Maoni ya wahariri juu ya Syria
Wahariri hao leo wanazungumzia juu ya mgogoro wa Syria, haki za wanawake nchini Ujerumani na juu ya mkasa wa aliekuwa Rais wa Ujerumani Christian Wulff.
View ArticleJubaland kuungana na serikali ya Somalia
Eneo lililojitangazia utawala wake nchini Somalia la Jubaland jana limekubali kuungana na serikali ya taifa kwa lengo la kuliunganisha taifa hilo hilo lililogawanyika na kugubikwa na machafuko ya muda...
View ArticleMapigano ya kikabila nchini Kenya
Hali bado ni ya taharuki katika kaunti ya Marsabit kaskazini mwa Kenya baada ya watu 20 kuuwawa kutokana na mapigano ya kikabila yaliyotokea jana mchana.
View ArticleMaoni ya wahariri juu ya Ujerumani na Syria
Wingu la mashambulio linajikusanya katika anga ya Syria kufuatia habari juu ya kutumika kwa gesi ya sumu.Jee Ujerumani imesimama wapi? Wahariri wa magazeti wanatoa maoni yao.
View ArticleDRC: Askari wa Umoja wa Mataifa auwawa
Habari kutoka eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo katika mkoa wa Kivu ya kaskazini zinasema askari mmoja wa kikosi cha kuingilia kati cha Umoja wa mataifa kutoka Tanzania, ameuwawa.
View ArticleNi lini Marekani itaishambulia Syria?
Rais Barack Obama wa Marekani amesema Jumatano (28.08.2013) bado hajasaini mpango wa kuishambulia Syria lakini kuna uwezekano wa kuchukuliwa hatua hiyo baada ya Marekani kuashiria haitohitaji ruhusa ya...
View ArticleChampions League makundi kupangwa leo
Makundi ya Champions League yanapangwa leo mjini Monaco ambapo timu nne za Ujerumani zinashiriki. Mabingwa Bayern , Dortmund , Leverkusen na Schalke 04 zitajulikana zinacheza katika magundi gani.
View ArticleIsrael kuwasafirisha wahamiaji wa kiafrika hadi Uganda
Israel hivi karibuni ina mipango ya kuanza kuwarejesha barani Afrika wahamiaji takribani 50,000 kutoka Eriteria na Sudan.Inaaminika wahamiaji hao watapelekwa Uganda
View ArticleMaandamano kufanyika Misri licha ya kitisho cha serikali
Chama cha Udugu wa Kiislamu kimepanga kuandamana baada ya sala ya Ijumaa dhidi ya serikali ya mpito nchini humo. Maandamano hayo yameitishwa licha ya serikali kutishia kutumia nguvu kupambana na...
View ArticleMarekani inapanga kuingilia kijeshi Syria
►Marekani inaendelea kusaka"Muungano wa kimataifa" katika maandalizi yake ya kuishambulia Syria.Hata hivyo,haijaondowa uwezekano wa kuhujumu peke yake baada ya mshirika wake muhimu,Uingereza, kukataa...
View ArticleM23 yatangaza kusitisha mapigano
Kundi la waasi wa M23 katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo limesema kuwa linasimamisha mapigano mara moja, kuruhusu uchunguzi juu ya makombora yaliyovuka mpaka na kuanguka katika nchi jirani ya Rwanda.
View ArticleMarekani yasisitiza itaiadhibu Syria
Marekani imedhihirisha wazi kuwa itaiadhibu Syria kwa shambulio la Damascus ambapo zaidi ya watu 1,400 waliuawa huku wachunguzi wa umoja wa Mataifa wakikamilisha uchunguzi wao na kuondoka Syria leo...
View ArticleBayern ni mabingwa wa UEFA Super Cup
Bayern Munich imeshinda taji la EUFA Super Cup kwa kuichapa Chelsea mabao 5-4 kupitia mikwaju ya penalti katika mechi iliyochezwa jana usiku kwenye uwanja wa Eden Arena mjini Prague, Jamhuri ya Cheki.
View ArticleSerikali ya Misri yapunguza saa za kutotoka nje usiku
Serikali ya muda ya Misri imepunguza amri ya marufuku ya kutotoka nje usiku kwa saa mbili baada ya kupungua kwa ghasia nchini humo tangu kutawanywa wafuasi wa Rais aliyeng'olewa madarakani Mohammed Mursi
View ArticleObama ataka bunge liamue kuhusu Syria
Kwa muda wa zaidi ya wiki sasa , Ikulu ya Marekani ya White House imekuwa ikielekeza mashambulizi yake kuelekea kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya Syria. Lakini hayo yamebadilika rais Obama anataka...
View ArticleAfrika katika magazeti ya Ujerumani
Wiki hii magazeti ya Ujerumani yamechapisha makala juu ya hali ya mashariki mwa Kongo na juu ya mpango wa Rais Mugabe wa kujenga bustani ya mapunziko thamani ya Euro zaidi ya milioni mia mbili.
View ArticleNi siku ya Mdahalo Ujerumani
Wiki tatu kabla ya Wajerumani kupiga kura wagombea wakuu wa ukansela,Angela Merkel na Peer Steinbrück kuonyeshana makarama kwenye televisheni ukiwa ni mdahalo pekee kabla ya kufanyika kwa uchaguzi.
View ArticleMjadala wa televisheni wachambuliwa magazetini
Nani ameibuka na ushindi katika mjadala pekee wa televisheni kabla ya uchaguzi mkuu september 22 ijayo?
View ArticleShambulio lainyemelea Syria
Rais Barack Obama wa Marekani Jumatatu (02.09.2013)anatazamiwa kuimarisha kampeni yake kuwashawishi wabunge wenye mashaka kuunga mkono hatua ya kijeshi dhidi ya Syria wakati nchi ikitaka kuzuiliwa kwa...
View ArticleHakuna mshindi wa wazi Merkel na Steinbrück
Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel, na mgombea wa kiti cha ukansela wa chama cha SPD, Peer Steinbrück, walipambana katika mjadala pekee jana(01.09.2013) wa televisheni kabla ya uchaguzi mkuu, Septemba...
View Article