Utafiti wa uchumi wa S&P waonesha wasiwasi kwa kanda ya euro
Mkuu wa Shirika la Fedha la Kimataifa, Christine Lagarde amezikaribisha jitihada za Ujerumani na Ufaransa katika kufanikisha viwango vigumu vya fedha katika kanda ya Ulaya, lakini amesema jitihada...
View ArticleMatokeo ya urais DRC kutolewa baada ya masaa 48
Kamisheni ya Uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeahirisha kutangaza mshindi wa kinyag'anyiro cha urais kufuatia uchaguzi wa wiki iliyopita na kuzusha hofu ya kutokea kwa vurugu nchini...
View ArticleTanzania: Mahojiano na waziri wa Mambo ya Kigeni Bw.Bernard Membe kuhusu...
Serikali ya Tanzania imeelezea kusikitishwa kwake na mgawanyiko unaojitokeza ndani ya Umoja wa Afrika katika kufikia makubaliano ya masuala mbalimbali.
View ArticleMatokeo ya urais DRC yanatarajiwa kutolewa leo
Kimekuwa na wasiwasi wa hali ya juu nchini Jamhuri ya Kidemocracy ya Congo, wakati wapiga kura wakisubiri matokeo yaliyochelewa ya uchaguzi wa urais wa wiki iliyopita.
View ArticleMaandamano yaendelea nchini Urusi
Maandamano dhidi ya chama tawala cha Waziri Mkuu wa Urusi, Vladimir Putin na tuhumza za wizi wa kura, kufutia uchaguzi wa bunge jumapili iliyopita yamechemka kwa siku ya tatu mfululizo ambapo polisi...
View ArticleMkutano mkuu wa Umoja wa Ulaya kuanza leo
Viongozi wa Ufaransa na Ujerumani wanatafuta uungwaji mkono miongoni mwa viongozi wenzao wa jumuiya ya ulaya ili kutatua mgogoro wa madeni unaokumba jumuiya hiyo. Viongozi hao wanakutana kwa siku mbili...
View ArticleJacob Zuma ataka kipindi cha kufuata makubaliano ya Kyoto kirefushwe
Kumekuwa na maendeleo katika mazungumzo yanayofanywa na Umoja wa Mataifa kuhusu ulinzi wa tabia nchi. Shinikzo limeongezeka, kwa sababu wataalamu wanaonya kuhusu athari za mabadiliko ya tabia ya nchi.
View ArticleUmoja wakubaliana kibano zaidi katika matumizi ya fedha
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wamekubaliana juu ya mpango kazi wa sheria mpya na kali za fedha. Lengo ni kukabiliana na mgogoro wa sarafu wa euro katika kanda inayotumia sarafu hiyo.
View ArticleRais Kabila atangazwa mshindi wa uchaguzi DRC
Tume ya uchaguzi katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, imemtangaza rais wa sasa Joseph Kabila kuwa amechaguliwa tena kwa asilimia 49 ya kura .
View ArticleMkutano wa Durban haujafikia makubaliano
Afrika Kusini, mwenyeji wa mkutano wa Umoja wa Mataifa juu ya tabia nchi,mjini Durban,imepaswa kuwasilisha mswada mpya wa mkataba baada ya mapendekezo ya hapo awali kupingwa na nchi wanachama 154...
View ArticleJamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yaingia kwenye mgogoro
Kongo inakabiliwa na mvutano mkali baada ya rais wa sasa, Joseph Kabila, kutangazwa mshindi wa uchaguzi uliopita, huku mpinzani wake mkuu, Etienne Tshisekedi, akiyapinga matokeo hayo na kujitangaza...
View ArticleMajadiliano ya mabadiliko ya tabia nchi , wajumbe washindwa kuafikiana
Awamu ya kufunga majadiliano ya Umoja wa Mataifa juu ya mabadiliko ya tabia nchi mjini Durban yameendelea kwa usiku wa pili huku kukiwa na mivutano.
View ArticleJumuiya ya kimataifa yafikia muafaka kuhusu tabia-nchi
Mataifa 194 yanayowakilishwa kwenye mazungumzo ya Umoja wa Mataifa kuhusu tabia-nchi mjini Durban yamefikia makubaliano yatakayozifanya nchi zote kupunguza hewa chafu chini ya mkataba mpya kufikia...
View ArticleWanne wauawa, Carter Center washuku matokeo ya uchaguzi
Polisi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imesema kwamba watu wanne wameuawa hapo jana katika vurugu za baada ya kutangazwa matokeo ya uchaguzi. Milio ya risasi imesikika kutoka mji mkuu Kinshasa...
View ArticleMiaka 48 ya Uhuru wa Kenya
Kenya inasherehekea miaka 48 tangu ijinyakulie Uhuru kutoka ukoloni wa Kiingereza. Siku ya Jamhuri inasheherekewa katika wakati ambapo nchi hiyo inakabiliwa na mgomo wa Madaktari kwa sasa, wanaodai...
View ArticleMzozo ndani ya chama cha wananchi CUF Tanzania
Wachunguzi wa mambo ya siasa huko Tanzania wananukuliwa wakisema kwamba mambo si shwari ndani ya uongozi wa chama cha upinzani cha CUF.
View ArticleTunisia yapata rais mpya
Mpinzani wa zamani amekuwa rais mpya wa Tunisia. Hapo jana, Bunge la mpito la Tunisia limemchagua daktari na mwanaharakati wa haki za binadamu Moncef Marzouki kushika wadhfa wa urais.
View ArticleRais Paul Kagame wa Rwanda azungumza na waandishi wa habari nchini Uganda
Rais Paul Kagame amesema hana shida yoyote na watu ambao wanapendekeza kubadilishwa kwa katiba ya nchi yake ili imruhusu kuwania urais kwa mara nyingine baada ya muhula wake wa pili wa utawala...
View ArticleMarekani yakaribia kuondoka Iraq kwa ahadi ya kuendeleza mahusiano
Wiki chache kabla ya kuondoka majeshi ya Marekani nchini Iraq, Rais Barack Obama amethibitisha kuendelea kwa msaada wa nchi yake kwa serikali ya Iraq licha ya kumalizika kwa operesheni ya kijeshi.
View ArticleWatano wauwawa katika shambulio mjini Liege
Mtu mmoja aliyekuwa na maguruneti pamoja na bunduki ameshambulia soko la krismass katika mji wa Liege nchini Ubelgiji jana , na watu wanne pamoja na yeye binafsi kuuwawa.
View Article