$ 0 0 Kufuatia kuuawa kwa aliyekuwa kiongozi wa Libya Moummar Gaddafi hapo jana kumekuwa na hisia tofauti kutoka kwa viongozi mbali mbali duniani.