Hali nchini Misri na Homa ya uchaguzi Ujerumani
Hali nchini Misri na suala kama wimbi la mageuzi katika nchi za kiarabu limekupwa,na suala la nani ataungana na nani baada ya uchaguzi mkuu Septemba 22 ijayo ndio mada zilizohanikiza magazetini.
View ArticlePolisi 25 wa Misri wauawa na wanamgambo
Watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wenye silaha wamewauwa maafisa 25 wa polisi nchini Misri, katika mashambulizi ya kuvizia asubuhi leo katika eneo la Sinai, na kivuko cha Rahah katika eneo hilo kimefungwa
View ArticleMisri bado hakujatulia
►Mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya wakutana Jumatano kwa dharura mjini Brussels kujadili juu ya kuishinikiza serikali ya Misri kutafuta suluhisho kwa njia ya amani na wafuasi wa rais...
View ArticleBundesliga yaingia wiki ya pili
Bundesliga yaingia wiki ya pili, Hamburg SV hoi lakini yasema kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi ,Jose Morinho anaamini sasa kuwa Chelsea iko tayari kuingia katika enzi mpya .
View ArticleKiongozi wa udugu wa kiislamu akamatwa Misri
Maafisa nchini Misri wamesema wamemkamata Mohammed Badie huku serikali ya muda ikiimarisha juhudi zake za kukikandamiza chama cha Rais aliyeng'olewa madarakani Mohammed Mursi
View ArticleMusharaf ashitakiwa kwa mauaji ya Bhutto
Mahakama nchini Pakistan imemfungulia mashitaka rais wa zamani wa nchi hiyo, Pervez Musharaf kuhusiana na kifo cha kiongozi wa upinzani Benazir Bhutto mwaka 2007. Wakili wa Musharaf amesema mashitaka...
View ArticleKenya imesaini mkataba wa dola bilioni 5 na China
Serikali ya Kenya, imesaini mkataba wa biashara na China jana (19.082013) wenye thamani ya dola za kimarekani bilioni 5 kwa ajili ya ujenzi wa reli na mradi wa umeme.
View ArticleUmoja wa Ulaya unakutana Brussels kutangaza msimamo wa pamoja kuhusu Misri
Maafisa wa usalama Misri wamewakamata viongozi wengine wawili wa udugu wa kiislamu huku kukiwa na uwezekano wa kuachiwa huru Rais wa zamani Hosni Muabarak na umoja wa Ulaya ukikutana juu uhusiano wake...
View ArticleSumu yadaiwa kuuwa Syria
Majeshi ya Syria leo hii yameshambulia vikali kwa kutumia mizinga na maroketi katika baadhi ya viunga vya jiji la Damascus, shambulio ambalo makundi mawili ya upinzani yanadai imetumika hewa ya sumu na...
View ArticleMgogoro wa nyuklia wa Fukushima wachacha
Mamlaka ya udhibiti wa nishati ya nyuklia nchini Japan, imesema mgogoro wa nyuklia wa nchi hiyo umefikia kiwango kibaya zaidi katika kipindi cha miaka miwili, huku China ikielezea kushtushwa na baa hilo.
View ArticleMisri bado hakujatulia
Mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya wakutana Jumatano kwa dharura mjini Brussels kujadili juu ya kuishinikiza serikali ya Misri kutafuta suluhisho kwa njia ya amani na wafuasi wa rais...
View ArticleMahakama yaamuru kuachiliwa kwa Hosni Mubarak
Mahakama ya rufaa nchini Misri imeamuru Rais wa zamani wa nchi hiyo Hosni Mubarak kuachiwa huru,uamuzi ambao unabashiriwa kuligawanya hata zaidi taifa hilo huku umoja wa Ulaya ukikutana kuihusu Misri
View ArticleMapigano yapamba moto Damascus
Vikosi vya serikali ya Syria vimeendelea kuhujumu kwa mabomu vitongoji vya mji mkuu Damascus vinavyodhibitiwa na waasi,vikizidisha kishindo katika mitaa inayosemekana ilihujumiwa kwa silaha za kemikali.
View ArticleHosni Mubarak kutoka gerezani,kuwekwa kifungo cha nyumbani
Aliyekuwa Rais wa Misri Hosni Mubarak anatarajiwa kutolewa gerezani leo baada ya mahakama kuamuru achiliwe huru, lakini mara tu baada ya kuachiwa atawekwa chini ya kifungo cha nyumbani.
View ArticleMugabe aapishwa rasmi
Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ameapishwa kwa ajili ya muhula mwengine wa miaka mitano kuongoza nchi hiyo katika sherehe kubwa kwenye uwanja mkubwa mjini Harare, ambao unao uwezo wa kuwapokea watu 60,000.
View ArticleMaoni: Ushindi wa mwisho wa Mugabe
Kwa mara nyingine tena, Robert Mugabe ameapishwa kuwa rais wa Zimbabwe. Licha ya kuwa na miaka 89 sasa, Mugabe haonyeshi dalili yoyote ya kuchoshwa na siasa. Mwandishi wetu Claus Stäcker anashangazwa...
View ArticleMoyo: Mansoor hakutendewa haki
Kamati Maalum ya CCM Zanzibar ilipitisha azimio la kumvua uwanachama wa chama hicho Mansoor Yussuf Himid, ambaye ni mjumbe wa Baraza la Wawakilishi la Kiembesamaki, waziri wa zamani na mjumbe wa Kamati...
View ArticleEnnahda yasema iko tayari kutoa tahfifu Tunisia
Chama cha Kiislamu kinachotawala nchini Tunisia kimeashiria kuwa tayari kujadiliana na upinzani kuhusu kuundwa kwa serikali isiyo ya wanasiasa, ili kukomesha mgogoro wa kisiasa uliyodumu kwa mwezi...
View ArticleRais wa zamani wa Misri Hosni Mubarak aondoka gerezani
Hosni Mubarak ameondoka kutoka jela ya Tora mjini Cairo kwa helikopta ya kijeshi na kupelekwa katika hospitali ya kijeshi. Hii inakuja baada ya mahakama kuamuru achiliwe
View ArticleMauaji nchini Ujerumani: Idara za ujasusi zimefeli
Ripoti ya tume ya vyama vya siasa iliyokuwa ikichunguza kuhusu idara za ujasusi zilivyojihusisha katika uchunguzi wa mauaji ya raia wa kigeni nchini Ujerumani imegundua kuwa kulikuwa na uzembe wa hali...
View Article