Rais wa Gambia, Yahya Jammeh, ameshinda muhula mwengine wa
miaka mitano, baada ya Tume ya Uchaguzi kumtanganza mshindi wa
uchaguzi wa Alhamis iliyopita.
↧