Israel yaendelea kuihujumu Gaza
Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa Ban Ki-Moon na waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani John Kerry wameingia mbioni kutaka silaha ziwekwe chini baada ya wiki mbili za hujuma za jeshi la Israel huko...
View ArticleJuhudi za kupiga vita UKIMWI zapata moyo
Juhudi ngumu za kutafuta tiba ya kirusi cha HIV zimeonekana kuimarika katika mkutano wa UKIMWI wakati wanasayansi wakisema kwamba wamekilazimihsa kirusi hicho kutoka kwenye maficho yake baada ya...
View ArticleUpungufu wa Vitamin A kwa watoto Tanzania
Kiasi cha asilimia 35 ya watoto nchini Tanzania wanaripotiwa kuwa na upungufu wa Vitamin A, jambo linaloathiri maendeleo ya kiafya na ukuwaji na hivyo kusababisha mashaka wanapokuwa watu wazima.
View ArticleWidodo ashinda uchaguzi wa urais Indonesia
Gavana wa jimbo la Jakarta, Joko Widodo, ameshinda katika uchaguzi wa urais nchini Indonesia ambacho kilikuwa kinyang'anyiro kikali kati yake na mkuu wa zamani wa majeshi Prabowo Subianto.
View ArticleMkutano wa Maji wafanyika mjini Kampala
Mabadiliko ya tabia nchi yazidisha tatizo la upatikanaji maji safi na salama kwa idadi kubwa ya watu barani Afrika.
View ArticleMaiti za wahanga wa MH17 zapelekwa Uholanzi
Ndege ya kwanza inayobeba majeneza 14 yaliyo na miili ya waliokufa katika mkasa wa ndege ya Malaysia iliyodunguliwa wiki iliyopita Mashariki mwa Ukraine imeondoka kutoka uwanja wa ndege wa Kharkiv,...
View ArticlePillay aikosoa vikali Israel
Huku Marekani ikiendelea na jitihada zake za kupatikana kwa usitishaji wa mapigano kwenye Ukanda wa Gaza, Umoja wa Mataifa umesema kuna dalili Israel inafanya uhalifu wa kivita na mauaji yakiendelea.
View ArticleRais Goodluck Jonathan akutana na wazazi
Rais wa Naigeria Goodluck Jonathan amekutana kwa mara ya kwanza na wazazi wa wasichana zaidi ya 200 waliotekwa nyara na kundi la wanamgambo wa Boko Haram, na wasichana waliofanikiwa kukwepa kutekwa na...
View ArticleBangi ruksa kwa wagonjwa Ujerumani
Kupamba moto kwa chuki dhidi ya Uyahudi kutokana na mzozo wa Gaza,vikwazo dhidi ya Urusi na hukumu ya kuruhusu matumizi ya bangi kwa wagonjwa Ujerumani ni mada zilizohodhi magazeti ya Ujerumani...
View ArticleSeleka yadai kugawiwa kwa Jamhuri ya Afrika ya Kati
Waasi wa Seleka wamedai Jamhuri ya Afrika ya Kati igawiwe pande mbili kaskazini kwa Waislamu na kusini kwa Wakristo madai ambayo ni ya kushangaza waliyoyatowa katika mazungumzo ya kukomesha ghasia za...
View ArticleJeshi la kanda kupambana na Boko Haram
Mataifa manne ya Afrika Magharibi yameazimia kuunda kikosi cha pamoja ili kukabiliana na kitisho kinachoongezeka cha kundi la itakadi kali za Kiislamu la Boko Haram, linaloendesha shughuli zake hasa...
View ArticleMiili zaidi ya wahanga wa ndege MH17 yasafirishwa Uholanzi
Miili zaidi ya wahanga wa ajali ya ndege ya Malaysia iliyodunguliwa wiki iliyopita mashariki mwa Ukraine inatarajiwa kuwasili leo Uholanzi huku umoja wa Ulaya ukijitayarisha kuiwekea Urusi vikwazo vipya
View ArticleUsitishaji mapigano Gaza kabla ya Iddi?
Marekani, Qatar na Uturuki zimo katika jitihada za kupatikana kwa usitishwaji mapigano ya Gaza, huku mashambulizi ya Israel yakiuwa Wapalestina saba na ikisema inahitaji muda zaidi kuwafyeka inaowaita...
View ArticleMalkia afungua rasmi michezo ya madola
Malkia Elizabeth 11 amefungua rasmi michezo ya 20 ya jumuiya ya Madola jana katika sherehe kubwa mjini Glasgow ambapo mwanamuzi maarufu Rod Stewart aliwatumbuiza mashabiki waliohudhuria.
View ArticleBan Ki-moon akutana na Maliki
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amekutana na viongozi wa juu wa Iraq akiwataka waukwamue mkwamo wa siasa katika wakati ambapo mashambulizi ya kigaidi yakiangamiza maisha ya zaidi ya watu 60.
View ArticleWaziri Mkuu wa Ukraine ajiuzulu
Waziri Mkuu wa Ukraine Arseniy Yatsenyuk alitangaza kujiuzulu jana jioni, baada ya muungano wa vyama vilivyounda serikali yake kusambaratika. Hatua hiyo inazidisha changamoto kwa nchi yake...
View ArticleMapigano yazidi Ukanda wa Gaza
Ndege za kivita ya Israel zimezishambulia takribani nyumba 30 ndani ya Ukanda wa Gaza, na kusababisha mauaji kadhaa yakiwemo ya kiongozi mmoja wa Hamas na wanawe wawili wa kiume
View ArticleAfrika katika magazeti ya Ujerumani Wiki hii
Ziara ya siku 3 ya rais wa Ufaransa Afrika Magharibi,matumaini ya kupatikana amani katika jamhuri ya Afrika Kati na mkataba wa kibiashara kati ya halmashauri kuu ya Umoja wa ulaya na mataifa 6 ya...
View ArticleFIFA yasisitiza Urusi itaandaa Kombe la Dunia
Shirikisho la Soka Ulimwenguni FIFA limepinga wito wa kulitaka lihamishe dimba la Kombe la Dunia mwaka wa 2018 kutzoka Urusi, likisema kuwa kinyang'anyiro hicho “kinaweza kuleta mabadiliko makubwa”.
View ArticleShirikisho la Soka Nigeria lamtimua rais wake
Shirikisho la Soka la Nigeria – NFF limemtimua rais wake Aminu Maigari. Hivi karibuni iliingilia kati mgogoro huo na kuipiga marufuku kwa muda Nigeria dhidi ya kushiriki katika soka la kimataifa
View Article