Msako wa washambuliaji wa Charlie Hebdo waendelea
Polisi wa Ufaransa wanaendelea kuwasaka watu wawili wanaowashuku kwa mashambulizi dhidi ya ofisi za jarida la Charlie Hebdo yaliyouwa watu 12, huku baadhi ya taasisi za Kiislamu zikishambuliwa.
View ArticleMerkel na Cameron wajadili biashara na Umoja wa Ulaya
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel ameahidi kumsaidia waziri mkuu wa Uingereza David Cameron kulitatua tatizo la watu wanaotumia vibaya mfumo wa nchi hiyo wa malipo ya uzeeni na msaada kwa wasiojiweza.
View ArticleWashambuliaji wa Charlie Hebdo watafutwa
Polisi wa Ufaransa wanaendelea kuwasaka watu wawili wanaowashuku kwa mashambulizi dhidi ya ofisi za jarida la Charlie Hebdo yaliyouwa watu 12, huku baadhi ya taasisi za Kiislamu zikishambuliwa.
View ArticleWahanga wa shambulio la Ugaidi wakumbukwa
Kengele zimepigwa katika kanisa katoliki la Notre Dame mjini Paris, wakati raia wa Ufaransa walipowakumbuka wahanga wa shambulizi la kigaidi katika ofisi ya jarida la Charlie Hebdo
View ArticleShambulio nchini Ufaransa limeleta hofu Ujerumani pia
Huenda ni ubinadamu unaotusukuma katika hali hii, kwamba baada ya mshituko, hasira, na majonzi kuhusiana na shambulio la kigaidi dhidi ya jarida la dhihaka la Charlie Hebdo, hata hapa ujerumani ulinzi...
View ArticleMshindi wa urais Sri Lanka kuapishwa
Mshindi wa uchaguzi wa urais nchini Sri Lanka, Maithripala Sirisena, anaapishwa leo (09.01.2015), baada ya rais aliyeko madarakani Mahinda Rajapaksa kukubali kushindwa katika uchaguzi huo uliofanyika...
View ArticleOparesheni ya kuwasaka washukiwa wa ugaidi yashika kasi
Washukiwa wawili wanaodaiwa kushambulia jarida la Charlie Hebdo nchini Ufaransa na kusababisha vifo vya watu 12 wanasemekana kuiba gari moja na kuelekea Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo.
View ArticleOperesheni ya kuwasaka washukiwa wa ugaidi yashika kasi
Washukiwa wawili wanaodaiwa kushambulia jarida la Charlie Hebdo nchini Ufaransa na kusababisha vifo vya watu 12 wanasemekana kuiba gari moja na kuelekea Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo.
View ArticleKabila aidhinishe harakati dhidi ya FDLR
Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limemhimiza rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Joseph Kabila asaini operesheni ya pamoja na wanajeshi wa Umoja wa Mataifa kuwafurusha waasi wa Kihutu...
View ArticleBoko Haram yazidi kuhangaisha Nigeria
Mashambulio yanayofanywa na wanamgambo wa kundi la Boko Haram Kaskazini mwa Nigeria huenda yameua mamia ya watu katika takriban maeneo 11,kwa mujibu wa taarifa za maafisa nchini humo
View ArticleInter yamsajili Shaqiri kutoka Bayern
Klabu ya Italia ya Inter Milan imeinyakua saini ya mchezaji wa kasi XHERDAN Shaqiri kutoka mabingwa wa Ujerumani Bayern Munich. Hii ni kwa mujibu wa taarifa za vilabu hivyo viwili.
View ArticleToure mchezaji bora Afrika kwa mara ya nne
Yaya Toure ametangazwa kuwa mchezaji bora barani Afrika kwa mara ya nne na kuifikia rekodi iliyowekwa na mshambuliaji wa zamani wa Cameroon Samuel Eto'o. Toure amewabwaga Aubameyang na Enyeama
View ArticleMuhammad Ali yuko katika hali nzuri nyumbani
Muhammad Ali sasa yuko nyumbani baada ya kutibiwa hospitalini kutokana maambukizi ya njia ya mkojo. Bingwa huyo mara tatu wa uzito wa juu – heavyweight ameruhusiwa kuondoka hospitali
View ArticleKimetto, Kipsang kushiriki London marathon
Dennis Kimetto, aliyevunja rekodi ya ulimwengu ya marathon mwaka jana, na Mkenya mwenzake na bingwa mtetezi Wilson Kipsang, ambaye rekodi yake ilivunjwa na Kimetto, watashiriki mbio za London marathon
View ArticleTafrani nchini Ufaransa
Mwanamume mmoja aliyejihami kwa silaha amewachukua mateka watu kadhaa katika soko la kosher linalouza vyakula vya Kiyahudi, mashariki mwa mji mkuu wa Ufaransa Paris, tukio lililosababisha watu kadhaa...
View ArticleJeptoo kufika mbele ya tume ya riadha Kenya
Shirikisho la Riadha nchini Kenya AK litaisikiliza kesi inayomkabili Rita Jeptoo Alhamisi wiki ijayo, huku mkimbiaji huyo wa marathon akiamriwa kuhudhuria kikao hicho pamoja na makocha wawili na wakala...
View ArticleJitihada za Zimbabwe katika kuzindua sarafu yake ya dola.
Mwaka 2009, Zimbabwe ililaazimika kuachana na dola yake ambayo hakuna alietaka kuitumia, na kuanza kutumia dola ya Marekani ili kuepusha kuanguka kwa uchumi wake na mfumuko wa bei wa kiwango cha juu...
View ArticleMkasa wa mauaji Ufaransa wamalizika
Majeshi ya usalama nchini Ufaransa, Ijumaa (09.01.2015)yakitumia mabomu na bunduki yalifikisha mwisho siku tatu za ugaidi mjini Paris, wakiwauwa ndugu wawili wenye mahusiano na kundi la al-Qaeda.
View ArticleMwanamke anayesakwa kwa Udi na Uvumba Ufaransa
Polisi ya Ufaransa Jumamosi (10.01.2015) iko kwenye msako mkali wa mjane wa mmojawapo wa watuhumiwa waliouwawa waliohusika na wimbi la mashambulizi mjini Paris ambaye binafsi anahesabiwa kuwa ni mtu wa...
View ArticleObama hatahudhuria maandamano mjini Paris
Rais Barack Obama hatajiunga leo Jumapili(11.01.2015)na viongozi wengine duniani katika maandamano mjini Paris wakiomboleza wahanga wa mashambulio ya wiki hii yaliyofanywa na Waislamu wenye itikadi...
View Article