Quantcast
Channel: DW Kiswahili
Browsing all 28146 articles
Browse latest View live

Bayern, Chelsea na kibarua cha barani Ulaya

Bayern Munich na Chelsea zitataraji kumalizia vibarua walivyo navyo ili kufuzu katika robo fainali ya Ligi ya Mabingwa wa Ulaya, baada ya timu zote kutoka sare katika mechi zao za ugenini za mkondo wa...

View Article


Mali yamtimua kocha wa taifa Kasperczak

Mali imemwambia kwaheri kocha Henryk Kasperczak baada ya timu ya taifa kushindwa kufuzu katika raundi ya kwanza ya dimba la Kombe la Mataifa ya Afrika lililokamilika katika Guinea ya Ikweta.

View Article


Simone Gbagbo jela miaka 20

Mahakama nchini Cote d'Ivoire imemuhukumu mke wa rais wa zamani, Simone Gbagbo, kifungo cha miaka 20 kwa kuuhujumu usalama wa nchi wakati wa ghasia za baada ya uchaguzi kati ya mwaka 2010 na 2011.

View Article

Wanajeshi 15 wauwa na Boko Haram

Wanajeshi 15 kutoka Chad na Niger wameuwawa katika mapigano ya kuikomboa miji ya kaskazini mwa Nigeria iliyokuwa ikidhibitiwa na wapiganaji wa kundi la Boko Haram

View Article

Waasi washutumiwa kukiuka mkataba wa kusitisha mapigano Ukraine

Ukraine imewashutumu waasi wanaoiunga mkono Urusi kutumia mabomu na maroketi kushambulia maeneo yanayoshikiliwa na serikali karibu na mji wa bandari wa Mariupol,ulio katika eneo la Mashariki.

View Article


Kansela Merkel akamilisha ziara ya siku mbili Japan

Na sasa tunaelekea Japan ambako kansela Angela Merkel wa Ujerumani akikamilisha ziara yake hii leo ametetea umuhimu wa kutiwa saini makubaliano ya biashara huru kati ya Japan na nchi za Umoja wa ulaya.

View Article

Iran yaishutumu Marekani

Serikali ya Iran imesema barua ya wabunge wa chama cha Republican cha Marekani kuhusu mpango wake wa nyuklia inaelezea tabia ya kutoaminika katika masuala fulani.

View Article

Colombia yasitisha mashambulizi dhidi ya FARC

Serikali ya Colombia imesitisha mashambulizi yake ya anga dhidi ya waasi wa FARC kwa kipindi cha mwezi mmoja kwa kuheshimu tamko la upande mmoja lililotolewa na waasi hao kusitisha mapigano.

View Article


Boko Haram waendeleza mashambulizi kaskazini mwa Nigeria

Shambulizi la bomu limeukumba kwa mara nyingine mji wa kaskazini mashariki mwa Nigeria wa Maiduguri hapo jana siku chache tu baada ya mashambulizi mengine katika eneo hilo kuwauwa watu 58

View Article


Sweden yatangaza kusisitsha makubaliano na Sweden

Sweden itisitisha makubaliano yake na Saudi Arabia ya thamani ya mabilioni ya fedha katika sekta ya ulinzi, baada ya ukosoaji wake dhidi ya rikodi ya haki za binaadamu ya serikali ya Saudia, kuzua...

View Article

Mabula:Maisha ya wanangu ni magumu

Dotto Mohamed mwenye umri wa miaka sita na Shija Mohamed mwenye umri wa miaka minne ni walemavu wa ngozi miongoni mwa watoto sita katika familia ya Mohamed Mabula.

View Article

Steinmeier aikosoa 'barua kwa Iran'

Ujerumani inaikosoa "Barua kwa Iran" iliyoandikwa na wabunge 47 wa chama cha Republican, huku wabunge hao wakisema wanasimamia walichokiandika kwenye waraka huo uliozuwa utata.

View Article

Kikosi cha OSCE Ukraine kuimarishwa

Shirika la Usalama na Ushirikiano la Ulaya (OSCE) limepiga kura ya kuongeza maradufu ukubwa wa kikosi cha uangalizi Ukraine kufikia 1,000 pia kuongeza muda wa kikosi hicho kubakia nchini humo kwa miezi...

View Article


Ukuta kujengwa Lamu kuwazuia magaidi

Kaunti ya Lamu inataka kuutumia ukuta huo kukabiliana washukiwa wa ugaidi wasiingie kutokea nchi jirani ya Somalia.

View Article

Kerry ataka uwekezaji zadi Misri

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, John Kerry, amesifu mageuzi ya uchumi chini ya utawala wa Rais Abdel Fatah al-Sisi wa Misri akiwatolea wito wawekezaji kuwekeza licha ya changamoto za kiusalama.

View Article


Juncker ashinikiza makubaliano na Ugiriki

Mkuu wa Halmashauri ya Umoja wa Ulaya Jean Claude Juncker na Waziri Mkuu wa Ugiriki Alexis Tsipras wametowa wito wa mshikamano na Ugiriki kuinusuru isifilisike na kuhatarisha kutolewa katika kanda ya...

View Article

Hamburg yapambana na Berlin kuandaa Olimpiki

Mji wa bandari wa kaskazini mwa Ujerumani Hamburg umeupiku mji mkuu Berlin katika kinyang'anyiro chao cha kuwa mgombea wa Ujerumani wa kuandaa Michezo ya Olimpiki ya 2024

View Article


FIFA: Niersbach hana makosa yoyote

Rais wa Shirikisho la Kandanda la Ujerumani – DFB Wolfgang Niersbach ameondolewa makosa yoyote ya kimaadili na Shirikisho la Kandanda Ulimwenguni – FIFA kuhusiana na malipo na pensheni yake

View Article

Mayweather, Pacquiao wakutana ana kwa ana

Baada ya miaka mitano ya kujigamba, Floyd Mayweather Jr. na Manny Pacquaio walisimama ana kwa ana ili kuzindua rasmi pigano lao linalosubiriwa kwa hamu kubwa

View Article

Pistorius apoteza katika kesi ya rufaa

Mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius amepoteza kesi ya rufaa kuhusu hatua ya mahakama ya kumuondolea mashtaka ya mauaji ya mchumbake wake Reeva Steenkamp

View Article
Browsing all 28146 articles
Browse latest View live