Suala la Syria kuhodhi mkutano wa mawaziri wa nje wa G8
Waasi wa Syria kukutana na Waziri wa mambo ya nje wa Marekani John Kerry na mawaziri wengine wa mambo ya nchi za nje wa Kundi la Mataifa Manane Tajiri Duniani G8 wanaokutana London leo Jumatano...
View ArticleBayern Munich yafuzu nusu fainali Champions League
Timu ya Bayern Munich jana Jumatano usiku (10.04.2013) imefanikiwa kuingia nusu fainali katika michuano ya Ligi ya Mabingwa wa Ulaya, baada ya kuifunga Juventus mabao 2-0 katika mechi iliyochezwa mjini...
View ArticleWaasi wa M23 wazuia magari ya Umoja wa Mataifa
Tume ya kulinda amani ya umoja wa mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, MONUSCO, imelaani hatua ya kuzuiliwa kwa malori yake 10 yaliyokuwa yakibeba makontena.
View ArticleDhlakama atishia kushambulia
Kiongozi wa waasi wa Msumbiji Afonso Dhlakama ametishia kushambulia,vikosi vya serikali,ikiwa havitarejea nyuma kutoka kambi za mafichoni za RENAMO
View ArticleWatoto ndio wahanga wakubwa wa ubakaji
Watoto ni wahanga wakubwa wa udhalilishaji wa kingono katika maeneo ya mizozo, linalalamika shirika la Uingereza, Save the Children na kuutaja utovu huo kuwa 'maovu makubwa na ya kutisha ya vita vya...
View ArticleG8 wailaani Korea Kaskazini
Mawaziri wa mambo ya kigeni wa mataifa manane yaliyoendelea zaidi kiviwanda wameungana kuilaani Korea Kaskazini, na kuitaka nchi hiyo kukomesha mara moja kutoa vitisho vya kivita
View ArticleKerry awasili Korea Kusini
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, John Kerry, amewasili leo nchini Korea Kusini katika ziara ya kidiplomasia, huku kukiwa na wasiwasi kwamba Korea Kaskazini inaweza kufyatua makombora ya nyuklia.
View ArticleUmoja wa Ulaya kuiwekea vikwazo zaidi Korea Kaskazini ?
Umoja wa Ulaya utafikiria kuimarisha vikwazo vyake dhidi ya Korea Kaskazini iwapo nchi hiyo itaendelea kupalilia hali ya mvutano kwa kufyetuwa makombora au kufanya jaribo la silaha za nuklea katika...
View ArticleSyria kuhodhi mkutano wa mawaziri wa nje wa G8
Waasi wa Syria kukutana na Waziri wa mambo ya nje wa Marekani John Kerry na mawaziri wengine wa mambo ya nchi za nje wa Kundi la Mataifa Manane Tajiri Duniani G8 wanaokutana London leo Jumatano...
View ArticleTanzania: Ubadhirifu wa fedha za Umma
Maoni mbalimbali yanaendelea kutolewa nchini Tanzania juu ya ripoti ya mdhibiti mkuu na mkaguzi wa hesabu za serikali nchini humo, iliyomulika kiwango kikubwa cha ubadhirifu wa fedha za umma katika...
View ArticleWakimbizi wa Mali wako mashakani
Wakimbizi 74 elfu wa Mali wamekwama katika jangwa la Mauritania wakikumbwa na ukosefu wa maji na idadi ya vifo vya watoto ikizidi kuongezeka,linasema shirika la madaktari wasiokuwa na Mipaka-Medecins...
View ArticleChampions League: Ujerumani dhidi ya Uhispania
Uwezekano wa timu mbili kutoka Ujerumani au timu mbili kutoka Uhispania kukutana mwezi ujao katika fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya Champions League bado uko hai baada ya droo iliyofanywa mjini Nyon...
View ArticleAfrika katika magazeti ya Ujerumani
Wiki hii gazeti la"Berliner Zeitung" limeandika juu ya kuapishwa kwa Uhuru Kenyatta kuwa Rais wa nne wa jamhuri ya Kenya. Magazeti ya Ujerumani wiki hii pia yameandika juu ya biashara ya simu za...
View ArticleCameron, Merkel wajadili mageuzi ndani ya EU
Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron na Kansela wa Ujerumani Angela Merkel wamekutana karibu na jiji la Berlin siku ya Ijumaa, kama sehemu ya juhudi za Uingereza kushinikiza kuwepo mageuzi ndani ya...
View ArticleKerry awasili China, kituo chake cha pili
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, John Kerry, amewasili leo nchini China, katika juhudi za kuishawishi nchi hiyo kuishinikiza Korea Kaskazini kusitisha mpango wake wa nyuklia.
View ArticleWaasi wa M23 waionya Tanzania
Waasi wa kundi la M23 wameitaka Tanzania kuachana na mipango ya kuchangia wanajeshi wake katika kikosi cha Umoja wa Mataifa kinachopangwa kutumwa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo kupambana...
View ArticleDjotodia ahalalisha utawala wake Jamhuri ya Afrika ya Kati
Michel Djotodia, ambae muungano wake wa waasi wa Seleka ulichukua madaraka katika Jamhuri ya Afrika ya Kati mwezi uliyopita, amechaguliwa siku ya Jumamosi kuwa rais wa mpito nchini humo na baraza la...
View ArticlePolisi waanzisha msako Mogadishu
Polisi nchini Somalia wameanzisha msako mkubwa hii leo kutafuta silaha, siku moja baada ya mashambulizi makubwa kutokea mjini Mogadishu na kusababisha mauaji ya zaidi ya watu 35.
View ArticleChama cha SPD chapania ushindi Ujerumani
Chama kikuu cha upinzani nchini Ujerumani SPD, kimezindua kampeni yake siku ya Jumapili, kikiahidi ushindi katika uchaguzi mkuu wa mwezi Septemba mwaka huu.
View ArticleBayern waangazia macho DFB Pokal
Wiki moja tu baada ya kujihakikishia taji la msimu huu la ligi ya soka Ujerumani – Bundesliga, Bayern Munich sasa wanatafuta taji jingine. Kombe la Shirikisho Ujerumani - DFB Pokal.
View Article