Wahouthi wampa changamoto Rais wa Yemen
Wapiganaji wa Houthi wamepambana na walinzi katika makaazi binafsi ya Rais wa Yemen na kuingia katika Ikulu yake Jumatano (21.01.2014) na hivyo kuzidisha hatari katika mapambano ya kuwania madaraka.
View ArticleUtandawazi wapoteza tamaduni asilia
Utandawazi unatajwa kuwa kiunganishi muhimu cha maisha ya kisasa kinachoubadilisha uchumi wa nchi kuwa wa kimataifa, lakini unalaumiwa pia kwa kutoweka kwa Uútambulisho wa tamaduni asilia.
View ArticleKuporomoka kwa bei kuna athari kwa watumiaji
Mtu ungedhani kwamba kuporomoka kwa bei ni jambo jema, lakini wachumi wanasema kila bei za bidhaa zinavyoshuka ndivyo watumiaji wanavyoacha kufanya manunuzi wakingojea punguzo jengine la bei.
View ArticleMgogoro wa Yemen wazidi kuzusha wasiwasi kimataifa
Taarifa zinasema rais Mansur Hadi amekutana na mwakilishi wa wapiganaji wa Houthi ikiwa ni siku moja baada ya wapiganaji wa kundi hilo la washia kuiteka ikulu
View ArticleMzozo wa Ukraine wapamba moto
Wanajeshi wa Ukraine wamefyetuliana mizinga na waasi mashariki ya Ukraine.Serikali ya mjini Kiev inadai wanajeshi wa Urusi walishiriki katika mapigano hayo na kwa namna hiyo kuzidisha makali ya mzozo huo,
View ArticleAFCON: Congo Brazzaville yapata ushindi
Michuano ya kuwania Kombe la Mataifa ya Afrika iliingia katika siku yake ya 5 huko Guinea ya Ikweta ambapo Congo iliibwaga Gabon na Burkina Faso ikatoka sare na wenyeji Guinea ya Ikweta.
View ArticleJeshi la Ukraine lahama uwanja Donetsk
Jeshi la Ukraine limeondoka katika uwanja mkuu wa ndege katika mji wa Donetsk unaodhibitiwa na waasi, baada ya mapigano makali yaliyouwa wanajeshi wa serikali wasiopungua 10 na kuwajeruhi wengine 16.
View ArticleMahasimu wa Sudan Kusini wasaini makubaliano
Viongozi wa pande hasimu nchini Sudan Kusini wamesaini makubaliano ya kuimairisha juhudi za kukomesha vita vya wenyewe kwa wenyewe mjini Arusha, Tanzania, wakishuhudiwa na viongozi kadhaa wa Afrika.
View ArticleSerikali yafikia makubaliano na waasi Yemen
Waasi wa madhehebu ya Shia wanaomshikilia nyumbani kwake Rais wa Yemen wamefikia makubaliano na kiongozi huyo anayeungwa mkono na Marekani kukomesha mzozo wa umwagaji damu katika mji mkuu.
View ArticleMkataba wa ulinzi wa bahari wapigiwa debe
Umoja wa Mataifa, utafanya jaribio lake la tatu na la mwisho kufikia makubaliano la kuanzisha majadiliano ya kuwepo mkataba wa kimataifa kuhusu viumbe anuwai, ambao utadhibiti shughuli za eneo la...
View ArticleBenki Kuu ya Ulaya kununuwa dhamana za mabilioni ya euro
Benki Kuu ya Ulaya ECB imekubaliana kuanzisha mpango wa kununuwa dhamana za madeni ya serikali ambapo benki hiyo itachapisha fedha kununuwa euro bilioni 60 za dhamana kuanzia Machi hadi mwishoni mwa...
View ArticleTunisia kidedea , Cape Verde na Congo sare
Tunisia imekamata usukani wa kundi B jana Alhamis(22.01.2015) katika mashindano ya kombe la mataifa ya Afrika mwaka huu 2015 nchini Guinea ya Ikweta.
View ArticleRais wa Yemen ajiuzulu
Bunge la Yemen litakutana kwa dharura siku ya Jumapili kutokana na kujiuzulu kwa Rais Abdrabuh Mansour Hadi wa nchi hiyo, kufuatia mzozo wa kisiasa kati ya serikali ya Wasuni na wapiganaji wa Kishia wa...
View ArticleKongo yafutilia mbali sensa kabla uchaguzi
Baraza la seneti la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo leo (23.01.2015) limefuta kipengee kinachotaka sensa ifanyike kabla uchaguzi wa rais mwaka ujao katika muswaada utakaomuwezesha rais Joseph Kabila...
View ArticleMwanamfalme Salman arithi kiti
Mfalme wa Saudi Arabia Abdullah bin Abdul-Aziz Al Saud alifariki dunia siku ya Ijumaa akiwa na umri wa miaka 90, na kurithiwa na na mdogo wake Salman, kama mtawala wa juu kabisaa wa taifa hilo tajiri...
View ArticleAbdullah azikwa makaburi ya watu wa kawaida
Mfalme Abdullah ibn Abdul-Azizi, moja wa watu matajiri zaidi katika historia ya dunia, amezikwa katika kaburi la kawaida ambalo halikuanishwa mjini Riyadh, katika mwendelezo wa utamaduni wa kujinyima...
View ArticleGhana yafufua matumaini, Bafana bafana bado iko hai
Baada ya kuugua malaria mshambuliaji Asamoah Gyan wa Ghana amerejea dimbani katika fainali za kombe la mataifa ya Afrika na kufunga bao la ushindi dhidi ya Algeria inayopigiwa upatu kutoroka na taji hilo.
View ArticleMaandamano makubwa dhidi ya Wahouthi Yemen
Maelfu ya wananchi wa Yemen wameingia mitaani Jumamosi(24.01.2015) katika maandamano makubwa kabisa dhidi ya kundi la Wahouthi lenye kuidhibiti Yemen siku mbili baada ya kujizulu kwa Rais Abd-Raboo Hadi.
View ArticleMfalme Abdullah afanyiwa maziko ya kawaida
Mfalme Abdullah ibn Abdul-Azizi, moja wa watu matajiri zaidi katika historia ya dunia, amezikwa katika kaburi la kawaida ambalo halikuanishwa mjini Riyadh, katika mwendelezo wa utamaduni wa kujinyima...
View ArticleMarekani na India zafikia makubaliano ya nyuklia
Rais Barack Obama wa Marekani na Waziri Mkuu wa India Narendra Modi wamefanikiwa kuondowa mkwamo wa makubaliano ya nyuklia na kupongeza enzi mpya ya urafiki kati ya mataifa hayo mawili makubwa ya...
View Article