kenya inaadhimisha miaka 50 ya uhuru wake huku ikijisifia uwezo wake wa kiuchumi na kisiasa ingawa ina changamoto kadhaa za kuiunganisha nchi na kumfanya kila mtu kujihesabu kama Mkenya kwanza kabla ya kabila lake.
↧