Ubelgiji yaombwa kumfikisha Habre mahakama ya kimataifa
Shirika linalopigania haki za binaadam pamoja na makundi ya walioteswa nchini Chad, wameomba aliyekuwa Rais wa Chad Dikteta Hissene Habre akamatwe na apelekwe kwenye mahakama ya kimataifa.
View ArticleJuhudi za kumaliza umwagaji damu nchini Syria zashika kasi
Baadhi ya nchi za kiarabu na wanachama wa upande wa upinzani wanatoa mwito jeshi huru la Syria lipatiwe silaha .
View ArticleSenegal: Vyama vya upinzani vyaunda muungano
Kampeni za duru ya pili ya uchaguzi wa Rais zimeanza nchini Senegal. Vyama vya upinzani vimejiunga pamoja katika juhudi za kumzuia Rais Abdulaye Wade kuchaguliwa tena kuiongoza nchi hiyo katika kipindi...
View ArticleBayern waonyesha makali yao tena, wapunguza pengo nyuma ya Dortmund
Bayern Munich walirejea baada ya kipigo cha Bayer Leverkusen kwa kuwasambaratisha Hoffenheim magoli saba kwa moja mwishoni mwa juma.
View ArticleMarekani na Urusi zaligawa baraza la Usalama
Malumbano kati ya Marekani na Urusi kuhusu mgogoro wa Syria yamekwamisha juhudi za Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuafikiana juu ya hatua zinazopaswa kuchukuliwa kuumaliza mgogoro huo.
View ArticleMawaziri wa kanda ya Euro na sehemu ya pili ya mkopo kwa Ugiriki
Katika wakati ambapo mawaziri wa fedha wa kanda ya Euro wanajiandaa kuidhinisha fungu la pili la mkopo kwa Ugiriki,hofu zimeanza kuzagaa kuhusiana na nakisi ya bajeti ya Hispania
View ArticleUjumbe wa Afghanistan washambuliwa na Taliban
Wanamgambo wa Taliban wameufyatulia risasi ujumbe wa serikali ya Afghanistan uliokuwa ukizuru mojawapo ya vijiji viwili kusini mwa nchi hiyo ambako mwanajeshi wa Marekani anashukiwa kuwauwa raia 16 wa...
View ArticleWahariri wasifu ziara ya Merkel Afghanistan
Wahariri karibu wote wanazungumzia juu ya Afghanistan baada ya mkasa wa kuuliwa raia 16 na askari wa Marekani.Wahariri hao wanatilia maanani kuwa Merkel alienda Afghanistan licha ya mkasa huo kutokea.
View ArticleICC kutoa hukumu ya Lubanga
Mahakama ya ICC inasubiriwa kwa hamu hii Jumatano kutoa uamuzi wake wa kwanza juu ya kesi inayomuhusu Thomas Lubanga mtu anayetuhumiwa kuhusika katika kuwaingiza jeshini watoto.
View ArticleSantorum ashinda majimbo ya Alabama na Mississippi
Rick Santorum amepata ushindi kwenye majimbo mawili ya kusini katika uchaguzi unaoendelea nchini Marekani, kumteua mtu atakayegombea kwa niaba ya chama cha Republican dhidi ya Rais Barack Obama mwezi...
View ArticleVikosi vya Assad vyaikamata Idlib
Huku Mjumbe wa Umoja wa Mataifa na Jumuiya ya Kiarabu kwa Syria, Kofi Annan, akipokea majibu ya Rais Bashar al-Assad, vikosi vya serikali vimelichukua jimbo la Idlib kutoka upinzani baada ya mapigano...
View ArticleMawaziri wa ulinzi wa Marekani, Ujerumani watembelea Afghanistan
Wakati hali ya mambo bado si nzuri nchini Afghanstan baada ya askari wa Marekani kuwaua raia 16 wa nchi hiyo, mawaziri wa ulinzi wa Ujerumani na Marekani wanatembelea nchi hiyo kwa lengo la kukutana na...
View ArticleYapasa kuingilia kati Syria,wasema wahariri
Wahariri wa magazeti leo wanatoa maoni juu ya Syria , mgogoro wa madeni barani Ulaya na juu ya hatua ya kusimamisha mapambano Mashariki ya Kati.
View ArticleBanda wa Zambia kuzungumzia kufutwa kwa chama chake
Rais wa zamani wa Zambia, Rupiah Banda, anatarajiwa kukutana na waandishi habari mchana huu mjini Lusaka, siku moja baada ya chama chake cha Movement for Multiparty Democracy kufutwa na kupoteza nafasi...
View ArticleSasa baiolojia-anwai ndiyo njia ya mazingira
Kanuni kubwa ya mazingira ni kwamba pana uhusiano wa kutegemeana kat ya mwanadaamu na viumbe vilivyomzunguka, wakiwamo wanyama na mimea na kwamba ili mwanaadamu aendelee kubakia salama, lazima hivyo...
View ArticleUturuki yawekeza Somalia
Uturuki imekuwa nchi ya kwanza kupeleka ndege ya kimataifa ya kusafirisha abiria nchini Somalia katika kipindi cha miaka 20. Hivi sasa nchi hiyo ina mpango wa kuwekeza katika maeneo mbalimbali Somalia.
View ArticleMagazeti ya Ujerumani juu ya Lubanga
Magazeti ya Ujerumani karibu yote yameizingatia kwa mapana na marefu hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Kimataifa inayopambana na uhalifu ya mjini The Hague kwa Mbabe wa kivita, Thomas Lubanga.
View ArticleAnnan alitaka baraza la usalama kuondoa mkwamo
Mjumbe maalum wa umoja wa mataifa na mataifa ya Kiarabu ,Arab League, kuhusu mzozo wa Syria ,Kofi Annan ,amelihimiza baraza la usalama la umoja wa mataifa kuondoa mkwamo uliopo ili kumaliza ghasia...
View ArticleVikosi vya Marekeni kuondoka Afghanistan 2014 huku jina la mwanajeshi...
Rais wa Marekani Barrack Obama na mwenzake wa Afghanistan Hamid Karzai wamethibitisha kwamba majeshi ya Marekani yataondoka nchini humo mwishoni mwa mwaka 2014.
View ArticleTatizo la viwanja vitupu kushughulikiwa Afrika Kusini
Kuvijaza viwanja vya michezo ni suala litakalopewa kipau mbele katika fainali zijazo za kombe la Mataifa ya bara la Afrika. Hayo ni kwa mujibu wa kamati andalizi ya dimba hilo maarufu barani Afrika.
View Article