Serikali ya Mali imesaini makubaliano ya kusitisha mapigano na waasi wa Tuareg, hatua ambayo inasafisha njia kulekea uchaguzi wa rais wa mwezi ujao katika taifa hilo lililogubikwa na vurugu la Afrika Magharibi
↧