Jean Claude Juncker amesema anajiamini kuwa atakuwa rais mpya wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya licha ya onyo la Waziri Mkuu wa Uingereza kwamba jambo hilo litapelekea kujitowa kwa Uingereza kwenye umoja huo.
↧