Umoja wa Ulaya yapata viongozi wapya
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wamemteuwa Waziri Mkuu wa Poland Donald Tusk kuwa rais mpya wa umoja huo na waziri wa mambo ya nje wa Italia Federica Mogherini kuwa mkuu wa sera za kigeni.
View ArticleUmoja wa Ulaya wapata viongozi wapya
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wamemteuwa Waziri Mkuu wa Poland Donald Tusk kuwa rais mpya wa umoja huo na waziri wa mambo ya nje wa Italia Federica Mogherini kuwa mkuu wa sera za kigeni.
View ArticleAfD yachomoza uchaguzi wa jimbo la Saxony
Chama kinachoupinga Umoja wa Ulaya nchini Ujerumani cha Alternative für Deutschland AfD, kimeshinda viti vyake vya kwanza katika bunge la jimbo kufuatia uchaguzi uliyofanyika Jumapili katika jimbo la...
View ArticleLesotho: Naibu waziri achukua hatamu
Waziri Mkuu wa Lesotho Thomas Thabane ambaye amekimbilia Afrika Kusini kuepuka kile anachokitaja kuwa mapinduzi ya kijeshi dhidi yake, amemshutumu naibu wake kupanga njama ya kumuondoa madarakani.
View ArticleUjerumani kupeleka silaha kwa Wakurdi
Serikali ya Ujerumani imeamua kuwapelekea silaha Wakurdi wa kaskazini mwa Iraq ili kuwawezesha kupambana kwa ufanisi na wapiganaji wa dola la Kiislamu ambao bado wanazishikilia sehemu kadhaa ndani ya...
View ArticleSerikali ya Libya yapoteza udhibiti wa mji mkuu
Serikali ya mpito ya Libya inayoondoka madarakani imekiri leo (01.09.2014) kwamba imepoteza kabisa udhibiti wa mji mkuu, Tripoli kwa makundi ya waasi. bunge limemtaka waziri mkuu aunde serikali mpya.
View ArticleCAF yashikilia uamuzi wake kuhusu Rwanda
Shirikisho la Soka Afrika - CAF limeshikilia uamuzi wake wa kuiondoa Rwanda katika kampeni ya kufuzu dimba la Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka wa 2015. Rwanda ilimtumia mchezaji wa uraia wa nchi mbili
View ArticleSierra Leone kuendelea na mechi yake ya AFCON
Kutokana na kitisho cha Ebola, Sierra Leone imelazimika kuwatumia wachezaji wote wanaocheza soka lao nje ya nchi hiyo katika mechi za kufuzu katika dimba la Kombe la Mataifa ya Afrika.
View ArticleBayern yatekwa, Dortmund yashika kasi
Mmoja wa wachezaji wapya katika Bundesliga ni kiungo Xabi Alonso ambaye hakumaliza hata saa 24 baada ya kujiunga na Bayern, na akacheza mechi yake ya kwanza waliyotoka sare ya goli moja kwa moja na...
View ArticleMerkel atetea uamuzi wa kupeleka silaha Iraq
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel ametetea uamuzi wa serikali yake kuvunja mwiko wa muda mrefu kwa kutuma silaha kaskazini mwa Iraq, akisema kundi la Dola la Kiilsamu ni tishio pia kwa Ujerumani na...
View ArticleUhamisho wa wachezaji umegharimu mabilioni
Soko la usajili wa wachezaji limekamilika na bila shaka uhamisho unaozungumziwa na wengi ni ule uliofanywa na Manchester United kumleta Radamel Falcao uwanjani Old Trafford.
View ArticleUkraine yasema tayari iko vitani na Urusi
Waziri wa ulinzi wa Ukraine Valeriy Geletey amesema tayari vita vikali vimeanza Kati ya nchi yake na Urusi, huku NATO ikijiimarisha katika nchi za Ulaya ya Mashariki kutuliza hofu ya wanachama wapya.
View ArticleMarekani yashambulia mtandao wa al-Shabaab
Jeshi la Marekani limeushambulia mtandao wa kundi lenye itikadi kali za Kiislamu al Shabaab katika operesheni yake (01.09.2014) nchini Somalia. Shambilo hilo linatajwa kumlenga kiongozi anayejificha wa...
View ArticleWasemavyo wahariri wa magazeti ya Ujerumani
Wahariri wa Ujerumani Jumanne hii wanazungumzia juu uamuzi wa serikali ya Ujerumani kuwapelekea silaha wapiganaji wa Kikurdi nchini Iraq, uchaguzi wa jimbo la Saxony, mgogoro wa Ukraine mashariki...
View ArticleUkraine yadai Urusi inaanzisha vita vikuu
Ukraine imedai kuwa Urusi imeanzisha kile ilichookita ''vita vikubwa, ambavyo Ulaya haijawahi kuvishuhudia tangu kumalizika kwa Vita Vikuu vya Pili vya Dunia.''
View ArticleUhifadhi wa misitu kwa maisha bora Kenya
Muongo mmoja uliopita mkoa wa Kasigau ulipo kusini mashariki mwa Kenya ulikuwa jangwa kwa ukataji miti ovyo.Lakini hivi sasa hali imebadiliko ambapo mkoa huo umukuwa chanzo cha wengi kujipatia fedha...
View ArticleMakanisa yakabiliana na mabadiliko ya tabia nchi
Pamoja na Ujerumani kuwa katika hamasa ya kufanya mabadiliko ya matumizi ya nishati katika sera yake, kiwango cha hewa chafu, kumengezeka kwa kipindi cha miaka miwili iliyopita, kwa mara ya kwanza...
View ArticleRais wa Brazil kurejea tena katika kiti chake?
Wakati mbio za uchaguzi wa rais wa Oktoba 5 wa Brazil zikipata kasi, kumeonekana wimbi la watu lenye kumuunga mkono rais Dilma Roussef ambalo linatajwa kuwa kama ngao ya kumvusha rais huyo katika...
View ArticleIS Watuhumiwa kuangamiza jamii za wachache Iraq
Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limewatuhumu wapiganaji wa kundi la dola la Kiislamu kufanya mauaji ya kikabila kaskazini mwa nchi hiyo ya Iraq.
View Article'WildLeaks' kufichua majingili wakubwa
Ujangili wa kuuwa Tembo na Vifaru barani Afrika kwa kiasi kikubwa umegubikwa na vyombo vya usalama vikishirikiana na mtandao wenye nguvu zaidi.
View Article