Quantcast
Channel: DW Kiswahili
Browsing all 28146 articles
Browse latest View live
↧

Bayern guu moja katika nusu fainali

Bayern Munich wameweka guu moja ndani ya nusu fainali za Champions League baada ya ushindi wao wa magoli mawili kwa sifuri nyumbani dhidi ya Juventus katika mchuwano wa mkondo wa kwanza wa robo fainali

View Article


Mkataba wa kudhibiti silaha waidhinishwa

Baraza kuu la Umoja wa Mataifa limeidhinisha mkataba kwa kwanza wa kimataifa wa kudhibiti biashara ya silaha ya mabilioni ya fedha.

View Article


Jamhuri ya Afrika kati yajadiliwa Ndjamena

Viongozi wa mataifa ya Afrika kati wanakutana mjini Ndjamena,mji mkuu wa Tchad kuzungumzia mzozo wa jamhuri ya Afrika kati ambako waasi wa Seleka wamempindua rais na kusitisha katiba.

View Article

Mkataba wa kudhibiti silaha wapitishwa

Baraza kuu la Umoja wa Mataifa limeidhinisha mkataba kwa kwanza wa kimataifa wa kudhibiti biashara ya silaha ya mabilioni ya fedha.

View Article

Maoni ya wahariri juu ya ukosefu wa ajira

Hali inazidi kuwa mbaya kwenye soko la ajira barani Ulaya. Asilimia 12 ya wafanyakazi hawana ajira,na hasa miongoni mwa vijana katika nchi za kusini mwa Ulaya.Wahariri wanatoa maoni yao.

View Article


Korea kaskazini yaendeleza vitisho

Hali ya wasiwasi imezidi katika rasi ya Korea baada ya Korea Kaskazini kufunga maeneo muhimu yanayounganisha eneo la viwanda na Korea Kusini, huku Urusi na China zikiitaka Korea kusitisha zoezi hilo.

View Article

Malaga yaiteka Dortmund

Borussia Dortmund wamebaki wakijikuna vichwa kutokana na nafasi walizokosa kutumia katika mchuwano wa mkondo wa kwanza wa robo fainali ya Champions League dhidi ya Malaga, ambapo walitoka sare ya bila...

View Article

Sensa ya wafanyakazi wa serikali yafanyika nchini DRC

Kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 30 serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo imefahamu idadi ya wafanyakazi wa idara za umma nchini humo.

View Article


Wahariri juu ya kudhibiti biashara ya silaha na kashfa ya Jerome Cahuzac

Wahariri wanazungumzia mkataba wa Umoja wa Mataifa wa kudhibiti biashara ya silaha duniani na juu ya mgogoro unaoikabili serikali ya Rais Hollande kufuatia kujiuzulu kwa waziri wake wa bajeti

View Article


Marekani yaimarisha ulinzi wa makombora

Marekani kuimarisha ulinzi wake wa makombora huko Pasifiki kwa kujiandaa kutuma mitambo ya kujikinga na makombora huko Guam baada ya Korea Kaskazini kuidhinisha mipango ya mashambulizi ya nuklea dhidi...

View Article

Marekani yamuwekea Kony dola milioni 5

Marekani imetangaza kitita cha dola milioni tano kwa atakayefanikisha kukamatwa kwa kiongozi wa kundi la waasi la Lord's Resistance Army LRA, la nchini Uganda, ambaye ni mmoja wa watu wanaotafutwa sana...

View Article

Wafadhili wakutana kuisadia Sudan

Baada ya muongo mmoja wa vita ni wakati kwa Sudan kujijenga upya. Wataalamu wa Umoja wa Mataifa wameyasema haya kabla ya mkutano wa kimatifa wa kupata uungwaji mkono wa mchakato wa maendeleo wa...

View Article

Matajiri wenye akaunti za siri nje

Nyaraka za siri kuhusu matajiri wakubwa wenye akaunti za siri nje ikiwemo familia ya rais wa Azerbaijan na aliyewahi kuwa mweka hazina wakati wa kampeni za uchaguzi za Rais wa Ufaransa, Francois...

View Article


Kitisho cha kuripuka tena vita Msumbiji

Mapigano kati ya wafuasi wa RENAMO na polisi yameangamiza maisha ya watu wanne na 13 kujeruhiwa katika mkoa wa kati wa Sofala.

View Article

John Kerry atoa asilimia 5 ya mshahara wake kwa msaada

Waziri wa mambo ya nje wa Marekani John Kerry, atakuwa akitoa mchango wa asilimia tano ya mshahara wake kila mwaka, ili kuwanufaisha wafanyikazi wa idara ya serikali ya Marekani.

View Article


Korea Kaskazini yaendelea na vitisho vyake

Korea Kaskazini imehamisha makombora mengine kwenye mwambao wake wa Mashariki tayari kwa mashambulizi dhidi ya Marekani, huku nchi hiyo inayotishiwa kushambuliwa ikisema inachukua tahadhari kutokana na...

View Article

Afrika katika magazeti ya Ujerumani

Magazeti ya Ujerumani wiki hii yameandika juu ya kuthibitishwa kwa Uhuru Kenyatta kuwa Rais wa Kenya licha ya mashtaka yanayomkabili kwenye Mahakama kuu ya Kimataifa ya mjini the Hague.

View Article


Blatter abadilisha mawazo kuhusu ubaguzi

Rais wa FIFA Sepp Blatter amelegeza msimamo wake kuhusiana na pendekezo la vilabu kushushwa daraja na kupokonywa pointi kama adhabu ya kupatikana na hatia ya ubaguzi wa rangi.

View Article

Korea Kaskazini kushawishi msimamo wa dunia kuhusu Iran?

Wakati Korea Kaskazini ikizidisha vitisho vya kufanya vita vya nyuklia wiki za hivi karibuni, mataifa ya magharibi yamekumbushwa juu ya kile kinachoweza kutokea iwapo yatashindwa kupata ufumbuzi wa...

View Article

UN yaishiwa fedha kuwahudumia wakimbizi wa Syria

Umoja wa Mataifa umeonya siku ya Ijumaa juu ya upungufu mkubwa wa ufadhili kwa wakimbizi wa Syria, ukisema kuwa mashirika ya misaada yanaweza kupunguza huduma kwa ongezeko kubwa la wakimbizi.

View Article
Browsing all 28146 articles
Browse latest View live