Mahakama ya juu Libya yalifutilia mbali bunge
Mahakama ya juu nchini Libya leo imetoa uamuzi kuwa bunge linalotambulika na jumuiya ya kimataifa lenye makao yake mjini Tobruk lilichaguliwa kinyume na sheria
View ArticleBarua ya Obama kwa Khamenei yazua mtafaruku
Vyombo vya habari Marekani vimesema rais Barack Obama, amemwandikia barua kiongozi wa kiroho wa Iran Ayatollah Ali Khamenei, kuhusu vita dhidi ya Dola la Kiislamu, IS ambalo ni adui wa nchi hizo mbili.
View ArticleMessi aifikia rekodi ya Ligi ya Mabingwa
Lionel Messi alifunga mabao mawili dhidi ya Ajax katika Ligi ya Mabingwa Ulaya, na kufikisha 71 idadi ya magoli yake katika dimba hilo, sawa na rekodi iliyowekwa na Raul. Cristiano Ronaldo na magoli 70
View ArticleViongozi wa Sudan Kusini washinikizwa kuumaliza mzozo
Viongozi wa Afrika Mashariki wamewaonya wanasiasa wakuu wa Sudan Kusini wanaozozana kuwa sharti warejeshe akili zao timamu ili kuumaliza mzozo wa miezi kumi na moja uliolikumba taifa hilo changa
View ArticleBayern, Dortmund zatinga awamu ya mchujo
Bayern Munich imefuzu kwa urahisi katika awamu ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, kwa kuizaba AS Roma magoli mawili kwa sifuri. Lakini mambo yalikuwa magumu kwa Schalke nchini Ureno
View ArticleEbola kudhibitiwa ifikapo 2015
Viongozi wa mataifa ya jumuiya ya kiuchumi ya Afrika Magharibi, ECOWAS, wamemchagua rais wa Togo kuongoza vita dhidi ya Ebola. Umoja wa Mataifa umesema ugonjwa huo unaweza kudhibitiwa ifikapo 2015.
View ArticleBurkina Faso,Zambia na Ebola Magazetini
Hali nchini Burkina Faso ,Zambia na rais wa kwanza mzungu na kitisho cha maradhi hatari ya Ebola ni miongoni mwa mada zilizochambuliwa zaidi na wahariri wa magazeti ya Ujerumani kuhusu Afrika wiki hii
View ArticleNi miaka 25 tangu kuanguka Ukuta wa Berlin
Maadhimisho ya miaka 25 tangu ukuta wa Berlin ulipoporomoka Novemba 9 mwaka 1989 yameanza mjini Berlin, kilele chake kikifikiwa jumapili katika "sherehe za umma "za kuadhimisha tukio hili la kihistoria
View ArticleToure kutetea Tuzo ya Mchezaji Bora Afrika
Mshindi wa Tuzo ya Mchezaji bora wa Mwaka barani Afrika Yaya Toure anaongoza orodha ya wachezaji watano wa Ligi Kuu ya England ambao ni miongoni mwa wachezaji 25 walioteuliwa na CAF kugombea tuzo ya...
View ArticleDortmund tayari kuumana na Gladbach
Borussia Dortmund wanataka kuitumia hali yao nzuri katika Ligi ya Mabingwa barani Ulaya ili kuyaimarisha matumaini ya ligi ya nyumbani - Bundesliga, watakapowaalika Borussia Moenchengladbach Jumapili
View ArticleRosberg ana matumaini ya kutwaa ubingwa
Nico Rosberg wa mashindano ya magari ya Formula One amesema ana furaha kwa sababu angali na fursa ya kutwaa taji la ubingwa wa ulimwengu kwa kumpiku mwenzake wa timu ya Mercedes Lewis Hamilton.
View ArticleMahasimu wa Sudan Kusini waahidi kukomesha vita
Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini na kiongozi wa waasi Riek Machar Jumamosi (08.11.2014) wamekubali kukomesha vita vya miezi 11 ambavyo vimeuwa maelfu ya watu na kuwapotezea makaazi wengine milioni 1.8.
View ArticleMaoni: Tarehe 9 Novemba 1989 - Siku isiyosahaulika
Ujerumani inaadhimisha robo karne ya kuanguka kwa Ukuta wa Berlin, tukio ambalo lilitokana na mapinduzi ya umma yaliyofanywa kwa njia za amani na kupelekea kuungana tena kwa taifa lililogawika.
View ArticleMerkel : "Ndoto iliokuwa kweli " - Miaka 25 Kuanguka Ukuta wa Berlin
Kansela Angela Merkel Jumapili (09.11.2014) ameongoza sherehe za kuadhimisha miaka 25 ya kuanguka kwa Ukuta wa Berlin na kuuita huo kuwa mfano wa shauku ya binaadamu kwa uhuru.
View ArticleViongozi wa nchi wakutana katika mkutano wa kilele wa APEC
Viongozi wa China na Japan wamefanya mkutano wa nadra baina yao hii leo baada ya miaka miwili ya uhasama kati ya nchi zao. Mazungumzo yao yanafanyika pembezoni mwa mkutano wa kilele wa nchi za Asia na...
View ArticleMazungumzo ya mpango wa nyuklia wa Iran yaendelea
Mazungumzo kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran, kati ya nchi hiyo na Marekani na Umoja wa Ulaya, yanaendelea leo mjini Muscat Oman, kwa lengo la kuondoa mkwamo kuhusu mpango huo wa nyuklia.
View ArticleMpango wa Kuiongoza Burkina Faso wapendekezwa
Viongozi wa Vyama vya upinzani, makundi ya mashirika ya kiraia na wa kidini wamepitisha mpango wa pamoja wa kuiongoza Burkina Faso kuelekea kipindi cha mpito hadi uchaguzi mwaka ujao.
View ArticleSteinmeier asema hali Mashariki mwa Ukraine hairidhishi
Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier amesema hali katika maeneo yanayoshikiliwa na waasi, Ukraine imeanza tena kuwa tete na pande zote zinapaswa kuheshimu makubaliano ya...
View ArticleMzozo kati ya Israel na Palestina wazidi kupamba moto
Mzozo kati ya Israel na Palestina unazidi kutokota baada ya waisrael wawili kuuliwa na vijana wa kipalestina kwa kuchomwa visu huku Palestina ikijiandaa kuadhimisha miaka kumi tangu kufariki kwa...
View ArticleCAF kuamua kuhusu la Kombe la Mataifa Afrika
Shirikisho la Kandanda barani Afrika linatafuta nchi itakayokuwa mwenyeji wa fainali za kombe la mataifa ya Afrika mwakani baada ya Morocco kukataa kushikiliakuwa liahirishwe
View Article