Bayern na Dortmund kuumana
Huku fainali ya Wembley ikisubiriwa na wengi, kati ya Borussia Dortmund na Baywen Munich, katika Champions League, mahusiano baina ya mahasimu hao wa Bundesliga yanaendelea kuharibika
View ArticleUhuru wa habari wazidi kutishiwa Afrika ya kati
Licha ya uongozi mpya nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati kuahidi kulinda uhuru wa vyombo vya habari baada ya kuuangusha utawala wa rais Francois Bozize, hali inaelezwa kuwa mbaya kuliko ilivyokuwa chini...
View ArticleDRC yasisitiza kurudishwa nyumbani wakimbizi 127,537 wa Rwanda waliopo Congo
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo , imeomba kufanyika mkakati kamili wa kuwarudisha nyumbani jumla ya wakimbizi 127,537 wa Rwanda ambao kwa sasa wanaishi nchini Congo.
View ArticleHali ya tete nchini Nigeria
Shirika la Umoja wa Mataifa la Haki za Binaadamu jana limeonesha kusikitishwa kwake na vurugu zinazoendelea huko kaskazini-mashariki mwa Nigeria ambazo zimesababisha vifo na kuwaacha raia bila makazi
View ArticleObama haoni uwezekano wa kupeleka jeshi Syria
Rais wa marekani Barack Obama amekaribia siku ya Ijumaa(03.05.2013) kuamua kutowapeleka wanajeshi wa Marekani nchini Syria,akisema kuwa haoni uwezekano ambao hatua hiyo italeta manufaa kwa Marekani ama...
View ArticleNdege za Israel zashambulia Syria
Israel imefanya shambulio la anga dhidi ya shehena ya makombora ya Syria yaliokuwa yakisafirishwa kupelekwa kwa kundi la wapiganaji wa Hezobollah lilioko katika nchi jirani ya Lebanon.
View ArticleIsrael yashambulia tena Syria
Israel imefanya shambulio la roketi dhidi ya kituo cha utafiti wa sayansi cha Jamraya kilichoko karibu na mji mkuu Damascus usiku wa kuamkia Jumapili,(05.05.2013), limeeleza shirika la habari la Syria...
View ArticleSilaha za sumu zilitumika Syria
Waasi nchini Syria walitumia sumu ya Sarin inayoathiri neva za ubongo katika vita vya Syria.Hayo ni kulingana na mchunguzi wa masuala ya haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa Carla del Ponte
View ArticleTanzania: Bomu laripuka Kanisani mjini Arusha
Jeshi la polisi nchini Tanzania linawashikilia watu wanane wakiwemo raia wa kigeni kufuatia tukio la mripuko wa bomu lililosababisha watu wawili kupoteza maisha na wengine 60 wakajeruhiwa.
View ArticleKesi dhidi ya kundi la NSU yaanza
Kesi dhidi ya mwanachama aliyebakia wa kikundi cha magaidi wa Kinazi hapa Ujerumani (NSU) kinachoshukiwa kuwauwa wageni kumi kwa misingi ya ubaguzi imeanza mjini Munich, ikichukuliwa kama moja ya kesi...
View ArticleKesi ya magaidi wa NSU
Kesi ya mauwaji dhidi ya wafuasi 5 wa vuguvugu la chini kwa chini la wazalendo wa kijamaa,hujuma za Israel dhidi ya Syria na mkutano mkuu wa chama cha kiliberali ni miongoni mwa mada zilizopewa umuhimu...
View ArticleKongamano la kutafuta utulivu Somalia
Wajumbe kutoka nchi na mashirika hamsini wanakutana jijini London hii leo (07.05.2013) katika kongamano la kimataifa linalolenga kuizuia Somalia isitumbukie tena katika lindi la machafuko na ukosefu wa...
View ArticleBayern na Dortmund zatoshana nguvu
Bayern Munich , mabingwa wa Ligi ya Ujerumani, Bundesliga msimu huu, na timu iliyoko katika nafasi ya pili , mabingwa wa zamani Borussia Dortmund wametoka sare ya bao 1-1 katika mechi ya ligi
View ArticleJohn Kerry ziarani Moscow
Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani John Kerry amewasili Moscow kwa mazungumzo pamoja na rais Vladimir Putin kuhusu mzozo wa Syria na jinsi ya kuimarisha uhusiano kati ya mahasimu hao wawili wa...
View ArticleDRC: Nchi hatari zaidi kwa mama
Shirika la kimataifa la kuhudumia watoto - Save the Children limeitaja Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kuwa eneo baya zaidi ulimwenguni kuishi ukiwa mama, wakati Finland ikiibuka eneo bora zaidi.
View ArticleMafashisti mamboleo NSU, mahakamani
Wahariri wanazungumzia juu ya kesi kubwa inayowakabili mafashisti mamboleo wa Ujerumani, na juu ya mgogoro wa Syria.
View ArticleIran yaanza kusaka mrithi wa Ahmadnejad
Zoezi la kuwasajili wagombea wa urais tarehe 14 Juni mwaka huu nchini Iran limeanza siku ya Jumanne, ambapo wahafidhina kadhaa wameonyesha nia ya kugombea nafasi hiyo, lakini wanamageuzi muhimu bado...
View ArticleWanawake 3 waliotoweka wapatikana hai
Wanawake watatu wa jimbo la Ohio Marekani wanaoaminika walitekwa nyara muongo mmoja uliopita wamepatikana wakiwa hai kwenye nyumba mmoja ilioko katika mji wa Cleveland karibu na mahala ambapo...
View ArticleMsanii wa Kichina na kampeni dhidi ya pembe za ndovu Kenya
Huku kampeni dhidi ya biashara ya pembe za ndovu zikizidi barani Afrika, mcheza filamu mashuhuri wa China, Li Bingbing, anatembelea hifadhi za wanyamapori za Kenya kuwaelimisha Wachina dhidi ya madhara...
View ArticleUrusi na Marekani kuandaa mkutano kuhusu Syria
Baada ya miezi kadhaa ya kutofautiana vikali, hatimaye Urusi na Marekani zimekubaliana kuzishinikiza pande zote zinazohusika katika mgogoro wa Syria kutafuta suluhisho la kumaliza umwagaji damu
View Article