Gaddafi aripotiwa kuuawa kwenye uwanja wa mapambano
Kwa mujibu wa kituo cha televisheni cha Al-Jazeera, aliyekuwa kiongozi wa Libya, Muammar Gaddafi, ameuawa katika mapigano kati ya vikosi vinavyomtii na vile vya Baraza la Mpito mjni Sirte, akiwa mbioni...
View ArticleWasifu wa Abdikadir Hussein Mohammed: Ujerumani yamtunza "Obama wa Kenya"
Tuzo ya Ujerumani kwa Afrika mwaka huu wa 2011 inakwenda kwa mwanasiasa kijana wa Kenya, Abdikadir Hussein Mohammed, anayejuilikana kwa jina la utani la Obama wa Kenya. Lakini ni nani mwanasheria huyu...
View ArticleGaddafi auawa mikononi mwa vikosi vya Baraza la Mpito
Kiongozi aliyeondolewa madarakani nchini Libya, Muammar Gaddafi, ameripotiwa kuuwawa katika mji alikozaliwa wa Sirte, ikiwa muda mfupi baada ya vikosi vya Serikali ya Mpito kutangaza kuudhibiti mji huo.
View ArticleHuyu hapa ndiye Muammar Gaddafi
Alikuwa mtoto wa wafugaji wa Kibedui, mwenye maisha ya utata, lakini ambaye alitukuzwa sana hadi kufikia kumfananisha na Mtume Mohammad, huku mataifa ya Kimagharibi yakimuona mtu wa hatari wakati wote.
View ArticleKifo cha Gaddafi ni mwanzo wa kipindi kipya Libya
Kifo cha dikteta wa Libya Muammar Gaddafi kinaashiria mwanzo wa kipindi kipya cha kihistoria nchini Libya. Kwa maoni ya mwandishi wetu Rainer Sollich, nchi hiyo inakabiliwa na changamoto kali kweli.
View ArticleViongozi watoa maoni yao kuhusu kifo cha Gaddafi
Kufuatia kuuawa kwa aliyekuwa kiongozi wa Libya Moummar Gaddafi hapo jana kumekuwa na hisia tofauti kutoka kwa viongozi mbali mbali duniani.
View ArticleMaiti ya Gaddafi kuzikwa leo
Maiti ya aliyekuwa kiongozi wa Libya, kanali Muammar Gaddafi itazikwa leo, huku viongozi wa baraza la mpito la nchi hiyo wakijiandaa kutangaza kukombolewa kwa umma wa Libya kutoka utawala wa mkono wa...
View ArticleUhaba wa chakula ni miongoni mwa vyanzo vya migogoro duniani
Katika nchi nyingi pametokea vurugu zilizosababishwa na kupanda kwa bei ya vyakula au uhaba wa chakula. Tatizo hilo linaweza kukua kadri idadi ya watu waishio duniani inavyoongezeka.
View ArticleClinton nchini Pakistan
Waziri wa mambo ya nchi za kigeni wa Marekani Bi Hillary Clinton, ameonya hatua kali zinafaa kuchukuliwa dhidi ya vikosi vya Afghanistan na Pakistan iwapo havitashirikiana kuweka amani Afghanistan.
View ArticleNATO kutangaza usitishaji mashambulio nchini Libya wiki ijayo
Jumuiya ya NATO imesema kuwa ina mpango wa kusitisha ujumbe wa kijeshi wa kushambulia maeneo nchini Libya yaliyodumu miezi saba, ifikapo mwishoni mwa mwezi huu, siku moja baada ya kuuwawa Muammar Gaddafi
View ArticleNATO kuondoka Libya karibuni.
Jumuiya ya NATO yakaribia kumaliza operesheni za kijeshi nchini Libya.
View ArticleViongozi wa nchi za eneo la euro wakutana
Mawaziri wa fedha wa Umoja wa Ulaya wameidhinisha masharti magumu kuhusiana na mitaji kwa ajili ya mabenki kupata mitaji. Baada ya mkutano wa takribani saa 10 uliofanyika jana mjini Brussels.
View ArticleTunisia yafanya uchaguzi wa kwanza huru
Watunisia leo wanapiga kura katika uchaguzi wa kwanza kufuatia "Uasi wa Majira ya Machipuko katika Nchi za Kiarabu"miezi tisa baada ya maandamano ya vuguvugu la umma kumn'gowa madarakani Rais Zine al-...
View ArticleEuro yazidi kuzama
Matarajio ya mkutano wa viongozi wa nchi 17 zinazotumia sarafu ya Euro kwamba kungelipatikana suluhisho la madeni yamedidimia baada ya kubainika kwamba hatua ya pili ya mkutano inapaswa kuchukuliwa...
View ArticleHasara kubwa ya maisha kufuatia zilzala iliyopiga Uturuki
Zilzala iliyopiga jana katika jimbo la mashariki la Uturuki-Van, linalopakana na Iraq imeangamiza maisha ya zaidi ya watu 239 na zaidi ya elfu moja kujeruhiwa. Mtu mmoja ameokolewa yu hai hii leo.
View ArticleChama cha Ennahda chaongoza katika uchaguzi Tunisia
Shughuli ya kuhesabu kura inaendelea nchini Tunisia kufuatia uchaguzi wa kihistoria kufanyika tangu kuanza kwa wimbi la mapinduzi ya raia katika nchi za kiarabu.
View ArticleHofu yatanda Kenya baada ya mashambulizi ya bomu kwenye disko
Raia nchini Kenya wameingiwa na hofu na polisi imewataka kuchukua hatua za tahadhari zaidi kufuatia mripuko uliotokea usiku wa kuamkia leo (24.10.2011) katika klabu moja ya usiku jijini Nairobi.
View ArticleSomalia yapinga majeshi ya Kenya kwenye ardhi yake
Rais wa Somalia, Sheikh Sharif Ahmed, amesema kwamba haikubaliki kwa majeshi ya Kenya kuweko Somalia bila ya kutolewa kibali na serikali yake, msimamo ambao unachukuliwa kuwa ni tafauti sana na...
View Article