Kenya inayozingatiwa kuwa injini ya uchumi katika Afrika ya Mashariki inaadhimisha miaka 50 ya uhurui katika muhtadha wa kesi inayomkabili Rais Uhuru Kenyatta na Makamu wake kwenye Mahakama ya mjini The Hague ICC.
↧