$ 0 0 Baraza kuu la Umoja wa Mataifa limeidhinisha mkataba kwa kwanza wa kimataifa wa kudhibiti biashara ya silaha ya mabilioni ya fedha.