IMF yahimiza njama potovu dhidi ya wanawake zikome
Mataifa yanabidi yabatilishe sheria zinazowazuwia wanawake kufanya kazi ili kuzidisha idadi ya wanawake wanaoajiriwa kazini na kuimarisha mapato yao,anasema mkurugenzi wa shirika la fedha la kimataifa...
View ArticleNetanyahu asifu hukumu dhidi ya Palestina
Mahakama ya New York, Marekani imeutia hatiani utawala wa ndani wa Wapalestina na Chama cha Ukombozi cha Palestina, PLO, kwa kuhusika na mashambulizi sita mjini Jerusalem yaliyowaua Wamarekani.
View ArticleMaombi ya Ugiriki ya kuongezewa muda wa kusaidiwa yakubaliwa
Mpango wa kuisaidia Ugiriki utarefushwa .Halmashauri ya Umoja wa Ulaya imetoa taarifa hiyo na kueleza kuwa msaada huo utaendelea hadi mwishoni mwezi Juni. Lakini shirika la fedha la kimataifa bado lina...
View ArticleAmnesty yazikosoa serikali kushindwa kuwalinda raia duniani
Shirika la Amnesty International limezikosoa serikali ulimwenguni kwa kushindwa kuwalinda mamilioni ya raia dhidi mauaji yanayofanywa na vyombo vya dola na makundi yenye silaha katika mwaka 2014.
View ArticleDRC yaanzisha mashambulizi dhidi ya FDLR
Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo limeanzisha mashambulizi dhidi ya waasi wa kundi la Kihutu kutoka Rwanda-FDLR, walioko mashariki mwa nchi hiyo.
View ArticleWahouthi waiteka kambi ya kikosi maalumu
Kundi la jamii ya Houthi nchini Yemen ambalo linaudhibiti mji mkuu wa nchi hiyo Sana'a, limeiteka kambi ya kikosi maalum katika mji huo. Hayo yametokea wakati watu wenye silaha wakiwa wamemteka raia wa...
View ArticleBadawi ashinda tuzo ya 'Freedom of Speech Award' ya DW
Mwanaharakati wa Saudi Arabia aliyekuwa msitari wa mbele kutetea uhuru wa kujieleza Raif Badawi anapewa tuzo ya Uhuru wa Kujuieleza ya Deutsche Welle - Freedom of Speech Award.
View ArticleFIFA:Vilabu vya Ulaya havitalipwa fidia
Shirikisho la soka duniani FIFA limetunisha misuli yake tena leo (25.02.2015) kwa kutangaza vilabu vya soka havitalipwa fidia kwa kuwapoteza wachezaji na kuvurugika kwa ligi kutokana na kuahirisha...
View ArticleSteinmeier atangaza sera nje ya Ujerumani
Ugaidi wa Dola la Kiislamu, Ebola na mzozo wa Ukraine ni miononi mwa mambo ambayo yanaonekana kutokuwa na mwisho na ambayo sasa siasa ya nje ya Ujerumani inajaribu kuyatafutia majibu.
View ArticleMiaka 130 ya mkutano wa Berlin ulioigawa Afrika
Miaka 130 iliyopita, siku kama ya leo, mkutano wa Berlin ambao ndiyo ulikuwa mwanzo wa ukoloni barani Afrika, ulimalizika. Ni Katika mkutano huo ambapo wakoloni waliweka mipaka ya makoloni yao barani...
View ArticleUhusiano wa Marekani na Israel mashakani
Hatua ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ya kukosoa juhudi za kupata makubaliano juu ya mpango wa nyuklia wa Iran, kumezusha hisia kali na uharibifu wa ushirikiano katika mahusiano ya Israel...
View ArticleMchinjaji mateka wa IS 'Jihadi John' ni raia wa Uingereza
Mwanamgambo anayejulikana kwa jina la utani 'Jihadi John' wa kundi la wanamgambo wenye itikadi kali la dola la kiislamu IS, ambaye amekuwa akionekana katika video akiwachinja mateka ametambuliwa kama...
View ArticleBaraza la usalama lajadili hali nchini Ukraine
Baraza la Usalama la Umoja wa mataifa linakutana kwa dharura kuzungumzia mzozo wa Ukraine katika wakati ambapo hali inadhihirika kuimarika katika uwanja wa mapigano mashariki ya nchi hiyo.
View ArticleBunge la Ujerumani kuipa Ugiriki ahueni
Wabunge wa Ujerumani wanatazamiwa kuidhinisha urefushaji wa mpango wa uokozi wa Ugiriki katika kura ya bungeni siku ya Ijumaa,na hivyo kuondoa kizingiti cha mwisho cha kuendeleza musaada muhimu...
View ArticleTwiga katika hatari ya kutoweka
Ni wanyama wachache sana wanaotambulishwa zaidi na bara la Afrika kama alivyo Twiga. Lakini sasa mnyama huyo anakabiliwa na kitisho cha kutoweka kutokana na imani kwamba uboho wake unatibu ukimwi.
View ArticleMwanasiasa mashuhuri auwawa Urusi
Boris Nemtsov kiongozi wa upinzani mwenye heba na mkosoaji mkubwa wa rais Vladimir Putin wa Urusi ameuwawa kwa kupigwa risasi karibu na Ikulu Moscow Ijumaa usiku. (27.02.2015).
View ArticleOcalan ataka chama chake cha PKK kuacha mapigano Uturuki
Kiongozi wa wanamgambo wa Kikurdi aliyeko kifungoni Abdullah Ocalan ametoa wito kwa wafuasi wake kuchukua "uamuzi wa kihistoria kuweka silaha zao chini, kwa mujibu wa taarifa jana Jumamosi(28.02.2015).
View ArticleMaelfu waandamana kuomboleza kifo cha Nemtsov
Maelfu ya watu wameandamana Jumapili (02.03.2015) mjini Moscow kuomboleza kifo cha kiongozi wa upinzani Boris Nemtsov ambaye ameuwawa kwa kupigwa risasi mjini humo.
View ArticleNetanyahu azuru Marekani kuzuia mkataba na Iran
Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amewasili Washington Marekani (02.03.2015) katika kile alichokiita ''jitihada za kihistoria'' kuzuia mkataba wa kimataifa kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran ambao...
View ArticleKerry na Lavrov wakutana kwa mazungumzo
Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani John Kerry anakutana na mwenzake wa Urusi Sergey Lavrov kwa mazungumzo, wakati hali ikiwa bado ni ya wasiwasi nchini Ukraine.
View Article