Umoja wa Ulaya utafikiria kuimarisha vikwazo vyake dhidi ya Korea Kaskazini iwapo nchi hiyo itaendelea kupalilia hali ya mvutano kwa kufyetuwa makombora au kufanya jaribo la silaha za nuklea katika Rasi ya Korea.
↧