Umoja wa Mataifa wakataa ombi la Kenya kuhusu ICC
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limelikataa ombi la Kenya la kutaka kufutiliwa mbali kwa kesi dhidi ya Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto katika mahakama ya ICC kutokana na ghasia za...
View Article"Suluhisho la Kiafrika kwa matatizo ya Afrika" lawezekana?
Umoja wa Afrika leo unaadhimisha miaka 50 ya kuanzishwa kwake ukihimiza kauli mbiu yake ya "Suluhisho la Afrika kwa matatizo ya Afrika", lakini ni wazi kuwa Umoja huo unakabiliwa na changamoto kadhaa...
View ArticleWanahabari wakandamizwa DRC
Shirika la wanahabari wasiokuwa na mipaka limeripoti kuwa maisha ya waandishi wa habari Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo yamo hatarini na wanazuiliwa kuripoti kwa uhuru maeneo yanayodhibitiwa na kundi...
View ArticleMatumaini ya muungano wa Afrika nzima miaka 50 ijayo
Terehe 25 Mei 1963, Mfalme Haile Selassie wa Ethiopia aliwaambia viongozi 31 wa Kiafrika katika uzinduzi rasmi wa Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU), kwamba "Afrika ipo nusu ya safari katikati ya jana...
View ArticleMatumaini ya Afrika katika miaka 50 ijayo
Mataifa ya Afrika yanasherehekea miaka 50 tangu kuundwa kwa umoja wa nchi huru za Afrika , OAU, leo (25.05.2013)jumuiya iliyokusudiwa kuleta umoja wa bara hilo.
View ArticleLagarde aepuka kushtakiwa
Mkuu wa Shirika la Fedha la Kimataifa Christine Lagarde Ijumaa (24.05.2013) aepuka kufunguliwa mashtaka mara moja lakini ametajwa kuwa "shahidi msaidizi" baada ya waendesha mashtaka wa Ufaransa kumhoji...
View ArticleBayern Munich mabingwa Champions League
Baada ya kushinda ubingwa wa ligi ya Ujerumani, Bundesliga, kabla ya ligi hiyo kufikia mwisho na kuweka rekodi ya aina yake ya pointi, sasa Bayern Munich imetia kibindoni taji lake la tano la ubingwa...
View ArticleBunge lapitisha bajeti licha ya utata wa bomba la gesi Tanzania
Licha ya utata na machafuko yaliyozuka kutokana na mpango wa serikali ya Tanzania kujenga bomba la gesi kutoka Mtwara Dar es Salaam, bunge la nchi hiyo limepitisha bajeti ya wizara ya madini na nishati.
View ArticleMchakato wa kutafuta amani Syria
Juhudi za kimataifa za kuumaliza mzozo wa Syria zimeshika kasi huku kukitarajiwa mazungumzo muhimu mijini Brussels na Paris kutafuta ufumbuzi wa mzozo wa Syria licha ya kuwepo migawanyiko miongoni mwa...
View ArticleMapendekezo 9 ya Wazanzibar
Kamati ya Maridhiano ya Kisiasa Zanzibar inayoongozwa na mwanasiasa mkongwe, Mzee Hassan Nassor Moyo, imeyataja mambo tisa ambayo yanastahili kujumuishwa katika katiba mpya ili kuondosha malalamiko...
View ArticleLi Keqiang azuru Ujerumani kuimarisha ushirikiano
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel ameahidi kutumia ushawishi wa kiuchumi wa nchi yake, kuuzuia Umoja wa Ulaya usiziwekee vikwazo vya ushuru baadhi ya bidhaa zinazoagizwa kutoka China, ili kuepusha...
View ArticleWaziri mkuu wa China atambelea Berlin
Ziara ya waziri mkuu wa China mjini Berlin, mtego wa ndege zisizokuwa na rubani, kampeni ya uchaguzi mkuu na fainali ya kombe la vilabu bingwa barani Ulaya Champions League ndizo mada zilizohanikiza...
View ArticleChampions League: Mabingwa Bayern warejea nyumbani
Bayern Munich iliyotawazwa mabingwa wa msimu huu wa Bundesliga na mabingwa wa Ulaya,Champions League, warejea nyumbani bila shangwe kubwa na Borussia Dortmund makamu bingwa yapokelewa kwa shangwe na...
View ArticleUlaya yaondoa vikwazo vya silaha kwa waasi Syria
Mawaziri wa masuala ya nchi za nje wa Umoja wa Ulaya wamekubaliana kuondoa vikwazo vya silaha kwa waasi wa Syria, huku wenzao wa Urusi na Marekani wakijadili mkutano wa kumaliza vita kwa njia ya...
View ArticleBayern warejea nyumbani
Bayern Munich iliyotawazwa mabingwa wa msimu huu wa Bundesliga na mabingwa wa Ulaya, Champions League, warejea nyumbani bila shangwe kubwa na Borussia Dortmund yapokelewa kwa shangwe na mashabiki 10,000.
View ArticleKongo yagawika pendekezo la Kikwete
Pendekezo la Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania kwa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo izungumze na makundi ya waasi na nchi jirani kutatua mzozo wa mashariki ya nchi hiyo linaonekana kuwagawa...
View ArticleAl Bashir atishia kuizuwilia mafuta Juba
Vikosi vya serikali ya Sudan vimepigana na waasi wa Kordofan kusini.Rais Omar Hassan al Bashir ameionya serikali ya Juba,nchi yake itayafunga mabomba ya mafuta ikiwa Sudan Kusini itaendelea kuwaunga...
View ArticleMaoni ya wahariri juu ya "silaha kwa waasi wa Syria"
Mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya kimsingi wamekuabliana kundoa vikwazo vya silaha dhidi ya Syria.Maana ya hatua hiyo ni kwamba nchi za Umoja wa Ulaya zinaweza kuwapelekea silaha wapinzani wa...
View ArticleBrazil kufuta madeni yake kwa nchi 12 za Afrika
Hatua ya serikali ya Brazil ya kufuta au kurekebisha madeni yake yenye thamani ya Dola milioni 900 kwa nchi 12 za Afrika,ni ishara ziada ya mikakati ya kuimarisha masilahi yake katika eneo linalonawiri...
View ArticleEthiopia yageuza mkondo wa mto Nile kuzalisha umeme
Ethiopia imeanza kutengeneza mkondo mpya wa maji ya mto Nile na kuyaelekeza maji hayo kwenye bwawa kubwa la umeme. Hatua hiyo imezipa wasiwasi Sudan na Misri ambazo zinategemea maji ya mto huo kwa...
View Article