Italia Yapata Waziri Mkuu Mpya
Mkwamo wa wiki 8 katika mchakato wa kuunda serikali ya Italia unaelekea kumalizika, baada ya kuteuliwa kwa Enrico Letta kuwa waziri mkuu wa nchi hiyo. Uteuzi huo umeyafurahisha masoko na washirika wa...
View ArticleViongozi wapya wa Kenya watakiwa kuheshimmu haki za binadamu.
Shirika la kutetea haki za binaadamu ulimwenguni la Human Rights Watch,limewataka viongozi wapya wa Kenya kufanya mabadiliko katika mambo manne makuu ambayo yanachangia kuvunja haki za binadamu kwa...
View ArticleKenya: Rais Kenyatta atangaza baraza la mawaziri
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amelitangaza baraza lake la mawaziri, ambapo ameyapendekeza majina 16 yatakayofanyiwa uchunguzi na bunge kabla ya kuidhinishwa.
View ArticleUN kutoa azimio jipya kuhusu Sahara Maghrabi
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo (25.04.2013) linatarajiwa kupitisha azimio linalolenga kurefusha muda wa kiokosi cha kulinda amani katika Sahara ya Magharibi.
View ArticleKorea Kusini yatoa pendekezo rasmi kwa Kaskazini
Korea kusini imetoa pendekezo la mazungumzo rasmi na Korea Kaskazini kuhusu kufunguliwa kwa kiwanda cha pamoja cha Kaesong na kutishia kujiondoa katika mradi huo wa pamoja iwapo kaskazini itakataa...
View ArticleMawaziri zaidi wateuliwa Kenya
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametangaza majina ya mawaziri wapya 12. Miongoni mwao ni mwanadiplomasia Raychelle Omamo aliyepewa wadhifa wa waziri wa ulinzi. Bado wizara mbili hazijapewa viongozi.
View ArticleMaoni ya wahariri juu ya Italia na maafa ya Bangladesh
Pamoja na masuala mengine wahariri wa magazeti wanazungumzia juu ya juhudi za kuunda serikali nchini Italia na dhamira ya Uswisi ya kupunguza idadi ya wahamiaji.
View ArticleSilaha za kemikali zilitumika Syria
Marekani imesema serikali ya Assad ilitumia silaha za kemikali katika vita nchini Syria lakini imesisitiza kuwa Rais Barrack Obama anahitaji ushahidi zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote.
View ArticleWanawake 6 wateuliwa katika baraza la mawaziri nchini Kenya
Rais wa Jamhuri ya Kenya, Uhuru Kenyatta amekwisha anza kazi ya kuteua baraza lake la mawaziri kwa ajili ya kuunda serikali yake baada ya kuapishwa rasmi baada ya uchaguzi wa Machi 4.
View ArticleMiaka 49 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Leo tarehe 26.04.2013 Tanzania inaadhimisha miaka 49 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
View ArticleKikosi kwa ajili ya Mali, chaidhinishwa
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeidhinisha kwa kauli moja azimio la kuunda kikosi cha kulinda amani cha umoja huo kwa ajili ya Mali, ili kurejesha utulivu na kuimarisha demokrasia kwenye eneo...
View ArticleDenis Goldberg mpigania ukombozi, Afrika Kusini
Kurasa za historia ya Afrika Kusini haziwezi kujaa bila ya jina la Denis Goldberg. Ni mwanaharakati mashuhuri aliepambana na utawala wa kibaguzi nchini Afrika kusini. Jee yeye ni nani hasa?
View ArticleMbinu za kuongeza mavuno Afrika
Wawekezaji wa kimataifa wanasaka namna ya kuitumia ardhi tupu ya kilimo barani Afrika kwa masilahi yao na yale ya wenyeji wa nchi husika
View ArticleLewandowski anaondoka au haondoki?
Bayern Munich wamethibitisha kuwa hawajamsajili mshambuliaji wa Borussia Dortmund Robert Lewandowski, na kupuuzilia mbali uvumi unaoenea kuhusu uhamisho mwingine wa kushangaza.
View ArticleMapinduzi ya vyombo vya habari yanahitajika Zimbabwe
Wakati wananchi wa Zimbabwe wakielekea katika uchaguzi mkuu Juni 29 mwaka huu,inaelezwa kuwa vitisho na mashambulizi dhidi ya vyombo vya habari na wandishi wa habri,vinaongezeka nchini humo. Hashim...
View ArticleAfrika katika magazeti ya Ujerumani
Wiki hii, magazeti ya Ujerumani yameandika juu ya hatari ya kurejea vita nchini Msumbiji baada ya miaka ishirini ya amani.Na pia yamendika juu ya ustawi wa biashara baina ya Afrika na Ujerumani.
View ArticleUN kupambana na homa ya mapafu na magonjwa ya kuharisha.
Umoja wa mataifa umeanzisha mkakati wa kuokoa maisha ya watoto wapatao milion mbili ambao hupoteza maisha yao kila mwaka kutokana na ugonjwa wa homa ya mapafu na magonjwa ya kuharisha.
View ArticleRasi ya Korea: Hatma ya Kaesong mashakani
Wafanyakazi wa Korea Kusini wanajiandaa kuondoka kutoka eneo la viwanda la Kaesong leo Jumamosi (27.04.2013), kufuatia hatua ya utawala wa mjini Seoul kutangaza kujitoa kabisaa katika mradi huo wa pamoja.
View ArticleRais Obama aionya Syria
Rais wa Marekani Barrack Obama, ametoa onyo jipya kwa Syria kwamba matumizi ya silaha za maangamizi makubwa dhidi ya raia nchini humo huenda likapelekea kubadilisha msimamo wa Marekani juu ya kuingilia...
View ArticleSeneta Mutula Kilonzo wa Kenya aaga dunia
Mutula Kilonzo seneta wa jimbo la uchaguzi la Makueni amekutikana akiwa amefariki leo (Jumamosi 27.04.2013) akiwa katika nyumba yake ilioko kwenye shamba la Maanzoni katika jimbo la Machakos
View Article