Wagombea waahidi serikali ya umoja wa kitaifa Afghanistan
Nato imeridhika na ahadi iliyotolewa na wagombea urais nchini Afghanistan ya kuunda serikali ya umoja wa kitaifa na kuyatia saini makubaliano ya kuyaruhusu majeshi ya kimataifa yaendelee kuwapo nchini...
View ArticleUEFA kubadilisha mfumo wa kuorodhesha timu
Shirikisho la Kandanda Ulaya – UEFA, linatathmini namna ya kubadilisha mfumo ambao vilabu vinavyoshiriki katika dimba la Champions League vinaorodheshwa katika viwango.
View ArticleMechi za AFCON zaendelea licha ya kitisho cha Ebola
Mlipuko wa ugonjwa hatari wa Ebola, ulaghai na udanganyifu, mchezaji kupigwa na kuuawa na mashabiki wake..ni kama soka la Afrika haliwezi kujiondolea sifa mbaya ya kukumbwa na matukio ya vurugu.
View ArticleMarekani yathibitisha kifo cha kiongozi wa al Shabaab
Wizara ya ulinzi ya Marekani jana Ijumaa(05.09.2014)imethibitisha kuwa Ahmed Abdi Godane, kiongozi wa kundi la al-Shabaab, ameuwawa katika shambulio la anga la Marekani nchini Somalia wiki hii.
View ArticleSteinmeier ataka serikali ya umoja wa kitaifa Afghanistan
Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Frank Walter Steinmeier ametowa wito wa kuundwa serikali ya umoja wa kitaifa nchini Afghanistan kufuatia ziara yake ya ghafla nchini humo Jumamosi (06.09.2014).
View ArticleUsitishaji mapigano mashariki mwa Ukraine mashakani
Miripuko mikubwa katika mji muhimu mashariki mwa Ukraine jana Jumamosi(06.09.2014) imezusha hofu kwamba makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya serikali na wapiganaji wanaotaka kujitenga tayari...
View ArticleAfrika katika magazeti ya Ujerumani
Wiki hii magazeti ya Ujerumani yanatukumbusha kwamba yapo magonjwa mengine hatari barani Afrika. Magazeti hayo pia yanazungumzia juu ya athari za kampuni kubwa kuchukua ardhi ya kilimo barani Afrika
View ArticleObama kutangaza mpango wa kupambana na IS
Rais wa Marekani Barack Obama ametangaza kuwa atazindua mkakati wa kupambana na kulishinda kundi lenye itikadi kali za Kiislamu linalojiita Dola la Kiislamu.
View ArticleUlaya kuiwekea vikwazo zaidi Urusi
Ukraine na waasi wanalaumiana kwa kuvunja makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyofikiwa, huku Umoja wa Ulaya ukikutana kujadili vikwazo vipya dhidi ya Urusi wanayoituhumu kuunga mkono waasi hao.
View ArticleUkraine,Scottland na Polisi wa Sheria magazetini
Hali mashariki ya Ukraine,kura ya maoni ya Scottland na mjadala kuhusu "Polisi ya sharia" Wuppertal na kuwashawishi wapita njia ni miongoni mwa mada magazetini nchini Ujerumani
View ArticleWanawake wadhalilishwa kingono Somalia
Shirika la kutetea haki za binaadamu limesema, wanajeshi wa Umoja wa Afrika wanaolinda amani nchini Somalia wamewadhalilisha kingono wasichana na wanawake wa kisomali wanaoishi katika mazingira magumu...
View ArticleKuwashinda Dola la Kiislamu kwataka umoja
Huku mataifa ya Magharibi yakikabiliana na kundi linalojiita "Dola la Kiislamu", mhariri mkuu wa Deutsche Welle, Alexander Kudascheff, anasema kinachohitajika ni mkakati wa kijeshi na kisiasa.
View ArticleUjerumani yaanza vizuri michuano ya Euro 2016
Mabingwa wa dunia Ujerumani yapata ushindi wa taabu dhidi ya Scotland katika michuano ya kuwania tikiti ya kucheza katika fainali za kombe la mataifa ya Ulaya , Euro 2016 nchini Ufaransa.
View ArticleMaoni: Kuwashinda Dola la Kiislamu kwataka umoja
Huku mataifa ya Magharibi yakikabiliana na kundi linalojiita "Dola la Kiislamu", mhariri mkuu wa Deutsche Welle, Alexander Kudascheff, anasema kinachohitajika ni mkakati wa kijeshi na kisiasa.
View ArticleIsrael inawatesa Waeritrea na Wasudan
Ripoti mpya ya Human Rights Watch inasema serikali ya Israel imewalazimisha takribani raia 7,000 wa Sudan na Eritrea kurejea nyumbani katika nchi zao ambako wanakabiliwa na kitisho cha unyanyasaji.
View ArticleSerikali mpya Iraq yapongezwa
Jamii ya kimataifa imekaribisha hatua ya bunge la Iraq kuiidhinisha serikali ya waziri mkuu Haider al-Abadi na kuelezea matumaini kuwa itasaidia juhudi za kupambana na kundi la Dola ya Kiislamu.
View ArticleUmoja wa Ulaya kuongeza vikwazo kwa Urusi
Maafisa wa nchi za Umoja wa Ulaya wamekubaliana kuiwekea Urusi vikwazo zaidi kufuatia shutuma kwamba nchi hiyo inahusika kwenye mgogoro unaoendelea Mashariki mwa Ukraine.
View ArticleMaoni ya wahariri
Wahariri wa magazeti leo wanavizungumzia vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Urusi na juu ya hatari ya kufanyika mashambulio ya kigaidi nchini Ujerumani
View ArticleVijana na matumizi ya Instagram
Instagram ni huduma ya simu ama app inayotumika kwenye simu za mkononi za kisasa yaani smartphones kwa ajili ya kupiga picha na kisha kuzisambaza katika mtandao.
View ArticleMarekani, Uingereza kusaidia dhidi ya Ebola
Marekani na Uingereza zimesema zitapeleka vifaa vya tiba na wanajeshi huko Afrika Magharibi kusaidia juhudi za kuzuia kuenea kwa maradhi hatari ya Ebola, huku WHO ikionya kuhusu kuzidi kwa maambukizi.
View Article