Charlie Hebdo latoa toleo jipya baada ya mauaji
Toleo la kwanza la jarida la vikaragosi la Ufaransa la Charlie Hebdo limechapishwa leo (14.01.2015) kwa mara ya kwanza tangu lilipotokea shambulizi la kigaidi katika ofisi za jarida hilo na kuwaua watu...
View ArticlePapa aiombea amani Sri Lanka
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani alitembelea eneo la Kaskazini na kuwatolea mwito wasri-Lanka kusameheana baada ya zaidi ya miongo miwili ya vita vya wenyewe kwa wenyewe.
View ArticleVitambulisho mbadala kwa washukiwa wa ugaidi
Serikali kuu ya Ujerumani inapanga kuzifanya ziwe ngumu safari za kuingia na kutoka watuhumiwa wa kigaidi humu nchini. Baraza la mawaziri limepitisha mswaada wa sheria leo
View ArticleMzozo wa Libya wajadaliwa mjini Geneva
Mazungumzo ya amani kati ya makundi yanayohasimiana nchini Libya yanaendelea mjini Geneva. Umoja wa Mataifa umeonya mazungumzo hayo yaliyoanza jana (15.01.2015) huenda ni fursa ya mwisho kuepusha vita.
View ArticlePapa Francis awasili Ufilipino
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Baba Mtakatifu Francis, amewasili nchini Ufilipino, nchi yenye Wakatoliki wengi zaidi barani Asia, huku ulinzi mkali ukiwa umeimarishwa.
View ArticleWatano wahamishwa kutoka Guantanamo
Wizara ya ulinzi ya Marekani Pentagon, imesema kwamba wafungwa watano katika gereza la Marekani la Guantanamo wamepelekwa katika nchi nyengine. Wanne kati ya hao wamepelekwa Oman na mwengine nchini...
View ArticleMaoni: Uhuru ni haki ya binaadamu
Wakati papa Francis amehitimisha ziara yake nchini Sri Lanka, ujumbe mkuu wa kiongozi huyo wa kanisa katoliki duniani ni wa kuzingatiwa na ulimwengu mzima, anasema mwandishi wa DW Petersmann Sandra.
View ArticleMerkel: Tutawalinda Wayahudi na Waislamu wa Ujerumani
Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel ameahidi kuwalinda Wayahudi na Waislamu wanaoishi nchini Ujerumani dhidi ya ubaguzi.
View ArticlePapa Francis apokelewa kwa shangwe Ufilipino
Kiongozi wa kanisa Katoliki Duniani Papa Francis , amekaribishwa kwa ngoma na muziki na waaumini , kwa lengo la kuanza ziara ya siku tano katika taifa hilo la Asia lenye idadi kubwa ya Wakatoliki.
View ArticlePapa Francis aitaka Ufilipino kupambana na rushwa
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Baba Mtakatifu Francis, ameitaka serikali ya Ufilipino kupambana na tatizo kubwa la rushwa iliyokithiri nchini humo, na amewataka viongozi kumaliza kabisa umaskini.
View ArticleMatayarisho ya michuano ya AFCON yakamilika
Fainali za kombe la mataifa ya Afrika , AFCON, zinaanza rasmi (kesho)17.01.2015, ambapo timu 16 zilizofuzu zitawania taji hilo la juu kabisa barani Afrika.
View ArticleChad kutuma wanajeshi Cameroon kupambana na Boko Haram
Rais wa Cameroon Paul Biya ametangaza kuwa Chad itatuma kikosi kikubwa cha wanajeshi nchini mwake kusaidia katika mapambano dhidi ya wanamgambo wa kundi la Boko Haram
View ArticleWatuhumiwa wa ugaidi wasakwa Ulaya
Waziri wa nje wa Marekani amekutana na rais Francois Hollande,masaa machache baada ya polisi katika nchi jirani ya Ubeligiji kuanzisha opereshini kubwa dhidi ya magaidi
View ArticleMkenya Rita Jeptoo asubiri hatma yake
Mwanariadha wa Kenya Rita Jeptoo, anayekabiliwa na kesi ya kutumia dawa za kuongeza nguvu anasubiri kujua hatma yake baada ya kufika mbele ya maafisa wa tume ya riadha ili kusikilizwa kesi yake
View ArticleLahm: ninapanga kustaafu mwaka wa 2018
Baada ya kustaafu kutoka soka la kimataifa aliposhinda Kombe la Dunia nchini Brazil, Philipp Lahm ametangaza kuwa anapanga kuzitundika njumu zake kabisa mwaka wa 2018, na kuiambia kwaheri klabu yake ya...
View ArticleKipchoge Keino atimiza miaka 75 ya kuzaliwa
Alikuwa mmoja wa wanariadha wa kwanza wa Kenya kuwika katika jukwaa la kimataifa na tangu wakati huo, amebakia kuwa nguli. Leo Jumamosi (17.01.2015) Kipchoge Keino anafikisha umri wa miaka 75
View ArticleIMF yatoa mwelekeo wa uchumi wa dunia
Mkuu wa shirika la fedha la kimataifa IMF, Christine Lagarde amesema kushuka kwa bei za mafuta na kuimarika kwa uchumi wa Marekani havitatosha kuboresha mwelekeo wa uchumi wa dunia mwaka huu wa 2015.
View ArticleDavid Ginola atangaza kuwania urais wa FIFA
Mchezaji wa zamani wa Ufaransa David Ginola amezindua ombi ambalo kiasi kikubwa linaonekana tayari kutokuwa na mafanikio yoyote la kuwania urais wa Shirikisho la Soka Ulimwenguni – FIFA.
View ArticleLRA bado yaeneza hofu Afrika
Katika kipindi cha miaka mitatu, vikosi vya Umoja wa Afrika vimekuwa vikiwasaka waasi wa LRA katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, na ingawa vikosi hivyo vimepata mafankio kadhaa, kundi hilo linaendelea...
View ArticleWashukiwa kadhaa wa ugaidi wakamatwa barani Ulaya
Mataifa ya Ulaya yamewakamata washukiwa kadhaa wa Uislamu wa itikadi kali jana Ijumaa(16.01.2015)wakati Ubelgiji imesema imesambaratisha, kikundi cha "magaidi" waliokuwa wakipanga kuwauwa maafisa wa...
View Article