Bayern Munich yamkaribisha Pep Guardiola
Baada ya kuwa majini kwa mwaka mmoja, hatimaye Josep “Pep” Guardiola ameibuka na kukaribishwa rasmi kama kocha wa Bayern Munich. Guardiola amesema ni Bayern iliyomtafuta
View ArticleSyria yakosoa hatua ya kuwapa silaha waaasi
Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Syria Walid al-Moualem amekosoa hatua ya nchi marafiki wa Syria kuwapatia silaha waasi, akisema kuwa hatua hiyo haitasaidia juhudi za mkutano wa amani wa mjini Geniva
View ArticleMandela bado yuko mahtuti
Nelson Mandela amekaa kwa siku ya pili hospitalini akiwa mahututi, huku hofu ikizidi kuwa shujaa huyo wa mapambano dhidi ya utawala wa ubaguzi wa rangu huenda akapoteza mapambano yake ya mwisho.
View ArticleQatar yapata kiongozi mpya
Qatar imepata kiongozi wake mpya, Sheikh Tamim bin Hamad al-Thani, ambaye amechukuwa madaraka kutoka kwa baba yake, tukio ambalo ni la nadra sana kwenye mataifa ya Kiarabu.
View ArticleWatu saba wauwawa Afghanistan
Watu 7 wameuwawa, wakiwemo walinzi 3 wa makaazi ya rais wa Afghanistan na wanamgambo 4 wa Taliban katika shambulio lililotokea nje ya Ikulu ya rais, ambayo pia yapo karibu na ofisi za shirika la...
View ArticleMgomo wa Walimu nchini Kenya
Nchini Kenya, Shughuli za masomo zimetatizwa kufuatia mgomo wa kitaifa wa walimu ulioanza leo 25.06.2013.
View ArticleMali yakubaliana na waasi wa Tuareg
Serikali ya Mali imesaini makubaliano ya kusitisha mapigano na waasi wa Tuareg, hatua ambayo inasafisha njia kulekea uchaguzi wa rais wa mwezi ujao katika taifa hilo lililogubikwa na vurugu la Afrika...
View ArticleSnowden hajulikani aliko
China imeikaripia Marekani iliyoituhumu kurahisisha safari ya mfichua siri anaesakwa Edward Snowden.Viongozi wa mjini Beijing wamezitaja tuhuma hizo za Washington kuwa "hazina msingi na zisizokubalika."
View ArticleSilvio Berlusconi ahukumiwa miaka saba gerezani
Waziri mkuu wa zamani wa Italia, Silvio Berlusconi, jana Jumatatu alihukumiwa kifungo cha miaka saba gerezani na kupigwa marufuku kushiriki katika siasa maishani kwa mashitaka ya kuwalipa makahaba wa...
View ArticleNi siku ya kimataifa ya kukabiliana na dawa za kulevya
Leo ni siku ya kimataifa ya kupambana na dawa za kulevya na biashara haramu ya dawa hizo. Umoja wa Mataifa umeitenga siku hii kuuhimiza ulimwengu kupambana na janga hili ambalo linaathiri hasa vijana...
View ArticleUturuki na Upelelezi magazini
Uamuzi wa Umoja wa Ulaya kuanzisha upya mazungumzo na Uturuki na kufichuliwa mpango wa wafuasi wa itikadi kali kufanya hujuma za kigaidi kwa kutumia ndege bandia zilizosheheni miripuko ni miongoni mwa...
View ArticleObama atakiwa kusisitiza uhuru Afrika
Huku Rais Barack Obama akianza safari yake barani Afrika, Shirika la Haki za Binaadamu la Human Rights Watch limemtolea wito kutumia ziara hiyo kuunga mkono vyombo vya habari na makundi huru ya...
View ArticleMandela aifunika ziara ya Obama
Rais Barack Obama anaanza ziara iliyosubiriwa kwa hamu barani Afrika, huku hali ya Nelson Mandela ikionekana kuiziba ziara hiyo, kwani macho na masikio yote yameelekezwa Afrika ya Kusini ambako Mandela...
View ArticleObama anaanza ziara yake Afrika
Rais Barack Obama anaanza ziara yake ya pili rasmi barani Afrika kama rais wa Marekani (26.06.2013). Ataanzia ziara hiyo nchini Senegal, kabla ya kwenda Afrika Kusini na kumalizia Tanzania.
View ArticleObama awasili Senegal
Rais wa Marekani Barrack Obama atatoa heshima zake za kutambua mateso ya utumwa na ukomavu wa kidemokrasia nchini Senegal licha ya kuwa katika eneo linalokumbwa na misukosuko katika ziara yake ya pili...
View ArticleMerkel amkomalia Erdogan
Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel, amesema ana furaha kuwa Uturuki inaweza kuanza tena mazungumzo ya kijuinga na Umoja wa Ulaya, lakini amesisitiza kuwa kwa Ulaya suala la haki za binaadamu halina...
View ArticleMursi awa ngangari
Rais wa Misri, Mohammed Mursi, amewaambia wapinzani wake watumie uchaguzi na siyo maandamano kubadilisha serikali, na kusema kuwa jeshi linapaswa kujikita katika jukumu lake la ulinzi wa taifa.
View ArticleMaandamano makubwa kufanyika leo Misri
Vyama vya kiislamu nchini Misri vinatarajiwa kuanza maandamano makubwa leo (28.06.2013) kumuunga mkono Rais Mohammed Morsi siku mbili kabla kufanyika maandamano yaliyopangwa na upinzani.
View ArticleWageni wamiminika nyumba ya Mandela, Soweto
Watoto wa shule, wafanyabiashara na watalii kutoka duniani kote, ikiwa ni pamoja na Wajerumani, wanamiminika kwenye maskani yake ya zamani katika kitongoji cha Soweto. Hali ya Mandela yasemekana...
View ArticleConfederations Cup: Fainali ni Brazil na Uhispania
Baada ya Brazil, kukata tikiti ya fainali ya FIFA Confederations Cup hapo Jumatano, jana(27.06.2013) ilikuwa zamu ya mabingwa wa dunia na Ulaya Uhispania, kwa ushindi wa penalti dhidi ya Italia kwa...
View Article