Quantcast
Channel: DW Kiswahili
Browsing all 28146 articles
Browse latest View live

Ebola: Hali nchini Liberia ni ya kutisha

Waziri wa ulinzi wa Liberia ameonya kuwa Ebola inatishia kuwepo kwa taifa hilo wakati virusi hivyo hatari vikisambaa kama “moto wa kichakani”. Nalo Shirika la Afya Ulimwenguni limesema idadi ya vifo...

View Article


Tanzania: Mkutano wa UKAWA na waandishi wa habari

Umoja wa katiba ya wananchi nchini Tanzania-UKAWA- uliolisusia Bunge maalum la katiba tokea mwezi Aprili, leo ulikuwa na mkutano na waandishi habari .

View Article


Marekani yaapa kuwateketeza Wanamgambo wa IS

Waziri wa nje wa Marekani John Kerry yuko ziarani mjini Baghdad kuhimiza juhudi za kuunda muungano dhidi ya wafuasi wa itikadi kali wa dola ya kiislam-IS ,huku rais Obama akitarajiwa kutangaza mkakati...

View Article

Ripoti ya MH17 haina majibu ya kutosha

Mada kuu zinazojadiliwa na kuongezeka kwa idadi ya wakimbizi wanaotafuta hifadhi Ujerumani pamoja na ripoti kuhusu ajali ya ndege ya Malaysia Airlines MH17.

View Article

Ukraine kulipanga upya jeshi lake Mashariki mwa nchi hiyo

Rais wa Ukraine Petro Poroshenko amesema anawapanga upya wanajeshi wake Mashariki mwa nchi hiyo ili kuboresha ulinzi wake dhidi ya watu wanaotaka kujitenga Mashariki mwa nchi hiyo wanaoiunga mkono Urusi.

View Article


Obama kuwafuata 'Dola la Kiislamu' hadi Syria

Huku Marekani ikikumbuka mwaka wa 13 tangu mashambulizi ya Septemba 11, Rais Barack Obama ameidhinisha mashambulizi ya kijeshi dhidi ya "Dola la Kiislamu" nchini Iraq kuvuka mpaka kuingia Syria.

View Article

ICC: Mawakili wa Rais Kenyatta wataka kesi ifungwe

Mawakili wa Rais Kenyatta wametaka kesi inayomkabili ifungwe kabisa kwa sababu ya mahakama imekosa ushahidi dhidi yake.

View Article

Hukumu dhidi ya Oscar Pistorius yasomwa

Oscar Pistorius, mwanariadha wa Afrika kusini anayekimbia kwa miguu ya bandia, anakabiliwa na hukumu leo(11.09.2014), wakati jaji ameanza kusoma hukumu ya kesi ya mauaji, ambayo inaweza kumpeleka jela...

View Article


Pistorius: Hana hatia ya kuuwa kwa kukusudia

Jaji katika kesi ya mauaji inayomkabili mwanariadha wa Afrika kusini anayekimbilia miguu ya bandia Oscar Pistorius,Thokozile Masipa ameonekana kuelekea kutoa hukumu dhidi ya mwanariadha huyo kwa kosa...

View Article


John Kerry mbioni kujenga mfungamano dhidi ya Dola la Kiislamu

Waziri wa mambo ya nje wa Marekani John Kerry ameanza mazungumzo nchini Saudi Arabia juu ya kuunda mfungamano wa kuiunga mkono Marekani katika harakati za kupambana na dola la Kiislamu .nchini Syria na...

View Article

Mashambulizi dhidi ya 'Dola la Kiislamu' yaiva

Juhudi za Marekani kukusanya uungwaji mkono wa kimataifa kwa kampeni yake ya kijeshi dhidi ya kundi linalojiita "Dola la Kiislamu" zinaonekana kuendelea kuzaa matunda kwa washirika kadhaa kujiunga nazo.

View Article

Maoni: Hukumu ya haki kwa Oscar Pistorius

Hatimaye mahakama ya Afrika Kusin imemkuta mwanariadha Oscar Pistorius na hatia ya kuua bila kukusudia. Kwa maoni ya mwandishi wetu Claus Stäcker, kesi hii itabadilisha maisha ya nyota huyo daima.

View Article

DRC: Idadi ya waliofariki kwa Ebola yaongezeka

Shirika la afya ulimwenguni,WHO limesema idadi ya watu waliofariki kutokana na ugonjwa wa Ebola nchini Kongo imeongezeka mara dufu na kufikia 62 kwa kipindi cha wiki moja iliopita.

View Article


Marekani vitani dhidi ya IS

Ikulu ya Marekani imetangaza rasmi Ijumaa(12.09.2014) Marekani iko vitani dhidi ya kundi la Kiislamu lenye imani kali la Dola la Kiislamu, ikitaka kuondoa hali ya mkanganyiko mwingine kuhusiana na sera...

View Article

Bremen yaituliza kasi ya Leverkusen kileleni

Viongozi wa mapema wa ligi Bayer Leverkusen waliangusha points za kwanza msimu huu baada ya kutoka sare ya kufungana magoli matatu kwa matatu na Werder Bremen hapo jana

View Article


Appiah atimuliwa kama kocha wa Ghana

Shirikisho la kandanda nchini Ghana limethibitisha kuwa limemtimua kocha wa timu ya taifa Kwesi Appiah, na kumaliza miezi ya uvumi kuhusiana na hatima ya kocha huyo mwenye utata.

View Article

Afrika katika magazeti ya Ujerumani

Magazeti ya Ujerumani wiki hii yameandika kuhusu madai yaliyotolewa juu ya walinda amani wa Umoja wa Afrika nchini Somalia kwamba askari hao wanawadhalilisha wanawake kingono.Na pia yameandika juu ya...

View Article


Wanamgambo wa Dola la Kiislamu wamuua mateka mwingine

Wanamgambo wa Dola la Kiislamu wenye itikadi kali wametoa mkanda wa video ukionesha mfanyakazi wa shirika la kutoa misaada raia wa Uingereza David Haines akikatwa shingo.

View Article

Uingereza yajipanga kulipiza mauaji ya Haines

Baada ya kundi linalojiita 'Dola la Kiislamu' kusambaza vidio ya kukatwa kichwa kwa raia wa Uingereza, Waziri Mkuu David Cameron ameitisha mkutano wa dharura kujadiliana hatua za kuchukuwa.

View Article

Ufaransa yaitisha kongamano dhidi ya Dola la Kiislamu

Rais Francoise Hollande na Fouad Massoum wanaongoza mkutano wa zaidi ya mataifa na mashirika 30 ya Magharibi na Arabuni unaojadili hatua za kukabiliana na wanamgambo wanaojiita Dola la Kiislamu.

View Article
Browsing all 28146 articles
Browse latest View live