Serikali ya Ujerumani imeamua kuwapelekea silaha Wakurdi wa kaskazini mwa Iraq ili kuwawezesha kupambana kwa ufanisi na wapiganaji wa dola la Kiislamu ambao bado wanazishikilia sehemu kadhaa ndani ya Iraq.
↧