Mvutano mkutano wa Lima
Katika mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu ongezeko la joto duniani unaofanyika Lima, Peru, upo mvutano kati ya nchi tajiri na maskini kuhusu hatua za kuchukua ili kuzuia mabadiliko ya tabia ya nchi.
View ArticleRasimu ya mabadiliko ya tabia nchi yaidhinishwa
Takriban nchi 190 zimekubaliana Jumapili (14.12.2104) kuidhinisha rasimu ya vipengee muhimu kuelekea makubaliano ya dunia ya mwaka 2015 yanayotazamiwa kufikiwa Paris kupambana na mabadiliko ya tabia nchi.
View ArticleJuhudi za kufufua amani ya Mashariki ya Kati
Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani J. Kerry anaendelea na juhudi zake za kuufufua utaratibu wa amani ya Mashariki ya kati.Baada ya kuonana na Netanyahu mjini Roma,amepangiwa kukutana na Saeb...
View ArticlePakistan yaomboleza mauwaji ya watoto 142
Wakaazi wa Pakistan wanaomboleza msiba wa siku tatu na kuandaa mazishi ya jumla jamala ya wahanga wa shambulio la kishenzi la kundi la wataliban katika shule moja ya mji wa kaskazini magharibi -Peshawar.
View ArticleMarekani na Cuba zafungua ukurasa mpya
Baada ya zaidi ya nusu karne ya uhasama, hatimaye Marekani na Cuba zinarejesha mahusiano yao kidiplomasia, hatua ambayo imeungwa mkono na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon.
View ArticleFARC watangaza kusitisha vita Colombia
Kundi kubwa zaidi la waasi nchini Colombia la FARC limetangaza usitishaji mapigano wa upande mmoja usiyo na kikomo, katika mgogoro huo wa miaka 50, kufuatia duru nyingine ya mazungumzo ya amani.
View ArticlePakistan yazidi kuwaandama Wataliban
Jeshi la Pakistan limeongeza mashambulizi yake dhidi ya wanamgambo wa Kiislamu na kuuwa wanamgabo 57 kwa mashambulizi ya angani na ardhini.
View ArticleFIFA yakumbwa na kashfa nzito
Kamati ya uongozi wa shirikisho la mpira wa miguu duniani FIFA inakabiliwa na mgogoro mpya kufuatia kujiuzulu kwa Michael Garcia, akipinga kuchakachuliwa kwa ripoti yake ya rushwa katika zabuni za kobe...
View ArticleMaelfu ya watoto watumikishwa kijeshi CAR
Shirika la hisani la Save the Children limesema maelfu ya watoto walikuwa wanatumika kama wanajeshi katika kipindi cha miaka miwili iliyopita wakati wa vita vya kikabila na kidini katika Jamhuri ya...
View ArticlePeshmerga wawajeresha nyuma IS
Operesheni ya siku mbili ya kijeshi ya wapiganaji wa Peshmerga katika jimbo la Kurdistan imefanikiwa kufungua njia kuelekea Mlima Sinjar, uliokuwa umezingirwa na kundi lijiitalo Dola la Kiislamu.
View ArticleMkutano mfupi wa viongozi wa Umoja wa ulaya
Pengine ulikuwa mkutano mfupi kuliko yote iliyowahi kuitishwa hadi sasa na Umoja wa ulaya mjini Brussels,lakini safari hii hakujakuwa na mabishano na sera kuelekea Urusi zinajulikana;zimesalia vile vile
View ArticleUmoja wa Mataifa waomba msaada kwa ajili ya Syria
Umoja wa Mataifa umeomba kiasi cha Dola bilioni 8.4 kwa ajili ya kutoa msaada wa dharura wa kibinaadamu kwa takribani watu milioni 18 wa Syria na kuzunguka ukanda huo unaokumbwa na mzozo.
View ArticleDortmund na Bremen zalenga kujikwamua
Tunakaribia siku kuu ya Krismasi! Lakini ligi kuu ya kandanda hapa Ujerumani Bundesliga ina duru moja ya michuano kabla ya wachezaji kwenda kwenye mapumziko ya msimu wa baridi
View ArticleFIFA kuchapisha ripoti kamili kuhusu ufisadi
FIFA haitaanzisha tena mchakato wa kupiga kura za kuandaa fainali za Kombe la Dunia 2018 na 2022, lakini itachapisha ripoti ya GARCIA kuhusiana na madai ya kuwepo ufisadi katika mchakato huo
View ArticleMbona iwe tu ni Mario Balotelli?
Mbona ni mimi tu? Ni kama anakokwenda anaandamwa tu na kashfa, au ni yeye anayeziandamaan kashfa? Mshambuliaji wa Liverpool Mario Balotelli haonekani kuepuka vichwa vya habari
View ArticleMarco Reus atozwa faini kubwa
Mchezaji wa timu ya taifa ya Ujerumani Marco Reus ametozwa mojawapo ya faini kubwa zaidi ya kuendesha gari kuwahi kushuhudiwa katika historia ya Ujerumani baada ya kutumia gari lake bila leseni halali.
View ArticleKenya kupambana na dawa za kuongeza nguvu
Bingwa mara tatu wa ulimwengu wa mbio za mita 3,000 kuruka viunzi na maji Moses Kiptanui ametoa wito wa kuchukuliwa adhabu kali kwa wanariadha wanaogundulika kutumia dawa zilizopigwa marufuku michezoni
View ArticleRais Kenyatta atia saini mswada dhidi ya Ugaidi
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta Ijumaa(19.12.2014)ametia saini kuwa sheria mswada wenye utata wenye lengo la kupambana na ugaidi na kusababisha wabunge kutupiana ngumi bungeni na kuzusha madai kuwa...
View ArticleMarekani yaiwekea vikwazo Crimea
Wakati serikali ya Ukraine na waasi wanaotaka kujitenga wakijiandaa kwa mazungumzo mapya, serikali ya Marekani Ijumaa (19.12.2014) imeweka vikwazo zaidi dhidi ya jimbo la Crimea linalodhibitiwa na Urusi.
View ArticleUjumbe wa kupambana na Ebola kufungwa baada ya mapambano: Ban
Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kupambana na Ebola utafungwa haraka mara mapambano dhidi ya ugonjwa huo yatakapofanikiwa, katibu mkuu Ban Ki-moon amesema Jumamosi (20.12.2014) wakati wa ziara yake katika...
View Article